🙏🖐🤣🤣🤣🤣
Hapo ndiyo ujue maisha yalivyo uswahilini
Ule uzi siku hizi unakimbizwa mchana mchana.Ina maana amekua popo siku hizi?
Usitufanyie hivyo😇Nipo kaka’ke,siku hizi nimekua msomaji tu
Pale umelala kwa mchepuo usu bui sana ukatakiwa uendelee na mishe zako..ile paap huyu hapa 😂😂😂😂😂😂😂
Na wewe piaAsubuhi yako ikawe njema yenye kustawi na mng'ao wenye kuvutia kutazama kama jua la asubuhi.
Barikiwa.View attachment 2952405