Viti Maalum, CCM - Orodha ya watu 94

Huu mzigo ni bora hi sheria ya viti maalum iondolewe imepitwa na wakati pia ni hasara kwa taifa hawa ndio wale wnao lalaga na kugonga meza tu
 
Hivi ni nani alileta huu mfumo wa viti maalumu kujazwa na wanawake tu. Mtu akishataka battle Maana yake mapambano anayaweza na yupo tayari kushinda au kushindwa.

hivyo Basi kwavile walitaka wapewe haki sawa na wanaume Wangefuta huu upuuzi wa viti maalumu ili Wote wapambane Majukwaani atakaeshinda battle anaingia mjengoni atakaeshindwa anafanya mambo Mengine.

#No Women No cry.
Kuondoa viti maalumu si busara. Wanawake wanahitajika; nchi ambako wanawake wako kwenye uongozi ziko mbele kimaendeleo. Angalia Uswidi na nchi za Skandinavia; uongozi wa Mama Merkel pale Ulaya; wanawake wana makosa yao pia, ila uwezo wa ujinga hukolea zaidi upande wa wanaume.
 
Hawa kila mmoja atagharimu zaidi ya billion moja TZS.Halafu hawana hata faida. Wafute viti maalum.
 
Haha ni kwa Kazi gani wanaenda kufanya? Nchi hii bwana,kwenda kulala tu na kupiga meza,na kusema ndiyoooooooooo,si wangechukua tu hata maskini 100 wakawalipa laki mbilimbilI kwa mwezi.? Half wengine waambiwa Anita hakuna,mara nyongeza za mishahara hakuna.
 
Mi naona wangeongezwa kwa nchi yenye watu zaidi ya milioni 55 hao ni wachache.
 
Kuondoa viti maalumu si busara. Wanawake wanahitajika; nchi ambako wanawake wako kwenye uongozi ziko mbele kimaendeleo. Angalia Uswidi na nchi za Skandinavia; uongozi wa Mama Merkel pale Ulaya; wanawake wana makosa yao pia, ila uwezo wa ujinga hukolea zaidi upande wa wanaume.
Ni bora idadi yao ingeongezwa kwenye ukuu wa wilaya lakini sio bungeni ni matumiz Mabaya ya pesa
 
Back
Top Bottom