kulinda amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Tujifunze zaidi, katika kutenda haki na kulinda amani kipi kinatumia gharama kubwa?

    "Na zao la haki litakuwa ni utulivu na matumaini daima". Hii inamaanisha kuwa matendo mema na ya kweli huzaa amani, utulivu, na maisha yenye matumaini. Kulingana na maandiko ya Isaya 32:17 kutoka Biblia, haki na utendaji wa kweli ndio nguzo kuu ya jamii yenye utulivu na matumaini.
  2. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Bila amani, fursa hupotea na ndoto husimama. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kulinda amani. Tanzania ni yetu sote, tuilinde

    Ndio napanda kwenye jukwaa title kama ilivyotumwa kwenye laini yangu ya halotel. Vip huko nyie mmetumiwa nini?? Tuambatanishe na kapicha kama kapo. JOTO LA MAANDAMANO NI KALI
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tunaacha kutenda haki kwa gharama ndogo sana ili tuje kutumia gharama kubwa kulinda amani

    Hata Mungu anatowatoa wanawaizrael nchi ya utuma kuwangiza nchi ya ahadi agizo kubwa ilikuwa kwamba watende haki.Mungu anamchukia sana mtu amabaye hatendi haki. Isaya 32 :16-17 16 Ndipo hukumu itakaa katika jangwa, na haki itakaa katika shamba lizaalo sana. 17 Na kazi ya haki itakuwa amani...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kulinda amani: Udhibiti mitandao ya kijamii

    Tume ya Uchunguzi imependekeza kuanzishwa kwa mfumo madhubuti wa kufuatilia na kudhibiti matumizi ya mitandao ya kijamii wakati wa uchaguzi ili kuzuia uchochezi na uenezi wa habari za uwongo. Serikali inashauriwa kuweka sheria maalumu zinazohitaji majukwaa ya mitandao kutoa taarifa za...
  5. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa UN waipongeza Tanzania kwa mchango wake kulinda amani

    Tanzania to the World!!!!! Tunasonga mbele, Tanzania imepongezwa kwa kutuo Jumla ya Wanajeshi na Polisi 1,500 kwa ajili ya kuilinda amani katika mataifa mbalimbali Duniani.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wametakiwa waheshimu na kulinda amani. Lakini viongozi walioko madarakani wao wanavunja katiba na sheria haki za kibinadamu.

    Amani imetafsiliwa na viongozi walioko madarakani ni. ▪︎ kutokuwepo kwa migomo au maandamano ya kupinga ama kukataa jambo lolote. Iwe kwa watumishi wafanyakazi,wafanya biashara na wakulima. ▪︎ kutokuwepo kwa mawazo au fikra huru tofauti wala kuhoji kosoaji jambo lolote. ▪︎ kutokuwepo kwa...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jeshi La Polisi: Tunawashukuru wananchi kwa kutambua thamani ya kulinda amani. Hadi usiku huu hali ya nchi ni shwari

    Jeshi la Polisi Tanzania limewashukuru wananchi kwa ushirikiano katika kulinda amani wakati wa Sikukuu ya Krismasi na kusema kuwa hali ya usalama nchini imeendelea kuwa shwari. Polisi wamesema wananchi wanaendelea kusherehekea bila bughudha na wametoa wito wa kuendelea kutii sheria ili amani...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mnaolalamika mwezi mzima maji hayatoki msizue taharuki mitandaoni, tuendelee kulinda amani, amani ni bora kuliko maji

    Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji Utawasikia wapumbavu "Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake. Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea" Sasa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa awapongeza Watanzania kwa kuchagua kulinda AMANI

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amewapongeza Watanzania kwa kutimiza miaka 64 ya Uhuru na kuwashukuru kwa kukubali wito wa kulinda amani na utulivu wa nchi yetu. Msigwa amesema hayo leo Desemba 10, 2025 wakati...
  10. Keynez

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Haitafika mwezi February 2026, kutakuwa na Jeshi la kulinda Amani ndani ya ardhi ya Tanzania

    Huu ni mtazamo wangu tu kwa kile ninachokiona kinaweza kutokea. Kwa jinsi joto la kisiasa linavyoendelea na misimamo mikali ambayo pande zote imejiwekea, naona kabisa umuhimu, ulazima na uwezekano wa uwepo wa Jeshi la Kulinda Amani ndani ya ardhi ya Tanzania ifikapo February 2026. Hili...
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Onyo: Polisi hawana mamlaka ya kulinda amani na wananchi ikiwa wanauwa watu sasa wanalinda au ni wauwaji

    Onyo: Polisi hawana mamlaka ya kulinda amani na wananchi ikiwa wanauwa watu sasa wanalinda au ni wauwaji. Polisi watakao ingia mbele ya umma wanaweza kushambuliwa vikali hali inayoweza kuhatarisha maisha yao kutokana na kile kinachoitwa mauwaji ya halaiki waliyo yafanya Anae uwa watu ni...
  12. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  13. 4

    JamiiForums Tanzania Je nii wakati wa NATO kuidhinishwa kuja kulinda amani ya wananchi Tanzania?

