Vituko mikoani

Vituko mikoani

20180127_04_24_13.jpg nawakubali sana hawa jamaa.
 
Ile ya vichakani inaitwa "green lodge" Kwa raha zako unajilia uroda. Umenikumbusha "NANATUNGRU na HAMUYEBE" Ukerewe!
 
Aisee,
Mwembe basha nasikia ni noma.
Kivuli chake kitamu balaa.
Sijawahi fika lakini.

Ila ukipita mchana hapo utaamua kujipumzisha kwenye kakivuli katamu na kaupepo ka huo mwembe.

Ukipimzika tu na kausingizo mwororo hapo hapo.

Ukiamka popobawa washafanya yao zamanii.

Na kesho lazima utan'gan'gania kwenda tena.
Ushakuwa punga bila kujijua
Punga ndio nini ? Ni mtu anaependa kupunga upepo ?
 
Bukoba lango la HIV Tanzania... Kuna mto unaitwa katerero.... Gesti za kule magodoro yana nylon ngumu kwa sababu ya huo mchezo... Huku ni lazima kuongea kiingereza kama alama ya usomi
Mto katerero labda nyumban kwako
 
Wa mikoani wamelalamika sana kuwa nimewatenga sijaweka post kuwahusu... Basi hii sasa ni zamu yao watiririke kwa raha zao.. Japo huko kunaweza kuwa na vituko tofauti kabisa na Dar.. Kwa mfano kwenye ishu ya mahusiano mikoani wengi humalizana vichakani na maporini.Gesti huko sio nyingi kivile

Hii inaweza isiwe Tanzania lakini ni kiwakilishi chake
Mikoani si jambo la ajabu kukuta gesti house ndani choo cha shimo. Kesi za watu kuumwa na wadudu porini wakiwa kwenye malovee ni za kawaida sana
Mikoani watu wakiumwa cha kwanza hawaendi hospital bali kwa waganga wa kienyeji.

Visa vya mikoani vinaweza kupiku dar.. Ni aghalabu kukuta breakdown mikoani... Hiki ndio unaweza kukutana nachoView attachment 684535
Visa vya mikoani vinaweza kuwa kwenye makundi

Tanga... Wanasema mapenzi yalikozaliwa... Hakuna mkoa unaoogopeka kwa mapenzi, ushirikina wa ndele na mvuto kama Tanga... Story za wapenzi majini... Vifuu vunavyoongea ama wanyama.. Story za kubashiwa live nknk... Umeshawahi kusikia ya mwembe basha?
Tanga inaweza kuwa kiwakilishi cha pwani yote mpaka Zenji kwenye mitaa kama mfereji matako , kibanda maiti nk
Ngoma maarufu ya baikoko asili yake Tanga

Kilimanjaro na Arusha... Wazee wa arifu... Pesa ndio kila kitu huko.. Kuna mixer ya wamasai wapare wachaga wambulu nk... Wezi, bahili wachumi wasomi... Huku kuna sensa ya kila mwaka December... Mtu yuko tayari ajinyime mwaka mzima ili akaonyeshe sifa kwao.. Ni wapenda sifa na maendeleo pia... Vipi ushamba?
Moshi kuna mitaa kama kisambo (kisa mbo*..)?

Mikoa mingine karibuni sana.. Hasa ile inayosifika kwa kupenda rangi... Sifa! Ubabe.. Ukatili.. Uchawi... Umbea.. Majungu... Fitina... Nknk
Kule Songea kwa akina bambo madem wakitongozwa mnaenda hadi maporini na utamsikia dada akisema''nigwisae lelo'' akimaanisha ''niangushe basi'' na kule Ntwara utasikia ba somo kunyima ntu mi naona aibu ,siwezi nnyima ntu kitu cha bure baaa bwana somo
 
Kule Songea kwa avina bambo mandem wakitongozwa mnaenda hadi maporini na utamsikia dada akisema''nigwisae lelo'' akimaanisha ''niangushe basi'' na kule Ntwara utasikia ba somo kunyima ntu mi naona aibu ,siwezi nnyima ntu kitu cha bure baaa bwana somo
 
kuna gest moja geitagold,sina kumbukumbu vizuri nikiwa mgeni nimeenda field, pamoja na kugida konyagi sikulala! fisi zinapita na wenye nazo dirishani na kuzunguka zunguka! kuna wakati mtu unamwomba mungu hata akuchukue kwa muda tu hadi kukuche! aisee
 
Back
Top Bottom