Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Inaitwa hand breakMatumizi ya huu ujinga na P2 ni janga la kitaifa hasa kwa wanawake wanaotafuta watoto. So many barren women + still births. Ladies, be careful!
View attachment 2952675
Hata nyerere aliwatetea watanzania kwamba watu zaidi wawili kuchangia kuvuta sigara moja sio umasikini bali ni upendo.
Naelewa maumivu yako mkuu. Katika umri wetu huu tumeona mengi. Sasa unapotaka iwe halafu haiwi mtu unaanza kujiuliza kwa nini haiwi wakati inavyotakiwa kuwa inakuwa?Inaitwa hand break
Unaweza ukawa unatupia magoli mengi, tena Kwa mashuti makali lakini Binti hata kutema mate ama kuomba nimpelekee zawadi ya udongo wa Dukani hakuna 🙌
Nchi ngumu sana hii 🤗
😅😅Hata nyerere aliwatetea watanzania kwamba watu zaidi wawili kuchangia kuvuta sigara moja sio umasikini bali ni upendo.
Nimempenda Mwigulu! Wazazi wote wangekua wanawafundisha watoto wao njia ingekua poa sana
Hahaha.............hiyo michezo wanayo mabinti wengi sana Siku hiziNaelewa maumivu yako mkuu. Katika umri wetu huu tumeona mengi. Sasa unapotaka iwe halafu haiwi mtu unaanza kujiuliza kwa nini haiwi wakati inavyotakiwa kuwa inakuwa?
Mimi hapa nina fomyula bullet proof kama binti hana tatizo ni lazima tu abebe mzigo tena hata mapacha nikitaka. Ikishindikana huwa naanza kuuliza:
➡️ Eti kwenu mna tatizo la ugumba?
➡️ Ulishawahi kutoa mimba?
➡️ Ulishawahi kuugua magonjwa ya zinaa (kwa muda mrefu)?...
➡️ Ulishawahi kunywa P2 ili usibebe mimba za mahabaria huko nyuma?
➡️ Ulishawahi kutumia njia za uzazi wa mpango?
➡️ Ulishapima afya ya mfumo wako wa uzazi?
➡️ Una uhakika una kizazi?
Akijibu kwa maswali yote haya kwa usadifu halafu bado haiwi kama ninavyotaka iwe basi nitamshangaa sana japo kwa kizazi hiki cha sasa hakuna cha kushangaza....