Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

Ni sahihi ukisema katika kitabu fulani hakijaeleza Mungu kuwa aliumba giza, kifo au njaa kwa kutumia vifungu ulivyosoma, lakini si sahihi kuhitimisha kwamba hakuumba. Nitakupa mfano mmoja, hata biblia inaposema hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi haimaanishi kwamba hakukuwa na matukio kabla ya hapo bali hapo ndipo waandishi walipoanzia. hivyo kuhitimisha (conclude) kwa hiyo elimu ndogo ya dini uliyonayo sio sahihi ungehoji tu kwamba kitu fulani hakijafafanuliwa kwenye vitabu.
umenena vema sana mkuu Migomba

huyu mwenzetu sijui kayatoa wapi hayo mafact yake

maneno hapo mwanzo yanayopatikana kwenye mwanzo 1;1 ndo mwanzo pia wa mwanadamu kuanza utafiti wake,kabla ya hapo mwandamu anaanzaje kusema yale ambayo hayakuandikwa kwenye hiyo mwanzo?nani atamwambia na nani anayajua?hata wanasayansi waliobobea wanapoanza kumtafuta Mungu na kumwelewa wanaenda hapo hapo kwenye hapo mwanzo,maana hapo ndipo mwanadamu anapoweza kuanza kuijuia historia ya ulimwengu

anayeenda kinyume na hapo mwanzo au kujaribu kutueleza mambo kabla ya hapo mwanzo basi kajitungia na kama kajitungia maanake anasema uwongo tena usioweza hata kutetewa,na usio na ushahidi.
 
That is a logical non sequitur borne out of a petty mind that cannot reason beyond the nose.
Dah nasikitika umetanguliza kashfa mkuu Kiranga ,nilitaka tu tureason kwa utaratibu tu ,anyway mi sio Msomi kama ulivyo wewe kaka yangu lakini uhakika wa kwamba nafikiri Zaidi ya kwenye pua huo ninao na ndo maana nikakwambia kama Mungu hayupo maanake hata wewe huexist

kama wewe upo na umeweza kufanya vitu mbali mbali kutokana na akili na nguvu zako iweje yule muumba wa ulimwengu mzima asiwepo?

kila kitu ambacho kimetengenzwa na wanadamu kimeandikwa wapi kimetokea made in china,made in germany and so and so

tena vitu vyenyewe very simple,vitu vyenyewe vimetengenezwa kutokana na malighafi ambazo dunia inazaa, hata wewe nyumbani kwako huna kitu ambacho umewahi kukikuta tu hakina maelezo yaani kipo tu kimexist from nowhere,kila kitu its either umenunua au umetengeza mwenyewe,then unakuja kushangaa mtu from nowhere anakuja kusema hakuna Mungu,kama vitu vidogo tu kama biskuti vina brandname na vinaonesha kuwa kuna mtu kavitengeneza,itakuwa matunda na malighafi zilizotumika kutengeza hizo biskuti?itakuwa a complicated creature like a human being?itakuwa a complicated system like a solar system?

kila kitu kilichopo dunia leo kina mtengenezaji wake,mpaka vile vidogo vinavyoonekana kuwa haviko complicated kabisa kabisa kama penseli tu ya mkaa kuna mtu katengeza,itakuwa leo hii binadamu?the grand universe? eti vimejitokeza vyeyewe tu na hakuna Mungu,matumizi mabaya ya akili haya.

hata haya unayoyaamini hapa ulifundishwa na mtu akakuaminisha

unaweza ukatuambia ni nani alikufundisha kuhitaji hewa ili uendelee kuishi?ulifundishwa darasani?
nani alikufundisha kuogopa kifo?
nani alikufundisha kupenda?
nani alikufundisha kuhisi huruma?
 
Niwie radhi kwa kughafilika na kutoa lugha iliyokudhalilisha.

Maadam una kiu ya kujadili kimantiki, tuendelee na mjadala kimantiki.

Thibitisha Mungu yupo na kaumba ulimwengu.
 
Niwie radhi kwa kughafilika na kutoa lugha iliyokudhalilisha.

Maadam una kiu ya kujadili kimantiki, tuendelee na mjadala kimantiki.

