OVULATION MUCUS/ FERTILITY MUCUS Au UTE WA OVULATION.!
Ute special kabisa unazalishwa siku za hatari Tu,haswa Siku ya upevushaji wa yai.
Unazalishwa kutoka kwenye Shingo ya kizazi(mlango wa kizazi) yaan cervix
unakuwa na sifa Hizi;
-Unateleza
-unavutika Sanaaa yaan unatanuka
-una muonekano kabisaaa kama Ule ute mweupe Wa Yai
Huwa una PORES, vishimo special kabisaaa kupitishia mbegu za mwanaume.
Mwanamke anaepata HUU ute anapata MIMBA kirahisi zaidi.
Mwanamke mwenye Kutokwa uchafu ukeni, mvurungiko wa hormone, PID na magonjwa mengine huwa hawezi pata Huu UTE SPECIAL kabisa.
Mara ya mwisho umeona lin UTE huu??.
Je ni kila mwezi unapata hui Ute?
Wenye matatizo ya homons,kutoka uchafu, kutopata Huu UTE.
Usihesabu umeanguka mara ngapi, kama una nguvu, amka uipiganie afya yako, ndoa yako na furaha yako,Afya ni Utajili🤝🙏