Viti Maalum, CCM - Orodha ya watu 94

Viti Maalum, CCM - Orodha ya watu 94

This is too much; kila mmoja atapewa landcruiser a milioni 80 na kulipwa mamilioni kwa mjumla ya miezi 60, na wengi wao hawataongea lolote bungeni zaidi ya kupiga meza tu kushangilia! Katika kubana matumizi, idadi hii ipunguzwe wabaki angalu 50 tu ingawa nao ni wengi. Halafu ajira hizo zisiwe guranteed, bali ziwe reviewed kila mwaka kuangalia performance.
 
No, No, No! This is tooooo muuch. Mimi nilijua vitu maalumu ni kama vile vya walemavu. Hayo makundi mengine maalumu ni yapi? Yaani wote hao wanakwenda Bungeni na kukaa kula pesa za walipa kodi! Kwa orodha hii kweli hiyo SGR, JK waterfall project, vitaisha lini? Yaani, kama kuna sababu ya watu kuingia barabarani bila ukomo ni mambo ya hovyo kama haya. Then just after 5 years kila mmojawapo ya hawa anaondoka na Tzs. 200m+, plus mikopo ya interest free ya magari. All these from the Government coffers. For what?
 
Baada ya miaka 5 Final benefits kwa wabunge wa viti maalumu TU wa CCM:
94×200,000,00=18,800,000,000!! Kwa hesabu za chini. Kama siyo nchi nzima inaonekana tuna mapungufu ya kufikiri, sijui ni nini. Ni Mungu tu atusamehe.
 
No, No, No! This is tooooo muuch. Mimi nilijua vitu maalumu ni kama vile cya walemavu. Hayo makundi mengine maalumu ni yapiii? Yaani woooote hao wanakwenda bungeni na kukaa kula pesa za walipakodi! Kwa orodha hii kweli hiyo SGR, JK waterfall project, vitaisha lini??? Yani, kama kuna sababu ya watu kuingia barabarani bila ukomo ni mambo ya hovyo kama haya. Then just after 5 yrs kila mmojawapo ya hawa anaondoka na Tzs. 200m ++, plus mikopo ya interest free ya magari. All these from the Government coffers. For what???
Tuna safari ndefu sana
 
Viti maalumu! Utaratibu wa kipuuzi sana huu, unamuwezeshaje mtu kwa kumpa nafasi ya upendeleo?
 
uko sawa,ccm wameanza leo kuwa na wabunge wa viti maalumu. sasa wanakuwa na faida gani
Kwani wachadema inje na zile kiki za maigizo za kuongea kwa jazba na kuzilazira pale bungeni yalikuwa na faida gani? Tunawashukuru wapigakura kwa kuwa kimbiza baadhi yao, maaana ilikuwa nikero kubwa pale bungeniii.
 
Munde Tambwe mmmh...namsikia siku nyingi kweli.
 
Wana faida hao ,nyinyi hamjaishi bungeni ,yaani siku za bunge kunanoga, CCM juu!
jamani mungetuwekea na picha, tukawaona halafu kama rangi zao ndio wale anaowapenda muheshimiwa, yangeyange.
 
Kama zoezi zima la uchaguzi liligubikwa na mizengwe, ni kitu gani mnategemea wakuu. Ni mwendo wa kualikana mezani kula chakula.
 
Waacheni Waende wakajipigie hela wajijenge kimaisha....
Ila mngeweka na picha zao basi.....

Ova
 
Back
Top Bottom