Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

Kiranga nimegundua we we ni mbishi tuu..swali hujajibu hilo unaogopakufa au huogopi
Nimeanza kwa kulijibu swali kwa kuandika "Siogopi kufa".

Ulitaka nijibu vipi? Nijibu "Naogopa kufa" ndiyo ujue nimejibu?

Unajua kusoma?

Hili linathibitisha vipi kwamba mungu yupo?
 
Nimeanza kwa kulijibu swali kwa kuandika "Siogopi kufa".

Ulitaka nijibu vipi? Nijibu "Naogopa kufa" ndiyo ujue nimejibu?

Unajua kusoma?

Hili linathibitisha vipi kwamba mungu yupo?
Kwanini huogopi kufa lazima patakuwa na sababu
 
Yan ww km ni biblia huijui na unyamaze kwa jina la YESU KRISTO.

Usituchefue hapa unaitafsir biblia kupitia mapepo yako ya utambuzi huko unakuja kujifanya unaelewa.

Ww ni kigae tuu mpendwa huwez kumwambia alie kuumba eti kunavitu hukuviumba UNAUSHAHIDI,ULIKUWEPO NA ALIE KUSIMULIA ALIKUWEPO?

unaelewa maana ya GIZA au nanafikir ni la usiku?pole rafiki.

Sikushangai ikiwa FARAO alipewa moyo mgumu na BWANA lengo ajitwalie utukufu kwa wamisri unaweza ukafanana na farao.

Biblia inasema ktka 2TIMOTHEO 3:7 "wakijifunza siku zote ila wasiweze KABISA kuufikia ujuz wa kweli"

Subir mkuu siku ukikunja goti,jicho lako likimwana na ulimi wako ukikiri kuwa yy ni BWANA WA MAJESHI NDO UTAELEWA.
 
Unajuaje kwamba mungu ni roho na hiyo habari ya kwamba mungu ni roho si hadithi tu isiyo na ukweli wowote? Wewe si wa rohoni uwezi jua na moyo wako wa jiwe
 
Mhhh. What if nothing was created by God only we have created with our minds and consciousness?
 
Quran inasema mungu kawafanya watu wengine mioyo yao kuwa migumu, macho yao na masikio yao kutosikia au kuona ukweli wasiweze kumjua yeye mungu.

Kisha akasema atawaadhibu hawa watu aliowafanya wasimjue.

Hivi wewe unaona hiki ni kitabu ambacho mtu yeyote anayetumia akili anapaswa kukiamini kama kitabu cha mungu?
mie kiranga nna amini sikuwez kwa mijadala juu ya uwepo wa mungu hapa angekuja we una watu ambaso mnawezana katika bato zenu nilikua namsaidia mtoa mada tu kama kwel yeye anaami qur an
 
mie kiranga nna amini sikuwez kwa mijadala juu ya uwepo wa mungu hapa angekuja we una watu ambaso mnawezana katika bato zenu nilikua namsaidia mtoa mada tu kama kwel yeye anaami qur an
Suala la msingi wala si wewe kutomuweza Kiranga katika hoja.

Hasha.

Suala la msingi ni kwamba unamtetea mungu ambaye hayupo ndiyo maana unashindwa kuisimamisha hoja yako vizuri.

Mungu huyu hayupo, ndiyo maana huwezi kujenga hoja iliyosimama vizuri kwamba yupo.

Kwenye ukweli na uchambuzi wa kina, uongo hujitenga.
 
Mkuu salama..? post: 15760770, member: 44727"]Mhhh. What if nothing was created by God only we have created with our minds and consciousness?[/QUOTE]
Mkuu salama..?
Longtime no see you ....karibu sana.
 
Suala la msingi wala si wewe kutomuweza Kiranga katika hoja.

Hasha.

Suala la msingi ni kwamba unamtetea mungu ambaye hayupo ndiyo maana unashindwa kyisimamisha hoja yako vizuri.

Mungu huyu hayupo, ndiyo maana huwezi kujenga hoja iliyosimama vizuri kwamba yupo.

