Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

Kutambua uwepo wa mungu hii hali inabase na faith ya mtu..na ndo mana nguzo ya kwanza ktika dini imani..hapa unaamini vitu visivyoonekana kwa macho kama malaika nakadhalika..problem kwa eisten unatumia brain only not heart kufeel presence of god.[emoji4] [emoji1]
kuna gravitational force haionekani lakini unaweza kufanya mahesabu na vifaa vipo kama simu na unagundua kama ipo wala haitaji imani hapo inakuwaje? vitu kama malaika haviwezi vikagundulika pia kwa kutumia sensors na vifaa vingine?
 
Thibitisha chochote unayoweza.
1.maumbile ya viumbe mfano mwanadamu..inaonesha kuwa hakutokeatuu kibahati
2.kuelea kwa sayari bila ya kugongana..comet zinapita across na solar system bila Kugonga sayari.
3.kwenye qurani mungu alitaja vitu vya kisayansi ambavyo wanasayansi wakafanyia utafiti wakajua in kweli...kama kuwepo kwa maji yasiyo changanyika na ya bahari within a deep sea ndo maana kunabaadhi ya visiwa kwa sasa vinatumia maji hayo.
4.kufa kwa viumbe na kuzaliwa kwa viumbe ni funzo tosha kuwa kuna circle ya life na Luna power inayoiendesha hiyo life
5.theory ya bigbang pia ilieleza kuwa initially kulikuwa na unknown force au supernaturally power iliyosababisha yoote Haya ..hii ni baada ya criticisms nyingi.
6.pia ukisoma kitabu cha mungu qurani hukuti kosa..
7.safari ya kwanza kwenda mwezini ..wale wamarekani watatu walivyoviona na kusikia vipo secretly service..Ila baadhi vimeleak kama kusikikika kwa wito adhana walipokuwa mwezini.
 
kuna gravitational force haionekani lakini unaweza kufanya mahesabu na vifaa vipo kama simu na unagundua kama ipo wala haitaji imani hapo inakuwaje? vitu kama malaika haviwezi vikagundulika pia kwa kutumia sensors na vifaa vingine?
Ndo ujue sasa kunavitu binadamu hawezi kuvisense kwa kutumia device au brain pekee lazima pawe na faith..tungekuwa wote ni vipofu duniani isipokuwa MTU mmoja tuu unafikiri tungemuamini kuwa kunarangi nyeupe na nyeusi bila ya kumuamini kwanza au kuwa na imani nae?!!
 
1.maumbile ya viumbe mfano mwanadamu..inaonesha kuwa hakutokeatuu kibahati

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe binadamu mwenye mapungufu? Mathalani, kwa nini mfumo wa nishati wa mwanadamu uwe na inefficiency kubwa sana kama mwanadamu kaumbwa na mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote? Kwa maana nyingine, kwa nini mungu huyo aumbe mwanadamu ambaye si energy efficient anaye produce so much wate?

2.kuelea kwa sayari bila ya kugongana..comet zinapita across na solar system bila Kugonga sayari.

Kama hii ndiyo proof yako ya kuwepo kwa mungu, basi mungu hayupo. Kwa sababu sayari zinagongwa na comets na asteroids kila mara. Dunia hii ishagongwa. Mpaka galaxies zinagongana. Haya mambo unayaelewa au unayafikiria kwa upeo mdogo tu?[/QUOTE]

3.kwenye qurani mungu alitaja vitu vya kisayansi ambavyo wanasayansi wakafanyia utafiti wakajua in kweli...kama kuwepo kwa maji yasiyo changanyika na ya bahari within a deep sea ndo maana kunabaadhi ya visiwa kwa sasa vinatumia maji hayo.

Quran ni kitabu kinachosema kwamba kuna watu mungu kawaziba mioyo yao, macho yao na masikio yao wasimjue. Halafu atawaadhibu watu hao kwa kutomjua mungu.

Hiki ndicho kitabu unachotaka kuamini kwamba ni cha mungu?

4.kufa kwa viumbe na kuzaliwa kwa viumbe ni funzo tosha kuwa kuna circle ya life na Luna power inayoiendesha hiyo life

Kufa na kuzaliwa kwa viumbe kunaonyesha ni circle of life. Hilo halijaonyesha lolote kuhusu mungu. This is a logical non sequitur.

Ni kama umesema circle of life na lunar power zinaonyesha kuna chungu cha dhahabu gereza la Ukonga. Totally unrelated things.

