Vituko mikoani

Vituko mikoani

.
IMG-20180311-WA0092.jpg
 
vichakani unatuaibisha bora kwenye nyumba mbovu
Hii ya nyumba mbovu umenikusha kipindi niko kijijini kuna siku naingia tuu na demu wangu kumbe mle ndani kuna jibwa lilikuwa limelala sasa ndo sisi tukawa kama ndo tumemgadi asitoke asee ule mziki hadi mbwa anatoka na demu kashafika nyumbani kwao maana zile kelele za yule mbwa na demu aligairi pale pale
 
Hii ya nyumba mbovu umenikusha kipindi niko kijijini kuna siku naingia tuu na demu wangu kumbe mle ndani kuna jibwa lilikuwa limelala sasa ndo sisi tukawa kama ndo tumemgadi asitoke asee ule mziki hadi mbwa anatoka na demu kashafika nyumbani kwao maana zile kelele za yule mbwa na demu aligairi pale pale
Bora mlitoka salama tu maana ingekuwa ni aibu ya mwaka
 
Tia neno
 

Attachments

  • Screenshot_20180318-220019.png
    Screenshot_20180318-220019.png
    126.3 KB · Views: 83
Wa mikoani wamelalamika sana kuwa nimewatenga sijaweka post kuwahusu... Basi hii sasa ni zamu yao watiririke kwa raha zao.. Japo huko kunaweza kuwa na vituko tofauti kabisa na Dar.. Kwa mfano kwenye ishu ya mahusiano mikoani wengi humalizana vichakani na maporini.Gesti huko sio nyingi kivile

Mikoani si jambo la ajabu kukuta gesti house ndani choo cha shimo. Kesi za watu kuumwa na wadudu porini wakiwa kwenye malovee ni za kawaida sana
Mikoani watu wakiumwa cha kwanza hawaendi hospital bali kwa waganga wa kienyeji.

Visa vya mikoani vinaweza kupiku dar.. Ni aghalabu kukuta breakdown mikoani... Hiki ndio unaweza kukutana nachoView attachment 684535
Visa vya mikoani vinaweza kuwa kwenye makundi

Tanga... Wanasema mapenzi yalikozaliwa... Hakuna mkoa unaoogopeka kwa mapenzi, ushirikina wa ndele na mvuto kama Tanga... Story za wapenzi majini... Vifuu vunavyoongea ama wanyama.. Story za kubashiwa live nknk... Umeshawahi kusikia ya mwembe basha?
Tanga inaweza kuwa kiwakilishi cha pwani yote mpaka Zenji kwenye mitaa kama mfereji matako , kibanda maiti nk
Ngoma maarufu ya baikoko asili yake Tanga

Kilimanjaro na Arusha... Wazee wa arifu... Pesa ndio kila kitu huko.. Kuna mixer ya wamasai wapare wachaga wambulu nk... Wezi, bahili wachumi wasomi... Huku kuna sensa ya kila mwaka December... Mtu yuko tayari ajinyime mwaka mzima ili akaonyeshe sifa kwao.. Ni wapenda sifa na maendeleo pia... Vipi ushamba?
Moshi kuna mitaa kama kisambo (kisa mbo*..)?

Mikoa mingine karibuni sana.. Hasa ile inayosifika kwa kupenda rangi... Sifa! Ubabe.. Ukatili.. Uchawi... Umbea.. Majungu... Fitina... Nknk
Mikoani gesti chache nani kakudanganya? Njoo Njombe uone. Wewe unazungumzia mikoani au vijijini? Anyway labda mikoani kote ni vijijini maana watu wa Dar kwao mjini ni Dar tu
 
Back
Top Bottom