Kwenye ukweli na uchambuzi wa kina, uongo hujitenga.

katika maisha kuna kitu kinaitwa imani kaka hiki ni kitu muhim sana huwafanya watu kujiamini na kuwa na msimamo katika kile ambacho wanacho na imani ipo kwa kila mmoja kuna tunaomwamini mungu kuna wanaoamini uweza wa mwanadam na ufaham wake kuna wanaoamini vitu na pia kuna wanaomini vile vinavyoonekana swala la uwepo wa mungu lilikua ni swali tokea enz za akina plato na aristotle anexmanes na hata kabla ya hao binadam alikua anahoji uwepo wa huyu mungu na hapo walipatikana waliotetea na wale waliopnga na mpaka nleo hakuna alokubali kushindwa kw upande wake kila mtu anjitetea na kuhakikisha kuwa anashinda naamini haya mambo hayataisha na mm sitaki kuyumba katiaka imani yangu mimi ni muislam dini iliyokuja kwa misingi ya kumuongoza mwanadam na kumfanya aishi maisha sahihi ikiwa pamoja na kumuwekea mipaka na kumhalalishia baadhi ya mambo
 
Kwa nini unafikiri ni lazima kuwe na lengo?

Na hata nikikwambia sijui, hilo linathibitishaje kuwapo kwa mungu?
Kama hakuna uwepo nani angeuliza swali? hata muulizaji hasingekuwepo au ww unaweza kuuliza kitu ambacho hakipo?
 
Kwake mungu ni viumbe Ila we we binaadamu utaita vitu..ukisema kiumbe unamaanisha chochote kilichoumbwa na mungu
Unataka kuanza na mimi wakati hiyo hoja si yangu, tumeambiwa Giza siyo kiumbe kwasababu hakijaumbwa na Mungu hata Mungu alilikuta Giza ndiyo akaumba nuru kama nimepatia kumkalili muandishi wa makaya haya
 
katika maisha kuna kitu kinaitwa imani kaka hiki ni kitu muhim sana huwafanya watu kujiamini na kuwa na msimamo katika kile ambacho wanacho na imani ipo kwa kila mmoja kuna tunaomwamini mungu kuna wanaoamini uweza wa mwanadam na ufaham wake kuna wanaoamini vitu na pia kuna wanaomini vile vinavyoonekana swala la uwepo wa mungu lilikua ni swali tokea enz za akina plato na aristotle anexmanes na hata kabla ya hao binadam alikua anahoji uwepo wa huyu mungu na hapo walipatikana waliotetea na wale waliopnga na mpaka nleo hakuna alokubali kushindwa kw upande wake kila mtu anjitetea na kuhakikisha kuwa anashinda naamini haya mambo hayataisha na mm sitaki kuyumba katiaka imani yangu mimi ni muislam dini iliyokuja kwa misingi ya kumuongoza mwanadam na kumfanya aishi maisha sahihi ikiwa pamoja na kumuwekea mipaka na kumhalalishia baadhi ya mambo
Nimeeleza hapo juu kwamba sina tatizo na imani.

Nina tatizo na imani isiyo na logic.

Idea ya mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ambaye ameumba ulimwengu huu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani ni contradiction.

Mungu huyo hayupo. Ni hadithi za kutungwa na watu tu.

Wewe unasema muislam. Quran inasema mungu kuna watu kawafanya mioyo yao kuwa migumu. Kawaziba macho na midomo ili hata wakijitahidi vipi kumjua wasiweze kumjua.

Halafu atawaadhibu kwa kutomjua.

Hivi wewe ukitumia akili kweli utaamini hiki nibkitabu cha mungu au kimeandikwa na watu tu?
 
Kama hakuna uwepo nani angeuliza swali? hata muulizaji hasingekuwepo au ww unaweza kuuliza kitu ambacho hakipo?
Naweza kuuliza kama pembe tatu duara lipo.

Hilo halimaanishi kwamba pembetatu duara lipo.

Uwezo wa kuuliza kuwapo kwa dubwana lolote hakumaanishi kuwapo kwa dubwana hilo.

Kama ingekuwa kuuliza kitu tu kunafanya kiwepo, ningeuliza kama nina dola trilliioni trillioni kwenye Swiss bank, halafu kuuliza huko kungefanya ziwepo.

Si unesemanukiuliza kitu kazima kiwepo?

That is a fallacious idea.
 
s

unafikiri mpaka unataja dollar si kwa sababu hiko kitu kipo nani angetaja dollar kama dollar haikuwahi kuwepo mfano ungekuwa peke yako kwenye dunia ungejuaje kama kuna uzuri au ubaya bila kuweka ulinganishi ambao umeona kwa watu wengine hivyo hata wazo la kuitwa baba lisingekuwepo kama uko peke yako ungejuaje habari za baba
 
Pembetatu duara nimeitaja hapo.

