Vituko mikoani

Vituko mikoani

hahaha! Prove me wrong
Umesema hivi “Watu wa Dar wana sharp minds! Wakikaa vijijini kwenye opportunities,wanaweza kutumia fursa na kuwa kama Dangote”

Hapa kuna mambo mawili,

Moja, kumbuka shamba ni jembe.

Pili, wengi walioko Dar, walikimbia shamba.

Kwahiyo ndo maana nikasema umepotosha hapo. Mtu kuwa na sharp mind, maybe kwasababu ya corners, siyo lazima afanikiwe vijijini. Kule kwa kiasi kikubwa hakuna kona kona.
 
sema wa dar mkija huku 'shambani' kwetu mnakuwa kama mmetoka new york, mnataka kudominate kila sekta. Nilishawahi kuwahost wadau fulani hotelini, mtu analala anawasha feni na ac at once. Hahahaha
joti.jpg
 
Wa mikoani wamelalamika sana kuwa nimewatenga sijaweka post kuwahusu... Basi hii sasa ni zamu yao watiririke kwa raha zao.. Japo huko kunaweza kuwa na vituko tofauti kabisa na Dar.. Kwa mfano kwenye ishu ya mahusiano mikoani wengi humalizana vichakani na maporini.Gesti huko sio nyingi kivile

Mikoani si jambo la ajabu kukuta gesti house ndani choo cha shimo. Kesi za watu kuumwa na wadudu porini wakiwa kwenye malovee ni za kawaida sana
Mikoani watu wakiumwa cha kwanza hawaendi hospital bali kwa waganga wa kienyeji.

Visa vya mikoani vinaweza kupiku dar.. Ni aghalabu kukuta breakdown mikoani... Hiki ndio unaweza kukutana nachoView attachment 684535
Visa vya mikoani vinaweza kuwa kwenye makundi

Tanga... Wanasema mapenzi yalikozaliwa... Hakuna mkoa unaoogopeka kwa mapenzi, ushirikina wa ndele na mvuto kama Tanga... Story za wapenzi majini... Vifuu vunavyoongea ama wanyama.. Story za kubashiwa live nknk... Umeshawahi kusikia ya mwembe basha?
Tanga inaweza kuwa kiwakilishi cha pwani yote mpaka Zenji kwenye mitaa kama mfereji matako , kibanda maiti nk
Ngoma maarufu ya baikoko asili yake Tanga

Kilimanjaro na Arusha... Wazee wa arifu... Pesa ndio kila kitu huko.. Kuna mixer ya wamasai wapare wachaga wambulu nk... Wezi, bahili wachumi wasomi... Huku kuna sensa ya kila mwaka December... Mtu yuko tayari ajinyime mwaka mzima ili akaonyeshe sifa kwao.. Ni wapenda sifa na maendeleo pia... Vipi ushamba?
Moshi kuna mitaa kama kisambo (kisa mbo*..)?

Mikoa mingine karibuni sana.. Hasa ile inayosifika kwa kupenda rangi... Sifa! Ubabe.. Ukatili.. Uchawi... Umbea.. Majungu... Fitina... Nknk
Shemeji umeeahau kwenu ugwenu
 
Mkoa wa Mara ndio mkoa pekee ambao upendo huonyeshwa kwa vipigo... Ni mkoa pekee ambao karibu kila nyumba haikosi mtuhumiwa wa mauaji na ndio mkoa pekee wenye death rate kubwa kutokana na kuuana... Kule ni MURA VITA NI VITA MURA
Mkoa pekee wenye vilema wengi na ngeu za kutosha
 
Viazi VITAMU vya kuchemsha!

Nimevitamani ghafla😛.


d6271f08de6a467e615fc550cad8948d.jpg
 
Back
Top Bottom