Thibitisha Mungu yupo na kaumba ulimwengu.
Usjiali mkuu nimekuelewa na nimekuwia radhi kiroho safi kabisa

Sawa mkuu nilikuuliza tu hapo awali,kila kitu kilichotengenezwa na mwandamu kimeandikwa kimetengenezwa wapi,made in made in made in ni maneno ya kawaida kabisa

na hata wewe nyumbani kwako au katika vitu vyote ulivyonavyo,kuna chochote ambacho kilitokea tu mkuu,yaani umejipata tu uko navyo hujui vimetokea wapi,hujaenda kununua dukani au kutengenza mwenyewe kwa mikono yako ila unacho na unakitumia?

say umeamka tu siku moja na kuona kuna gari nje ya nyumba yako,limejitokeza tu lenyewe hujaenda kununua wala mshriki yeyote wa family yako hajalinunua ila lipo tu limejitokeza,

unacho au umewahi kuna na kitu cha namna hiyo mkuu?

au umewahi kusikia au kushuhudia tokea uzaliwe kwamba kuna mwanamke anaishi peke yake hana mume wala mpenzi ila kakaaa tu kisha baada ya muda kapata mimba,hajawahi kusex wala kuingiziwa mbegu za kiume ila ana mimba?

umewahi kusikia kuna mashine complicated duniani ambayo ilijitokeza yenyewe? kwamba watu Fulani wa mahali Fulani wameamka tu na kukuta kuna mtambo umesimama,haujulikani umetoka wapi,nani kauleta,umesimamishwaje? unajiendesha wenyewe kisha watu wakajifunza na kuendesha na utendaji wake wa kazi?

Naomba unijibu haya maswali yangu mkuu
 
Unaelewa kwamba ikiwa unasema kilicho complicated hakiwezi kutokea chenyewe bila kuumbwa, kimsingi unasema Mungu hawezi kuwapo?
 
Unaelewa kwamba ikiwa unasema kilicho complicated hakiwezi kutokea chenyewe bila kuumbwa, kimsingi unasema Mungu hawezi kuwapo?
hukujibu maswali yangu kwanza mkuu jibu kwanza kama ulishawahi kukutana na scenario nilizokutajia hapo awali kisha tuende huko unakoenda mkuu

tutafika kote huko bila wasi wasi
 
Jaman Mungu haelezek ukitaka zaid kumjua mungu htoweza Mungu hana mipaka ni Alpha na Omega hana mwanzo wala mwisho
 
Nabii wa Uongo
Baba wa huo
Wapendao Uongo na Kuufanya
 
Niwie radhi kwa kughafilika na kutoa lugha iliyokudhalilisha.

Maadam una kiu ya kujadili kimantiki, tuendelee na mjadala kimantiki.

Thibitisha Mungu yupo na kaumba ulimwengu.
Mkuu naomba kujifunza kutoka kwako.

Je! Waweza kulithibitishia Jua uwepo wa Usiku?
 
hukujibu maswali yangu kwanza mkuu jibu kwanza kama ulishawahi kukutana na scenario nilizokutajia hapo awali kisha tuende huko unakoenda mkuu

tutafika kote huko bila wasi wasi
Naweza kuwa nimekujibu, ila jibu hulielewi.

Ngoja nijaribu tena.

Nikikujibu kwamba, hakuna kilicho complex kinachotokea chenyewe, bila ya kuwekwa, kuumbwa, kusababisha na kingine.

Na hii ndiyo sababu Mungu hayupo.

Kwa sababu Mungu unayemsema ni complex, na kama na yeye ni complex, basi kwa kanuni yako ya "hakuna kilicho complex kinachoweza kuwapo bila ya kusababishwa na kingine", Mungu wako atahitaji kitu kingine kimsababishe, na akishahitaji kitu kingine tu kimsababishe uwepo wake, anakuwa si Mungu tena.

Kwa hivyo, kama hakuna kilicho complex ambacho kinatokea au kuwepo bila ya kusababushwa na kingine, basi kanuni hii inazuia Mungu kuwepo.

Unaelewa?
 
Jaman Mungu haelezek ukitaka zaid kumjua mungu htoweza Mungu hana mipaka ni Alpha na Omega hana mwanzo wala mwisho
Unajuaje haya ni kweli na si uongo?

Unajuaje kwamba sababu Mungu haelezeki si ukweli kwamba hayupo?
 
