Kiongozi Mkuzi yaani umenikumbusha enzi zangu. Nilipomaliza shule nilifanikiwa kupata kazi KMCL. So Kakola, Bugarama na Ilogi ndo zilikuwa anga za kutembelea. Hao kina Amina Kistuli, Juke, Alizadi aka Mamaa Congo wote hao (RIP) nilikuwa nawafahamu na kiwanja chao kikubwa cha kutegea wanaume kilikuwa Rweys aka kibasini. Hapo kulikuwa na mini bus mbovu so mwenye bar akaiboresha kwa kuizeka na manyasi then viti vikaweka mkao wa kutizamana halafu akwaeka meza katikati ya viti. Duuuuh it was amazing.unanikumbusha mji wa kakola .ilogi na bugarama .kila mwisho wa mwezi madada poa wengi na kila mmoja anasema yeye ni mgeni amekuja kumtembelea ndugu yake ,ajabu guest zote wanazijua ,pumzika kwa Amani amina kistuli ndani ya Kakola jiji la maraha,ni kijiji kinachoongoja kwa antenna za Tv
Duuuuuhhhhh,mpaka kinyaaa!mambo ni moto![]()
hela haina kinyaaDuuuuuhhhhh,mpaka kinyaaa!
Jaman too bad
TUNAKUJA MKUU. TUNAJITAFAKARI TUJUE PA KUANZIA KUTOA TAMKO.Wenye mada yenu mko wapiiiii? Bado mko shambani? Au bado mnawinda ndezi?