Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hamna kitu humo.
Wengi wao weupeee
Na bestfurend mmoja yuko Mwanza.

Tulisoma wote hakua na swagga za kua sista sijui n maisha...katika pitapita tukakutana A- town unajua muda mrefu hamjaona kuchangamkiana kwa sanaa mi nikamueleza yangu 😂😂😂😂yy hakusthubutu kuniambia ukweli wake.

Mavazi yanaonyesha ila kama sio muumini hauwezi kujua maana n sketi refu + kitambaa kichwani....

Wanatunguliwa vibaya mno 😂😂😂.
 
Hela Simpi lakini dudu analipapia, lazima nimpe na masharti
663.jpg
 
Back
Top Bottom