Vituko mikoani

Vituko mikoani

IMG-20180129-WA0005.jpg
 
Mikoani kama kilwa ukiwa na sh elfu tano unaweza kukaanayo mfukoni hata wiki mbili na usipate cha kununua, kwa mfano asubuhi utakula maboga, au mihogo au ndizi , kwa uji wa unga wa mpunga au wa mahindi uliotiwa Nazi. Kama unakiu, madafu bwerere, mchana,utakula ugali wa mtama au wa mihindi, kwa kitoweo cha mbawala, au samaki wa baharini au kambale, huku mchuzi ukiwa umekolea tui na ndimu, ikifika mida ya SAA 16:30 kinu kipo uwanjani tayari kwa kuupwaga mpunga, kumbuka hivi vitu vyote unavitoa shambani mwako. Kwa wale wapenda papuchi gharama ni kwenda kumuangulia Nazi tu ktk shamba lao.
 
Dar kila kitu ni kuchangia unakuta vijana wengi wanapenda good time lkn ni wavivu saaana wa kufanya kazi matokeo yake wanajikuta wakichangia hadi body spray
Kingine mimi huwa najiuliza saaana kwann watu wa dar wakichinja kuku hata nyongo haitupwi?
 
of course leo umetupatiamo!
japo umesahau kuwaambia wana JF kwamba JAMII FORUMS ni ya mdogo wa babu yetu. aba ghorofa 7 na Prado ya wakata majani ya NGOMBE.

IN FACT tukashoma until no class ahead!
mshana jr oleke ezarau. ongambira STUPID INFRONT OF MY WIFE. kaziro wanzaririsha!

tags:
*dr rweikiza ishengoma-PHD holder na lecturer Oxford university
*prof. muganyizi Ceo kiwanda cha kukoboa nsenene
Hyo zarau kwakeli!
 
Sema mr mshana 'mikoani' umepatazama kama vile wazungu wanavyopatazama afrika. Hahaha. But its not a big deal. Huku mikoani tunaishi katika ustaarabu hasa. Dar kwenu huko kukuta sistaz na brazaz wanatengenishwa na pazia wakati wa kulala ni kawaida. Huko kwenu mgeni akija mnatamani mkamshtaki 'msosi'. Huku 'mikoani' ukikutana na mtu barabarani na amependeza ukifuatilia hata anapoishi ni pazuri mno, ila huko 'kwenu' kukutana na bidada amejikwatua mkononi na iphone, mjamaa yuko kwenye gari lakini anapoishi huku 'mikoani' ni nyumba ya shambaboy wangu. Hahahaha. Karibuni mikoani, sema huku hakuna ujanja ujanja u got to work hard to earn
 
Take it easy with JF... Hakuna sehemu napapenda kama Lushoto.. Waliowahi kufika wanajua namaanisha nini... Kilichotokea kwenye hii mada ni vita ya siku zote ya Dar vs mikoani
 
Take it easy with JF... Hakuna sehemu napapenda kama Lushoto.. Waliowahi kufika wanajua namaanisha nini... Kilichotokea kwenye hii mada ni vita ya siku zote ya Dar vs mikoani

hahaha. I know bro! Najua dar v 'mikoani' its like politics or simba v yanga(derby), we dont take things personal.
 
Take it easy with JF... Hakuna sehemu napapenda kama Lushoto.. Waliowahi kufika wanajua namaanisha nini... Kilichotokea kwenye hii mada ni vita ya siku zote ya Dar vs mikoani

sema wa dar mkija huku 'shambani' kwetu mnakuwa kama mmetoka new york, mnataka kudominate kila sekta. Nilishawahi kuwahost wadau fulani hotelini, mtu analala anawasha feni na ac at once. Hahahaha
 
but on serious note, nimekaa na 'watu wa dar' wana very sharp mind, huwa nawaza kwa akili yao wakikaa huku kwa opportunities zilizopo, within 5 yrs mtu anakua 'dangote'.
Nimeyasoma mabandiko yako yaliyopita na kukubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa. Ila hapa kwenye bandiko hili ni upotoshaji.
 
Back
Top Bottom