5.theory ya bigbang pia ilieleza kuwa initially kulikuwa na unknown force au supernaturally power iliyosababisha yoote Haya ..hii ni baada ya criticisms nyingi.

Kwanza huelewi theory ni nini na tofauti ya theory na proof ni nini. Pili Big Bang ni theory, hata wanasayansi wenyewe hawajaipitisha moja kwa moja. Tatu unknown power si lazima iwe mungu. Soma haya mambo uyaelewe si kurukia tu. Kitabu gani umesoma kuhusu Big Bang Theory na umeelewa nini kutoka hicho kitabu?

6.pia ukisoma kitabu cha mungu qurani hukuti kosa..

Mungu katika quoran anaposema atawatia watu Fulani ugumu mkuu na kuziba macho na masikio yao wasimjue, halafu atawaadhibu kwa kutomjua, wewe huoni kosa hapo?

7.safari ya kwanza kwenda mwezini ..wale wamarekani watatu walivyoviona na kusikia vipo secretly service..Ila baadhi vimeleak kama kusikikika kwa wito adhana walipokuwa mwezini.

Let me humor you for a moment and suppose this actually happened.

Utajuaje kwamba hiyo adhana ni kutoka kwa mungu na si kitu kilichotengenezwa na mwanadamu tu?
 
Ndo ujue sasa kunavitu binadamu hawezi kuvisense kwa kutumia device au brain pekee lazima pawe na faith..tungekuwa wote ni vipofu duniani isipokuwa MTU mmoja tuu unafikiri tungemuamini kuwa kunarangi nyeupe na nyeusi bila ya kumuamini kwanza au kuwa na imani nae?!!
Kwamba binadamu ana mapungufu katika anavyovijua si ushahidi kwamba kuna mungu.

Ni ushahidi wa kwamba mungu hayupo.

Kama kuna mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kwa nini atuumbe tukiwa na mapungufu katika ujuzi wetu?

In fact, kwa nini aumbe chochote kilicho na mapungufu yoyote at all?
 
Hiliswali lipo kwenye maamuzi yake Mimi na we we hatujui why..au subiri uje umuulize mwenyewe directly
 
Mimi siwezi kumuuliza mungu ambaye siamini yupo.

Wewe unayeamini yupo unaonekana humuelewi, ndiyo maana huwezi kujibu swali.

Na kama unamuamini mungu usiyemuelewa, unajuaje kwamba humuamini mungu ambaye hayupo?

Kwa maneno mengine:-

Unajuaje kwamba mungu yupo wakati hata kumuelewa humuelewi?
 
Nnamuelewa vile alivyotaka tuvijue Ila mengine katuwekea kuwa in siri mfano kifo...hapo utaniuliza kwanini kaweka kifo kuwa siri?..
 
Unajuaje kwamba yupo na unamuelewa alivyotaka tuvijue, na si kwamba hayupo ndiyo maana kuna vingine vinaonekana havieleweki?
 
Kiranga nimekutajia sababu au fact hapo juu kama 6 hivi za evidence kuwa mungu yupo..
 
KARANGA wewe ni moja ya watu wenye uwezo mkubwa ktk kufafanua na kufundisha.ila hili swala la MUNGU hakuumba baadhi ya vitu naona unalifafanua kisayansi(kidunia) ni kosa tena kosa kuwa sana na HAKIKA siku inakuwa wewe na wenzako mtaadhibiwa kwa kila neno mlilopotosha.Mungu ni roho ni kamili na haina mpaka.na waliyo rohoni(watenda mema au watakatifu walioko duniani) huona maana maajabu yake.na kumbuka biblia si gazeti au kitabu cha hadithi,kusoma biblia bila kuongozwa na roho mtakatifu ni bure ni sawa na kusoma gazeti kwa sababu ni mambo ya rohoni
 
Unaogopa kufa au huogopi..nijibu hili swali pls
Siogopi kufa, sitaki kufa nisivyotaka.

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?

Majibu yako yote uliyotoa kama uthibitisho yana walakini ambao nimeuonyesha hapo juu.
 
Unajuaje kwamba mungu ni roho na hiyo habari ya kwamba mungu ni roho si hadithi tu isiyo na ukweli wowote?
 
Siogopi kufa, sitaki kufa nisivyotaka.

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?

Majibu yako yote uliyotoa kama uthibitisho yana walakini ambao nimeuonyesha hapo juu.
Kiranga nimegundua we we ni mbishi tuu..swali hujajibu hilo unaogopakufa au huogopi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom