Hata mimi pia!hao samaki wamentoa udenda
Huyo mama kijacho si mchezo, maana hapitwi na mambo bado yumo tu,kazi kwelikweli.
Na vipaja vyake vilivyotoka msuli ova Usain Bolt! mbona atazalia kwenye Rusha nafsi?
hao samaki wamentoa udenda
Sisi wamasai hatukuli hii makitu.
Hata mimi pia!
jamani weweeHhahaha mwenzio nimepanga hata niwapikeje?