share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,063
- 10,478
Hawana kazi. Bunge lijalo litaongoza kwa wabunge wake kupata mimba Dodoma. CCM, baada ya kuiba kura na kuwapata wabunge mapoyoyo wasio na uwezo wa kusoma miswaada na kujenga hoja, sasa inafuata aibu ya mimba. Idle brain is the devil's workshop (ubongo usiyotumika ni karakana ya shetani).Wasindikizaji wanaonekana, na wenye viti vyao wapo.
Hawa nafikiri, kazi yao kubwa ni praise & worship, pia kupendezesha viunga vya bunge.
Everyday is Saturday............................... 😎