Vitisho vinavyotolewa na Majeshi na wanasiasa likiwemo himizo la kulinda amani ni ishara tosha Serikali na CCM wanayaogopa Maandamano!

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
352
Reaction score
1,036
CCM na Serikali inatambua Fika Maandamano ya wananchi ndio njia pekee ya wao aidha kuondoshwa madarakani au kulazimika kukubali matakwa ya wananchi ambayo hawataki kuwapa.

Njia zote nyingine ikiwemo ya kukaa mezani haziwezi kuzaa matunda kwani tayari CCM wanajua namna ya kucheza ulaghai kwa vyama vingine ikiwemo kuweka vyama feki na wanasiasa wa CCM ndani ya vyama vingine

Kuhusu uchaguzi hapo ndio kabisaa hata ipite miaka 1000 kwani wao ndio wanaamua nani apite sababu wao ndio wanaandaa mfumo mzima wa huo uchaguzi hivyo hawawezi anguka kwa kura.

Kitu pekee kinaweza watoa CCMmadarakani ni kupia maandamano ya wananchi wakiwa kundi kubwa na ndio maana wanafanya kila jitihada hilo lisitokee ili waendelee kutawala

Wanatoa Rushwa, wanateka na kuua watu, wanaficha watu, wanaweka jela wanatisha raia kwa kila njia, kupitia jeshi la polisi, jeshi la wananchi ili watu waingie hofu wasitoke kuandamana tarehe 29, kwani ndio njia pekee ambayo hawawezi chakachua matokeo yake iwapo wananchi wote wakaamua kuamdamana.

Ndio maana mnaona sasa hawaelezi sera zao ila wanakemea maandamano maana hayo ndio tishio la ulaji wao.

Wanajificha kwenye amani ila hakuna amani wanayotaka isipokuwa wanataka mbaki mnalinda amani wao wanatawala
 
Agaza Jack Daniel nakuja kulipa
 
Hii nnchi wananchi ni waoga tu ila waliomadarakani ndio waoga kupindukia lile swala la mwendokasi magomeni ilitokea vurugu 1 tu kesho mabasi
 
Huenda wananchi si waoga, ila wanafundishwa kuwa waoga na wanakumbushwa kila siku mpaka wanaoata hisia hizo.

Watawala wanaimbisha wimbo wa uoga na unafiki kwa wananchi ili kuuvunja umoja na nguvu ambazo wananchi wanazo,

Inabaki kila mtu anajiona ana ujasiri ila anasema huenda ni yeye pekee ndio jasiri wengine wote waoga na hivyo kila mtu kurudi nyuma akiogopa kuwa mwenyewe

uoga na unafiki unahubiriwa na kupandwa na wasio taka ujasiri uwepo kwani ijasiri na umoja wa Watanzania ni pigo kwa CCM
 
Back
Top Bottom