Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

Nina imani na uwepo wake, hamna sehemu niliyosema sitambui uwepo wake. Shida yangu inakuja pale binaadamu tunapoanza kumu interpret naona tunatumia mahaba sana kuliko fikra. Yaan watu hawafikiri kabisaaaaaa na ndio maana unakuta kuna watu imeripotiwa wanakula nywele na mijusi eti kisa mchungaji wao kasema vitabadirika kuwa chakula. Wengine wanajitoa mhanga eti shortcut ya kwenda peponi na hapo wanaua hadi wasio na hatia... yaan vurugu tupu.. iman bila tafakuri yakinifu ni ukichaa.
Hoja yangu ni hii...
Kama Mungu ndio muumbaji wa KILA KITU (each and everything) basi hata uwepo wake unatokana na uumbaji wake yeye mwenyewe, yaan hata yeye alijiumba kwa kuwa yeye pia miongoni mwa hiyo "each and everything". Na kama ikiwa hivyo basi tutakuwa tunapingana na maandiko kuwa yeye ni Niko.
Jibu hili swali

Mungu ni kiumbe au kitu?
 
Yohana 1:-3 yy ndyo mwanzo na mwisho hakuna chochote kilichofanyika bila yy.kwa mantiki hyo yy ndye mwumbaji wa kila ki2.japo hapo kwenye giza kuna pointi fulani nikm ilikuwepo nahaikuumbwa
 
Kwanza ili umjadili Mungu ni lazima uwe na imani ya uwepo wake si tofauti na hapo...

Jibu nnalokupa ni kuwa Mungu hafanani na chochote kimaumbile
Una maana Gani wakati imeandikwa Tumuumbe Binadamu kwa Mfano wetu sisi???? au ndio wewe mfuata upepo hujui Dini hujui Biblia hujui Tarmud wla kitabu chchote cha dini ulichokisoma hadi kiishe..... yaelekea hata Jina la Mungu unayemuabudu hulijui.... na unaabudu mungu wa Imani ipi hujui...

Mungu anayezungumziwa hapa ni yule anayefanana na Binadamu kimfano haswa Mikono miguu kucha macho kisogo nyanyo na kila kitu....

Jiulize Kivuli ni sehemu ya kiumbe ?
 
Naona umekuja kwa pupa sana na munkari juu...na mwishowe ukaishia kuteleza.....

Hebu jaribu kupitia hiyo mistari kuisoma tena halafu uje unionyeshe ni wapi amesema yupo kama binadamu
 
Hivi tukisema tuunde sanamu la Nyerere wadhania linafanana na mbwa pake au Tembo? la hasha litafanana na Binadamu so Huyo Mungu aliyesema as per Maandiko tumuumbe Mtu kwa Mfano wetu it means Binadamu wanafanana na Mungu kimaumbile.... kiakili Tamaa, Hasira,Wivu Kulaani, Kuumba n.k

Tumia akili Ndogo na sio kuleta uzishi wa akili ndogo... kila kitu kipo wazi katika Dini hizi.... huna cha kuongeza au kukataza... Binadamu ni Mfano wa Mungu wa Maandiko ya story za Bible na si kama akili zako za kijinga wataka kudanganya watu kuwa Mungu hafanani na chochote labda umetunga wewe au weka Andiko linalosema Mungu hafanani na chochote! nikuzabe kibao
 
Nadhani kunawatu wnafanya kaz hii ya kupotosha watu kwn inamaslah kwao malengo yao dunia atawaliwe na shetani hvyo kwa garama yeyote hutumia watu kma hawa ili kufikisha malengo yao kwakweli target yao ni muda mrefu sana naamini ww uliondka haya hutoishia hapo ila wapo mtao wapta wachache mtawakosa kwn nyiny mpo kimkat zaid ila jamii zpo nakuona hvi ni vtu vya kawaida ningeshauri kwamba tuamke dunia imefka kubaya na shetani ndo kakabidhiwa mamlaka ndo maana huwez kuzuia machafko duniani kwn ni mpango maksud.nivyema kuwaepuka watu kma hawa wanaopotosha jamii
 
Mmmh Hivi wewe unamini Shetani katoka kwa nani?
 