    Wakuu salamu , na poleni na tunayopitia kama wananchi watanzania ,Mungu yupo kazini. Husika na mada tajwa juu , Moja kabla ya yoyote ikumbukwe watz wengi tupo kwenye majonzi makubwa ya kuondokewa na wapendwa zetu. Ila binafsi nionavyo mpaka sasa mambo yajayo sio mepesi tusidanganyane hapa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wajasiriamali Dar es Salaam wahimiza vijana wenzao kulinda amani na kuepuka vurugu

    Hizi ni propaganda na miradi ya Serikali, sidhani kama ni akili zao timamu :COFFEE: Vijana kwa sasa tunapanga Disemba 9 kudai haki ------------- Vijana wajasiriamali kutoka Mkoa wa Dar Es Salaam wametoa wito kwa Vijana wengine nchini kuienzi na kuilinda amani ya Tanzania na kujiepusha na...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tafuta HAKI na WAJIBU wa kulinda AMANI

    1. Wapigania haki ambao walikuwa na haki ya kukata vidole vya wenzao ila vyao visikatwe kisa ni wafuasi wa chama fulani kilichogoma kuingia kwenye uchaguzi Wapigania haki waliokuwa na haki ya kuuwa wenzao ila wao wasiuawe kisa tu wao hawajaenda kuchagua Wapigania haki waliokuwa na haki ya...
  16. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Wananchi wa Tanzania mko Tayari kwenda kulinda amani ya raia wa nchi ya Kongo lakini si kulinda Uhai wa Mtanzania,!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! "Jeshi la Wananchi wa Tanzania" mko bize kila mwaka kwenda kutuliza na kulinda amani ya wananchi wa Kongo lakini hamko Tayari katakata kulinda Uhai wa Watanzania wenzenu!Je Kuna uhalali wowote wa kutambulika kama "Jeshi la Wananchi wa Tanzania? au...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa sungusungu watakiwa kuwaongoza vijana kulinda amani

    Viongozi wa Sungusungu na wazee maarufu Kitongoji cha Maimba Kata ya Chamalendi wametakiwa kuwa mfano wa kuigwa katika kuwaongoza vijana kulinda amani na kuachana na vitendo vya uchochezi vinavyopelelea uvunjifu wa amani. Wito huo umetolewa Octoba 19, 2025 na Polisi Kata ya Chamalendi Mkaguzi...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bodaboda watakiwa kulinda Amani Ili kuendeleza shughuli zao kwa Uhuru na Ufanisi

    Kama mnavyowapa elimu hii kipindi cha uchaguzi kwa nguvu kubwa, basi mafanye hivyo pia kuwapa elimu ya usalama barabarani katika kufuata sheria. Maana kila siku visa vya bodaboda kupata ajali vimekuwa vingi. =================== Waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wametakiwa kutunza na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Vitisho vinavyotolewa na Majeshi na wanasiasa likiwemo himizo la kulinda amani ni ishara tosha Serikali na CCM wanayaogopa Maandamano!

    CCM na Serikali inatambua Fika Maandamano ya wananchi ndio njia pekee ya wao aidha kuondoshwa madarakani au kulazimika kukubali matakwa ya wananchi ambayo hawataki kuwapa. Njia zote nyingine ikiwemo ya kukaa mezani haziwezi kuzaa matunda kwani tayari CCM wanajua namna ya kucheza ulaghai kwa...
  20. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mufti Mkuu awataka Watanzania kuhubiri na kulinda Amani

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar bin Zubeir Ali amewataka Waislamu na Watanzania kwa ujumla kuhubiri na kulinda amani ya nchi, akisisitiza kuwa amani ndiyo msingi wa Uislamu na maendeleo ya taifa. Akizungumza katika mkutano wa viongozi wa dini mjini Makambako, Mufti Abubakar...
Back
Top Bottom