Vitu bado fresh!!!!!

Vitu bado fresh!!!!!

Sisi wamasai hatukuli hii makitu.

Kama hamli hii kitu poleni sana maana eti wanasema ukila ubongo wa hii kiti unakuwa na akili nyingi sana na aziwi "mbofumbofu"
 
Hata kivazi chake kinaonyesha mimba aliyonayo haikutarajiwa ni bahati mbaya tu.
 
Ndiyo maana Tanzania kuna watu wana akili za ulanzi kama Yericko Nyerere, anaeng'ang'ania kwa nguvu kuwa yeye ni mtoto wa Nyerere.
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo maana Tanzania kuna watu wana akili za ulanzi kama Yericko Nyerere, anaeng'ang'ania kwa nguvu kuwa yeye ni mtoto wa Nyerere.

Mzimu wa Yericko Nyerere unakutesa sana mama,

Bahati mbaya nishaoa na dini yangu yangu ya Rastafari inapinga kuoa wake zaidi ya mmoja,

Lakini nitajitahidi nikuweke nyumba ndogo usiye na mkataba wala makubaliano
 
Last edited by a moderator:
Noma Sana ndio maana watoto wa siku hizi akili zao kama za Zimbabwe+Unguja=Tanzania in 11964.
 
Last edited by a moderator:
Dah..! umenihamasisha, leo nikitoka job lazima nipite UHURU PUB Buguruni nikapate kitu cha "mchemsho wa sato" , ni balaa.. mdau Slave anawafuga hawa wadudu...
mchana.jpg Baba V karibu supu wachai.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom