Aidanna
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 1,862
- 2,937
Bila shaka hii mimba ni ya mtoto wa kiume...
Dume hiloooo on the way
Bila shaka hii mimba ni ya mtoto wa kiume...
Kwema dadake, umepoteaSalama kaka’ke
Kwema?
Jamiiforum usiku wa manane utampata Kichwa KichafuKichwa Kichafu
Ha wa yu?
Sina hela ya kumpeleka Vacation Dubai 😅Sidhani, ila jimbo liko wazi hilo.
Tupia nyavu uvue samaki[emoji1787]
Aisee, pole sana.Sina hela ya kumpeleka Vacation Dubai [emoji28]
Kufa na fashionMbona kama anashindwa kupumua??[emoji15][emoji15]
🤣🤣🤣🤣Aisee, pole sana.
Kwakweli mambo mazuri yanahitaji pesa za kueleweka.
Acha tubaki na hawa hawa wa kwetu Temeke Sandali, Miburani, Kata 14,Vingunguti nk[emoji1787][emoji1787]
Nipo Mkuu 😂😂😂Jamiiforum usiku wa manane utampata Kichwa Kichafu
Kwema dadake, umepotea
Jamiiforum usiku wa manane utampata Kichwa Kichafu
Jeshi la polisi nchini Uganda linawashikilia watu wawili, mhudumu na mmiliki wa mgahawa mmoja jijini Kampala kwa kile kinachosadikiwa kuuza chakula kilichokutwa na uume wa binadamu
Mpita njia mmoja alikula chakula kilicho changanywa nyama kwenye mgahawa huo, hata hivyo alihisi kama anatafuna uume wa binadamu.
Alipotema chakula hicho aliona dhahiri kiungo cha uzazi cha mvulana.
Jeshi la polisi nchini Uganda limepeleka uume huo kwenye maabala ya mkemia mkuu wa nchi hiyo kupata uthibisho wa kisayansiView attachment 2952120
Am Busy For Nothing So Far.[emoji23][emoji23]
Shwari Pimbi Wa Faida Huko Ulipo?
Hard To Be Found Mshikaji WanguNiko poa sana kwakweli