Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mkaka yupo vizuri!!
Atakuja kufyatua magoti. Ahamie tu kwenye vimbaumbau kama mimi. Vyepesiiiiiii! πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

IMG_20240329_233831_984.jpg
 
View attachment 2952730
Ndiyo. Ni operesheni ya kawaida tu. Nadhani hata Muhimbili wanafanya kama sikosei japo wenye hela zao huwa wanakimbilia nje.

Marekani kule ukienda kukata leseni ya udereva unaulizwa kama unataka kuwa organ donor. Ukikubali leseni yako inakuwa na alama ya moyo kwa nyuma na neno Organ Donor.

Siku ikitokea umepata ajali na huwezi kupona basi wanavuna viungo vyote ambavyo havijaharibika na kwenda kuvipandikiza kwa wanaovihitaji ambao huwa ni wengi. Ndiyo maana biashara ya viungo vya binadamu ni biashara ya mabilioni ya dola kwa mwaka maana kuna waiting list ndefu sana kwa viungo hivi.
Kwenye taifa hilo lenye organ donor vipi kasi ya wizi wa viungo vya mwilili ikoje?
 
Kwenye taifa hilo lenye organ donor vipi kasi ya wizi wa viungo vya mwilili ikoje?

Nasikia organ black market ni biashara kubwa na ni biashara za wakubwa maana baadhi ya viungo ni ghali sana. Na ukijiandikisha wewe ni organ donor siku ukipata ajali kama hakuna mtu wa kukuangalia vizuri hata kama ilikuwa upone jamaa wanavuna tu viungo ili wapige mamilioni yao ya dola.

Waiting list ni ndefu japo wenye pesa zao wanaweza kupata shortcut. Ndivyo alivyofanya Steve Jobs kipindi kile akapandikizwa ini chap chap japo alikuwa keshachelewa.
 
Kumbe unaweza kuwa organ donor na bado viungo vyako vitauzwa[emoji849] na pia utajiweka kwenye hatari ya kunyofolewa viungo vyako katika mazingira ya ajali ingawa ungeweza kupona[emoji849][emoji849].
Dunia siyo mahali salama kwa sasa
 
Back
Top Bottom