Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

bbb71e29b5c64616387947b51c53edac.jpg
 
Watu wana dhambi sana. Sasa lengo la kumuweka kuku hivi ni nini?

Chakula ni ibada kamili
 
Ila akili za kutumia kwa manufaa yetu hatuna
Sasa kama Mtanzania ndio kama wewe kila saa unawaza ngono tu unategemea nini? Kama Taofa linategemea vijana kuleta maona namna ya kusonga mbele ila wengi wanawaza kubet na kujisifia ngono kama wewe. Nyie ndio vijana msio na faida katika nchi yetu. Bora hizo rasilimali tuwape waarabu na nyie vijana tuwauze utumwani tu.
 
Sasa jamani kwani mie mzabzab kuwaza ngono ndio muwapakazie vijana wote....mbona marekani kuna vijana wa hovyo kama mie lakini bado taifa kubwa na maendeleo yapo. Tena basi hao vijana wa hovyo ndio wanaingiza mpunga mkubwa kuliko nba, nfl mlb combined.

Kwa hiyo suala la mzabzab kupenda ngono hicho ni kisingkzio sio sababu. Kwani hao wazee wetu wenye akili wao wanawaza nini?
 
Back
Top Bottom