Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Kwani siku hizi wanapandikiza moyo?Pampu ya maisha. Hapa iko tayari kupandikizwa kwa mtu mwingine ili naye aendelee kuishi! 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
View attachment 2952699
Mkaka yupo vizuri!!
Ndiyo. Ni operesheni ya kawaida tu. Nadhani hata Muhimbili wanafanya kama sikosei japo wenye hela zao huwa wanakimbilia nje.Kwani siku hizi wanapandikiza moyo?