mkuzi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 1,627
- 1,462
unanikumbusha mji wa kakola .ilogi na bugarama .kila mwisho wa mwezi madada poa wengi na kila mmoja anasema yeye ni mgeni amekuja kumtembelea ndugu yake ,ajabu guest zote wanazijua ,pumzika kwa Amani amina kistuli ndani ya Kakola jiji la maraha,ni kijiji kinachoongoja kwa antenna za Tv
