mkiambiwa nyie watu hamko organized mnajaa mapovu bure tu.
just imagine taasisi kubwa Kama BOT na mabenki mengi wanazikataa national IDs,kisa hawana vifaa vya kusomea hizo chip za kwenye National IDs,this is a lough of the day.
some people somewhere are not doing their jobs properly,siku zote communication ni muhimu Sana,kitu ambacho NIDA angefanya mapema ni kuagiza mabenki yote yawe na hicho kifaa cha kusomea IDs from HQ to the furthest branch in this country.
let's say Leo Mimi naenda kwetu wilayani muleba,with means ntakosa huduma muhimu kwa sababu za uzambe wa watu flani.
nimebahatika kutembekea nchi tatu jirani,National Ids zako hazina hizo chip mnazosema,kwanza upatikanaji wa ID inaanzia kwa balozi wako ,then mwenyekiti wa mtaa,then form yako inapelekwa kwa karibu tarafa,from there to the district level then finally national level.
Leo hapa kwetu waliojiandikisha mwaka Jana tena hapa hapa Dar hadi Leo hawajapata vitambulisho vyao,na waliotumiwa SMS na NIDA walienda kuchukua wengine wakikosa,hata hao waliochukua vilikusanywa tena due to kasoro mbali mbali,what a shame.
complications hizi zote zinatokana na watu kupiga deal,yaani tunaingia kwenye mambo makubwa wakati hatujajiandaa vizuri technologically .
swala la national IDs linaitaji umakini wa hali ya huu Sana,kazi kubwa inafanyika grass root level huku ndio anapotambulika muombaji,yeye ni Mtoto wa nani na mjukuu wa nani,its not a mater ya u hire few staffs Kama vile wanao andikisha wapiga kura.
kwanza kazi hii ilikuwa inatakiwa ifanywe na wazawa wa eneo husika,Kama nilivyo ainisha hapo juu.