Hata baada ya kuonyeshwa kwamba kuwepo kwa huyu mungu kunaleta irreconcilable contradictions.

Watu wanaamini mungu yupo kwa sababu kubwa hizi.

1. Ni shortcut ya morality. Mtu anayeamini mungu yupo anafikiri kwamba ndiyo njia ya kuwa moral Zaidi na kutoamini mungu kuwapo huwezi kuwa moral. Kufikiri hivi hutokana na uvivu wa kufikiri.

2.Uvivu wa kufikiri tu unaomfanya mtu aamini katika dini aliyoikuta kutoka kwa wazazi. After all, kuanza ku question mambo haya kunaweza kukutenganisha na familia.

3. Speaking of kutengwa na familia, kuna cognitive dissonance inayokuwapo kwa watu ambao washa invest miaka mingi katika kuamini mungu yupo. Hawa wanakuwa kama mtu aliyepotea njia, anaona ushahidi wote kwamba kapotea njia, lakini hataki kurudi nyuma kwa sababu kashatumia muda mwingi sana kwenye mchepuko alikopotea njia, anakuwa anaishi kwa tumaini tu kwamba somehow njia yake ni sahihi despite all the evidence to the contrary. Ndiyo maana utasikia watu waliosoma na kujua mungu hayupo hawaishi ku rationalize Imani ya mungu, kwa kusema kwa mfano, hata kama mungu hayupo, Imani ya mungu inasaidia kuleta harmony duniani na watu wote wakikataa kuamini uwepo wa mungu kutakuwa na fujo.

4. Ujinga na umasikini tu. Mtu hajapata kipande cha muhogo kutia tumboni unafikiri anaweza kuwa na muda wa kuchambua "the problem of evil"? Anataka kuambiwa piga magoti uombe mungu atakujaalia. Ndiyo maana Northern Europe watu walikoelimika Zaidi na kuweza kutatua matatizo ya msingi makanisa yako empty na huku kwetu Africa ambako bado tuna ujinga na umasikini watu wanajazana.
OK, so mungu hakuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana. Mpaka hapo tayari una tatizo kubwa sana la kutatua.

Maana kama mungu hakuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana, na ulimwengu huu mabaya yanawezekana, ina maana mungu hakuumba ulimwengu huu?

Sasa imekuwaje mabaya yanawezekana? Ina maana kuna kitu kina uwezo kumpita mungu kilichofanya ulimwengu uwezekane kuwa na mabaya wakati mungu hakuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Mwanadamu amewezaje kufanya mabaya katika ulimwengu ambao mungu hakuumba uwezekano wa mabaya kufanyika?

Lazima uelewe kwamba, ili binadamu afanye baya, inabidi uwezekano wa baya kufanyika uwepo.

Binadamu hawezi kufanya baya katika ulimwengu ambao uwezekano wa baya kufanyika haupo.

Kama vile ambavyo binadamu hawezi kurudi nyuma katika muda katika ulimwengu ambao uwezo wa binadamu kurudi nyuma katika muda haupo.

Sasa binadamu kawezaje kufanya mabaya katika ulimwengu ambao mungu hakuumba uwezekano wa mabaya kufanyika?

Kama mungu hakuumba binadamu kufikiri mema tu, kamuumba binadamu kuweza kufikiri na kufanya mabaya, utasemaje mungu hakuumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana? Unajichanganya.

Unapoongelea "akili ya kujua mema na mabaya" tayari ushaongelea ulimwengu ambao mabaya yapo. Mimi ninachouliza ni tofauti. Nauliza kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana in the first place? Katika ulimwengu ambao mabaya hayawezekani, hakuna suala la kujua mema na mabaya kwa sababu mabaya hayapo. Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?

Alishindwa kuumba ulimwengu ambao una mazuri tu hauna mabaya na akampa mwanadamu uhuru wa kuchagua mazuri yapi afanye?

Mungu alishindwa kumpa mwanadamu nguvu maarifa na utashi katika ulimwengu ambao una mazuri tu na hauna mabaya?

Na kama kweli mungu anapenda mwanadamu awe na maarifa, kwa nini hakumpa mwanadamu maarifa awe kama yeye mungu?

