Viti Maalum, CCM - Orodha ya watu 94

Viti Maalum, CCM - Orodha ya watu 94

Katiba ya warioba ilikataa huu upuuzi wkaitupilia mbali!
Nikweli mkuu huu ni upuuzi kabisa na kuharibu pesa za walipa Kodi tu.
Kila Jimbo Lina Mbunge wake aliechaguliwa na wananchi Hawa viti maalumu wanini Tena.
 
Kabula ndani ya nyumbaaaaa! no. 61 hapo. Hongera mama!
Swali la ufahamu: Hivi viti maalum wanachagua kutoka mikoa yote au siyo lazima?
 
Wabunge ndio wawakilishi wa wananchi wa Tanzania serikalini. Kila mtanzania ana mahitaji yake au sauti yake anayotamani serikali isikie na itoe support au muongozo.

Ili kuwa na serikali ya watu tunahitaji kuwa na wawakilishi wa watu toka kila nyanja ili kuweza kuboresha na kuharakisha maendeleo ya nchi na watu wake

Sijawahi kusikia formula ya kwamba ratio muwakilishi au mbunge kwa wananchi inatakiwa kuwaje ila kwa kujifunza toka nchi tofauti na kwa kuangalia idadi yetu na uhitaji wetu wa maendeleo kama nchi bado hatuna idadi kubwa sana ya wawakilishi.

Tanzania tupo zaidi ya watu 60million na wote tunahitaji kuifikia serikali na kujadili mustakabali wa maisha yetu na taifa letu kupitia hawa watu.

Kikubwa kwenye viti maalumu ni kuchagua wawakilishi ambao watakuwa wanawawakilisha wananchi walio wengi, wenye uelewa mkubwa wa jamii ya mtanzania, changamoto na uhitaji pamoja na suluhu tarajiwa ili kuweza kufanikisha maendeleo ya wa mwananchi na taifa kwa ujumla
 
Tungechukua vyote tu, tunataka kuweka record Bunge letu liwe na wabunge 2 tu wa upinzan dadadeq, na hao wakituzingua tunawafukuza vilevile.

Kaulimbiu yetu Bungeni; Hoja moja....Kauli moja.
 
Tungechukua vyote tu, tunataka kuweka record Bunge letu liwe na wabunge 2 tu wa upinzan dadadeq, na hao wakituzingua tunawafukuza vilevile.

Kaulimbiu yetu Bungeni; Hoja moja....Kauli moja.

Nadhani yeyote atakaezingua anatakiwa kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria bila kujali yeye ni wa chama gani.

Hata wale waliokua wanaizunguka serikali kwa kuandika barua bila kushauriana na serikali na kuwaambia world bank Tanzania isipate fedha walitakiwa kuwajibishwa
 
No.65 mdogo wake anne kilango malechela,mbunge wa CCM same, na mke wa waziri mkuu mstaafu.
 
No.5 alikuwa Dc wa wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro na mume wake ni mhadhiri chuo kikuu Cha mzumbe hapa morogoro.
 
Duh! Kweli TZ ina hela za kuchezea?!🙁😡😱😳
 
Lakini tukumbuke na hii bei
20201109_090112.jpg
 
Hao wote wanaenda kufanya kazi gani, kazi ya kupiga Meza na kuunga mkono hoja , yaani kazi hiyo ndio wanaenda wote hao,
Haya ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi
 
Back
Top Bottom