Ipo nayo?

Ina nyuzi ngapi?
 
kama hujaenda shule nitaamini kuwa huamini, lakin km umeenda shule bac ww unaamini historia binadam katokana na nyani..

basi huna budi kuamini hiyo
Mkuu kuenda Shule si issue sababu hata sisi Darasani tulivyoambiwa kuwa binadamu alianza kuwa Kama Nyani tulicheka sana na kila mmoja wetu alikataa lakini kwenye mtihani tulijibu kama tulivyofundishwa...

Hivi mimi nikikuambia Hapo Mwanzo Mungu alikuwa ni neno.... na neno ndio likaendelea hadi likawa Mungu akaumba kila kitu... je wapata picha gani huyo anayehadithiwa alikuwepo aua alihadithiwa na huyo Mungu..... hapo hapo unaambiwa Mungu haonekani, kitabu hicho cha bible kinakuambiwa kuwa Mungu alikuwa akishuka Duniani akimtembelea Rafiki yake Enoch akifanya naye Matembezi..., Ummbaji unasema Binadamu ameumbwa kwa Mfano wake na Makaila na Shetani,Lucifer,Michael,Gabriel n.k its Mean Mungu ana Umbo la Kibinadamu, Hapo hapo Watu wanasema Mungu hafanananishwi na Chochote...! Na Mussa yasemekana ndio Binadamu pekee aliyefikia kutaka kumuona Mungu ila Alipoona Kisogo akazimia.... picha gani unapata? Mungu anakichogo? Mungu Anatoshea ndani ya Ulimwengu aliouumba? hapo namaanisha ana size ya ukubwa wake unaoweza toshea kuwepo mlimani juu.... so Umbo lake si kubwa sana.... kiasi tuzani akikaa juu anaona kila kitu Duniani.... means tunadanganywa? anajua Nafsi zetu zinawazaje? lakini Shetani aliweza kushawishi theluthi ya Malaika wakaasi bila yeye kufahamu? Shetani ameweza kushawishi watu vibaya je anapenda hayo tunaambiwa anaupendo Mateso yako uyapatayo njaa na mengineyo... anaacha kwanza uteseke je ndicho alichokuumbia uteseke? Ukisema anakupenda sana na Bill Gates asemeje? au ndio tuseme asiyefanya kazi na asile.... so Masikini wote wanachotakiwa ni kufanya kazi.... na Yesu alisema Masikini wasaidiwe... Masikini wangapi unawasaidia....

Tukienda Mbele na Nyuma Hakuna Mungu ni ubunifu tu wa Hadithi za watu wa Kale... haswa Wayahudi ndio Walikuja na issue ya Mungu na Mungu wao ni kwa wao tu sio wewe Blakiii mgumu Mweusi kwao wewe uliitwa Mtumwa... Kaabudu dini za mababu zako migombani....

Enjoy Life there is no God. Do the right thing Enjoy life.... siku hazingoji....
 
Samahani mkuu. Mm ni miongoni kati ya watu wasioamini uwepo wa mungu. Nilianza kutoa imani yangu baada ya kujiuliza uwepo wa shetani. Naomba kushare na wewe hilo swali huenda tukapata jibu sahihi. Swali lenyewe ni hili hapa "je, uwepo wa shetani ni mpango wa mungu au ni kufeli kwa mungu? " naomba tujiulize kwa pamoja. Kama ukipata jibu usisite kunielekeza
Shetani ni moango wa Mungu... hakuna kitu ambacho Mungu anashindwa,, jiulize kwa nn ww una akili ya kutafakari (rational thinking) na wanyama hawana? Je hii ilitokea tu? Mungu amesema kwenyw QUran kuhusu hili. Mungu ni mkubwa na ufalme wake hauna mipaka.. turn back to your lord before its too late. Kuna vitu vingi sana ambavyo kwa akili ya kawaida tu ukiviangalia unajua kama MUngu yupo... mie ntakupa hiki kimoja tu ukichunguze kisha utajua kama Mungu yupo. "Fertilization->embryo->zygote->feutus->birth" kwa mwanadamu. Kisha rudi katika Quran ambayo ilishaelezea kila kitu hapo juu 1400 years ago wakat bado hata wanasayansi hawajui na haikuwepo technolojia hiyo. Hapo ndipo utajua kama hii dunia na kila kitu kilichomo it wasnt an accident. Good luck.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom