Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Zima moto UE
Screenshot_20240308_003416_WhatsApp.jpg
 
Hamna kitu humo.
Wengi wao weupeee
Na bestfurend mmoja yuko Mwanza.

Tulisoma wote hakua na swagga za kua sista sijui n maisha...katika pitapita tukakutana A- town unajua muda mrefu hamjaona kuchangamkiana kwa sanaa mi nikamueleza yangu 😂😂😂😂yy hakusthubutu kuniambia ukweli wake.

Mavazi yanaonyesha ila kama sio muumini hauwezi kujua maana n sketi refu + kitambaa kichwani....

Wanatunguliwa vibaya mno 😂😂😂.
 
Back
Top Bottom