Mungu kwa kuumba binadamu katika ulimwengu ambao mabaya yanawezekana tu na kutompa mwanadamu uwezo wa kuwa mungu tayari kashamzuia mwanadamu kuishi kwa wema 100 per cent.

Utasemaje kwamba vitu vibaya ni matokeo ya mwanadamu wakati mungu kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kufanyika kabla mwanadamu hajaumbwa? Uwezekano wa ubaya kufanyika umekuwapo tangu mwanadamu hajaumbwa, mwanadamu hajaumbwa na uwezo kama wa mungu wa kuepuka mabaya, mwanadamu akifanya mabaya kwa sababu ulimwengu unaruhusu mabaya kufanyika kabla yeye hajaumbwa na kwa sababu yeye kaumbwa na mapungufu yanayomfanya aweze kufanya mabaya, utasemaje mabaya ni matokeo ya wanadamu wenyewe?

Ni kama umpe mtoto mchanga pikipiki halafu umtake aiendeshe resi barabarani wakati unajua kwamba hana uwezo huo, akianguka na kuumia utasema ni matokeo yake yeye mwenyewe au mipango yako?

Kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao ianwezekana kwa mtu kuwa na tamaa ya kumtongoza mke wa fulani wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna tamaa ya mtu kumtongoza mke wa Fulani?

Hujajibu hili swali.

Wapi unalipata hili?

Kwa nini mungu kaumba uwezekano wa mtu kuwa na tamaa ya kumtongoza mke wa Fulani wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauna tamaa ya mtu kumtongoza mke wa Fulani?

Unaweza kujibu hili swali?

Uthibitisho gani? Unaweza kuutaja? Usilazimishe mambo tu.

Hujathibitisha mungu yupo. Una otea otea tu kwa "pengine".

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?
Kiranga, katika sifa nyingi ulizonazo, mojawapo ni hii; wewe ni mwalimu mzuri sana
 
Usjiali mkuu nimekuelewa na nimekuwia radhi kiroho safi kabisa

Sawa mkuu nilikuuliza tu hapo awali,kila kitu kilichotengenezwa na mwandamu kimeandikwa kimetengenezwa wapi,made in made in made in ni maneno ya kawaida kabisa

na hata wewe nyumbani kwako au katika vitu vyote ulivyonavyo,kuna chochote ambacho kilitokea tu mkuu,yaani umejipata tu uko navyo hujui vimetokea wapi,hujaenda kununua dukani au kutengenza mwenyewe kwa mikono yako ila unacho na unakitumia?

say umeamka tu siku moja na kuona kuna gari nje ya nyumba yako,limejitokeza tu lenyewe hujaenda kununua wala mshriki yeyote wa family yako hajalinunua ila lipo tu limejitokeza,

unacho au umewahi kuna na kitu cha namna hiyo mkuu?

au umewahi kusikia au kushuhudia tokea uzaliwe kwamba kuna mwanamke anaishi peke yake hana mume wala mpenzi ila kakaaa tu kisha baada ya muda kapata mimba,hajawahi kusex wala kuingiziwa mbegu za kiume ila ana mimba?

umewahi kusikia kuna mashine complicated duniani ambayo ilijitokeza yenyewe? kwamba watu Fulani wa mahali Fulani wameamka tu na kukuta kuna mtambo umesimama,haujulikani umetoka wapi,nani kauleta,umesimamishwaje? unajiendesha wenyewe kisha watu wakajifunza na kuendesha na utendaji wake wa kazi?

Naomba unijibu haya maswali yangu mkuu

Mbona yesu mnasema alizaliwa bila mbegu za kiume je hii unaikubali??
 
Unathibitishiaje kitu kisicho na uhai wala ufahamu?
Inathibitika vipi kuwa jua halina Uhai wala Ufahamu?
Umetumia kigezo kipi kusema hivyo?
Mimi nathibitisha kuwa Jua lipo hai,kwa sababu ya utendaji wake kazi,pia nathibitisha kuwa Jua lina Ufahamu kwa kuwa linajiendesha kwa kanuni zile zile bila kukosea.
Labda tuache huo uwezekano wa Jua kuwa halina Uhai wala Ufahamu.
Tulipe sifa ya Uhai na Ufahamu,
Je! Unaweza kulithubitushia Uwepo wa Usiku?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom