ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Harufu ya mishikaki inatoka mwilini sababu ya msuguano na joto, alafu kwa taarifa yako sasa hata wadudu wenyewe huku wamezoea, wakikuona unaingia kichakani wanakimbia wenyewe.Hiyo harufu ya mishkaki inatokea wapi tena na wadudu hamuwaogopi kabisa
Wasukuma watashindaMshana Jr huu uzi ungekuwa mtam Zaidi kama tungepita mkoa kwa mkoa
AiseeeeeHarufu ya mishikaki inatoka mwilini sababu ya msuguano na joto, alafu kwa taarifa yako sasa hata wadudu wenyewe huku wamezoea, wakikuona unaingia kichakani wanakimbia wenyewe.
[emoji23] [emoji23]Aiseeeee
Nimechoka jaman ulivyoniambia harufu ya mishkaki mawazo yangu yakanipeleka mbaliii labda kwa pembeni kuna bar ya pombe za kienyeji wanachoma nyama[emoji23] [emoji23]
Hahaha, tatizo unapenda sana nyamaNimechoka jaman ulivyoniambia harufu ya mishkaki mawazo yangu yakanipeleka mbaliii labda kwa pembeni kuna bar ya pombe za kienyeji wanachoma nyama
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na ndio nilichokiwazaHahaha, tatizo unapenda sana nyama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli akatubu
Wewe uliemnunulia mama etu viatu hivi, UKATUBU!
[emoji23], wapi Sakayo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na ndio nilichokiwaza
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mambo ya Tanga hayaView attachment 684578View attachment 684579popobawa original
Lazima amewahi,kichakani kuna raha yake si mchezo.Bado sijamtia machoni lazima aje huku huu uzi unamuhusu Sakayo ebu kuja huku ushawahi kukulwa kwenye vichaka na wewe
mshana jr unataka kuvalishwa hirizi kiunoni Na begani kwa lazima?Mikoa mingine karibuni sana.. Hasa ile inayosifika kwa kupenda rangi... Sifa! Ubabe.. Ukatili.. Uchawi... Umbea.. Majungu... Fitina... Nknk
Wanyasa
am among themMkiwasema wakurya mnaugusa mtima wangu. Nawapenda sana wanaume wa mara
Kuna wakati hasa ule wa miezi ya tatu hivi ukiwa na sh 4000 we ni nusu mfalme, kipindi hicho ulanzi unauzwa sh 200 lita moja na sh 300 lita 2.