Kwahiyo huamini au? Mzee wake (Bulembo) alihojiwa Clouds akawa mkali balaa akasema hamtambui Zitto kama mkwe wake maana amekutana na bintiye vichochoroniAh ndugu, halima alizaa na zito ? Acha izo story bana lkn dogo kaukata maana ukwasi utakuwepo
Kwahiyo huamini au? Mzee wake (Bulembo) alihojiwa Clouds akawa mkali balaa akasema hamtambui Zitto kama mkwe wake maana amekutana na bintiye vichochoroniAh ndugu, halima alizaa na zito ? Acha izo story bana lkn dogo kaukata maana ukwasi utakuwepo
Kwa hiyo huyo Kabula wa Kebbys amechaguliwa kupitia mkoa gani?Kila mkoa lazima ulete mtu ikiwa mna idadi ya kutosha, kwa mfano ccm ina 94 kwahiyo kila mkoa unatoa wawili, halafu wanachukua kutoka makundi maalum mfano walemavu, vyuo vikuu aliyoingia nayo asha rose migiro
Tausi wa viunga vya BungeWasindikizaji wanaonekana, na wenye viti vyao wapo.
Hawa nafikiri, kazi yao kubwa ni praise & worship, pia kupendezesha viunga vya bunge.
Everyday is Saturday............................... 😎
Waulize CCM mimi sijui mkuu, na sio lazima wote watokee kwenye mikoa, CCM ina nafasi za viti maalum 94 lakini mikoa inaweza kutoa wabunge wasiozidi 70 wengine ni kutoka makundi mbalimbali mf: walemavu, vyuo vikuu nkKwa hiyo huyo kabula wa kebbys amechaguliwa kupitia mkoa gani?
Kwahiyo huyo Kabula katoka kundi gani kwani wakati wa mchakato wa kura za maoni viti maalumu CCM sikumsikia kagombea kupitia kundi lolote wala mkoa wowoteWaulize CCM mimi sijui mkuu, na sio lazima wote watokee kwenye mikoa, CCM ina nafasi za viti maalum 94 lakini mikoa inaweza kutoa wabunge wasiozidi 70 wengine ni kutoka makundi mbalimbali mf: walemavu, vyuo vikuu nk
Yetu macho...ila kazi ni pale watakapoanza kunyang'anyanaHawana kazi. Bunge lijalo litaongoza kwa wabunge wake kupata mimba Dodoma. CCM, baada ya kuiba kura na kuwapata wabunge mapoyoyo wasio na uwezo wa kusoma miswaada na kujenga hoja, sasa inafuata aibu ya mimba. Idle brain is the devil's workshop (ubongo usiyotumika ni karakana ya shetani).
Tatizo sheria zetu na hakuna wakuzibadilishaHii ingefanywa na vyama venye wawakilishi wachache ingeleta ticha...sasa hao waliochukua majimbo yote maalimu ya kazi gani.... Mengine wapotezee waanze kutuletea kinacho wapasa.
lengo ni kuwa nauwakilshi sawa bungeni wa kijinsiaWana mchango gani sasa hawa vivuli,kama sio kumaliza hela zetu tu
Hahaahaa mkuu umetishakundi maalum
Wangetuwekea orodha kwa mikoa tutathmini.Kila mkoa lazima ulete mtu ikiwa mna idadi ya kutosha, kwa mfano ccm ina 94 kwahiyo kila mkoa unatoa wawili, halafu wanachukua kutoka makundi maalum mfano walemavu, vyuo vikuu aliyoingia nayo asha rose migiro
[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jaman hawa watu ni wengi.
Hii ni hasara hapa ni sawa na shule mpya kama hamsini.
Au ajira za walimu wa primary hata 30000
Aliishia kupigwa ngwala na MakondaKatiba ya Warioba ilikataa huu upuuzi wakaitupilia mbali!
Utathmini kitu gani mkuu?Wangetuwekea orodha kwa mikoa tutathmini.
Hahahaha kumbe kiingozi wa chama ni kiungo mshambukiaji ah iyo ilinipita ...bac kama ni ivyo mzee wake ana kosea maana ndo ishatokea ivyo tenaKwahiyo huamini au? Mzee wake(bulembo) alihojiwa Clouds akawa mkali balaa akasema hamtambui zito kama mkwe wake maana amekutana na bintiye vichochoroni