Kwa nini mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote atake kutupa mtihani?

Kama anajua yote, si hata kabla ya kutupa mtihani atakuwa kashajua matokeo, sasa point ya kutupa mtihani ni nini?

Kwa nini mungu muweza vyote na mjuzi wa yote atake kuabudiwa? Asipoabudiwa atapungukiwa nini?

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Mkuu Kiranga nimekufuatilia tangu mchango wa kwanza ktk hili bandiko. Una maantiki ktk hoja zako,lkn mimi nataka nikusaidie hapa ulipohoji kwa nn Mungu mwenye upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana na wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani..!? Ukweli Mungu hakuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana,Mungu alimuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake. Hilo ndo jambo kubwa sana alilofanya,Mungu aliweka kila kitu ktk uwezo wa mwanadamu wa kuchagua namna ya kuishi bila msaada wake. Mabaya yanayotokea ni uamzi wa mwanadamu wala si wa shetani wala Mungu km wengine wanavyosingizia.

Kila unachotenda hapo ulipo ni kwa msaada wa akili yako. Kwa mfano: ukiona kitu kimeandikwa hii ni sumu usiinywe,lkn wewe unasema nainywa Mungu yupo ataniponya,hapo unamfanya Mungu awe kibarua wako na ndo hasa ulichomaanisha ktk maswali yako. Hebu me nikuulize hivi kwa mfano wanadamu wote kwa pamoja tukiamua kuishi kwa kutenda mema 100% hilo swali lako litakuwa na maana kweli!!? Ntarudi..
 
Unaposema mungu kaumba bnadam kwa mfano wake INA maana mungu amefanana na bnadam na kama mungu amefanana na bnadamu bac hajakamilika kama ilvyo bnadamu nae hajakamilika
 
Mkuu binadamu ni mfano wa Mungu lkn haimfanyi binadamu kuwa Mungu. Unaweza kujipima hata ww kile ulichonacho ulinganishe na viumbe vingine. Binadamu alipewa kila kitu cha kumuwezesha kuendesha maisha yake bila kusimamiwa. Yapo matumizi mabaya tu ya akili zetu ambayo kusema kweli hayamhusu shetani wala Mungu mwenyewe. Hata tunachojadili hapa kinathibitisha hilo.
 
Mungu yupo na ataendelea kuwepo
Mungu na Shetani wana Undugu au Ni Maadui wa Asili? wote wana uwezo si ndio? Maana Hadith inasema Theluthi mbili ya Malaika hawakuasi na Theluthi moja ya Malaika iliasi ikawa Vita Mungu akashinda kutokana na wingi wa Jeshi lake la Malaika theluthi Mbili so ni Sawa na Russia na America Ni Ndugu wote Wazungu na wote wana Nguvu Sababu ya Uwezo wao wamebakia kutishiana tu bila Action..... Shetani hata akufanye nini wewe Mungu Atatizama tu Maana Akianzisha Vita ni Balaa zitapigwa Kinoma na Kwa Sasa Shetani wako ana wafuasi wengi zaidi ndio maana Dunia haiishi Hakuna wa Kuanzishisha Vita ila Mikwara itaendelea na Majigambo... Jamani Raha si Raha.....!
 
Mkuu binadamu ni mfano wa Mungu lkn haimfanyi binadamu kuwa Mungu. Unaweza kujipima hata ww kile ulichonacho ulinganishe na viumbe vingine. Binadamu alipewa kila kitu cha kumuwezesha kuendesha maisha yake bila kusimamiwa. Yapo matumizi mabaya tu ya akili zetu ambayo kusema kweli hayamhusu shetani wala Mungu mwenyewe. Hata tunachojadili hapa kinathibitisha hilo.
Binadamu kuwa mfano Wa mungu haimfanyi kuwa mungu kvp? Wkt andiko linasema

Lakn nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanaume mi kristro, na kichwa cha mwanamke n mwanaume na kichwa cha kristro ni mungu.

HV tukisema
A=B, B=C, C=D, D=E alafu A ikawa sawasawa na 1. E itakuwa ngap?
 
Mkuu Kiranga nimekufuatilia tangu mchango wa kwanza ktk hili bandiko. Una maantiki ktk hoja zako,lkn mimi nataka nikusaidie hapa ulipohoji kwa nn Mungu mwenye upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana na wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani..!? Ukweli Mungu hakuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana,Mungu alimuumba mwanadamu kwa sura na mfano wake. Hilo ndo jambo kubwa sana alilofanya,Mungu aliweka kila kitu ktk uwezo wa mwanadamu wa kuchagua namna ya kuishi bila msaada wake. Mabaya yanayotokea ni uamzi wa mwanadamu wala si wa shetani wala Mungu km wengine wanavyosingizia.

Kila unachotenda hapo ulipo ni kwa msaada wa akili yako. Kwa mfano: ukiona kitu kimeandikwa hii ni sumu usiinywe,lkn wewe unasema nainywa Mungu yupo ataniponya,hapo unamfanya Mungu awe kibarua wako na ndo hasa ulichomaanisha ktk maswali yako. Hebu me nikuulize hivi kwa mfano wanadamu wote kwa pamoja tukiamua kuishi kwa kutenda mema 100% hilo swali lako litakuwa na maana kweli!!? Ntarudi..
Hujaelewa swali.

Swali ni kwamba, kabla ya mtu kuumbwa, kwa mujibu wa mapokeo yenu, mungu aliumba ulimwengu.

Alivyokuwa anaumba ulimwengu huu, alikuwa na uwezo wa kuuumba ulimwengu uwe vyovyote anavyotaka.

Akachagua kuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana.

Wakati alikuwa anaweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Kwa nini?

Ukianza kusema habari za binadamu kaumbwa kwa mfano wa mungu unaonyesha hujaelewa swali.

Swali linauliza kabla mtu hajaumbwa.

Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.

Kwa nini hakuumba ulimwengu huo?

Unaposema mabaya ni uamuzi wa mwanadamu, mabaya hayo yamewezekanaje bila mungu kuyaruhusu?

Na kwa nini karuhusu yawepo?

Alishindwa kuumba ulimwengu ambao maamuzi ya binadamu yatakuwa kati ya mazuri na mazuri zaidi tu?

Kama alishindwa, je ni kweli anaweza yote?

Ama aliweza kuumba ulimwengu usio na mabaya, ila hakutaka tu?

Kama aliweza ila hakutaka tu, kwa nini katubania kwa makusudi? Ni kweli ana upendo wote?

Huyu mungu yupo kweli au ni hadithi tu?
 
Soln yake ni hii hapa"AKILI ZANGU HAZICHUNGUZIKI" so uki base kwenye haya mambo unaweza kuwa CHIZI wa KIFIKRA!!
Akili za nani hazichunguziki? Kwa sababu gani?

Na kama hazichunguziki unajuaje kama hazichunguziki?

Unajuaje kwamba hilo ni kweli ama ni hadithi tu?
 
Ndiyo maana wakina kiranga huwa amwamini! Ujue hivi vitu mda mwingine vinachanganya mnoo!! Nahc maisha ni kma game vile tena PS! Na mshika pad ni mungu na shetani!!
Kabla ya kusema hivyo, unaweza kuthibitisha mungu na shetani wapo?
 
Na anasema Niliujua mwisho kabla ya ule mwanzo!! That means alijua kuwa mtihani anaotupa tuta fail tu!! Bali akaamua tu tu fail na tukisha fail atuchome moto!! Mungu alimjua ayubu hhata kabla hajazaliwa, lakii shetani akaja kumshari Mungu as if Kunna kitu Mungu hakukijua kuhusu ayubu, na Mungu naye akafuata ushauri wa Shetani!! Kuna utata hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom