Vitambulisho vya Taifa (NIDA) havitambuliwi na BOT

Vitambulisho vya Taifa (NIDA) havitambuliwi na BOT

nchi hii ni maigizo mwanzo mwisho. mambo ya 10% yatatucost sana. nachelea kusema alaaniwe aliyeanzisha hii kitu iitwayo 10%.
 
Waulize NIDA ili iweje? unategemea hao NIDA wako watasema ni kweli havifai? Kuna watu wametoa ushuhuda hapo juu jinsi walivyokwamishwa na hivi vitambulisho vya NIDA. Mimi mwenyewe nilijua baada ya hivi vitambulisho kutoka basi mambo ya kuwa na 'mzigo' wa vitambulisho kwenye pochi yatakuwa yameisha kumbe ndiyo yamaeongezeka,nilishawahi pia kukataliwa bank kutumia hicho kitambulisho cha hao NIDA wako na sikuwa mbishi kwa sababu ni kweli havina sahihi. Taarifa zilizopo ni 1.Namba ya kitambulisho 2. Jina la mwenye kitambulisho (majina matatu) 2. Jinsi (gender) 3. Mwisho wa matumizi (expiry date)

Taarifa nyingi zipo kwenye chipset. Mnatembea na taarifa bila nyie kujua. Kwenye nchi za wenzetu wanaopenda kujua mambo badala ya kulalamika kuna ID zenye Jina tu. ubadilike jamani.
 
Tanzania chini ya ccm kila kitu kinawezekana isipokuwa UKWELI pekee!
 
Taarifa nyingi zipo kwenye chipset. Mnatembea na taarifa bila nyie kujua. Kwenye nchi za wenzetu wanaopenda kujua mambo badala ya kulalamika kuna ID zenye Jina tu. ubadilike jamani.

Sasa siuwambie BoT wavitambue....? kwa nini ccm na serikali hawajashirikisha wadau ktk design ya vitambulisho hivyo?

JK alichukua id hii wa kwanza...nitashangaa kama mapungufu haya hakuyatambua hata wasaidizi wake. The day is nearby the corner! tumechoka.
 
Nduru..Uiiiiiiiiuwi MUNGU WANGU tumekwisha...hamna jinsi tena....kila mtu angojee kufa tu.
 
Na rais,wafanyakazi walipewa, mpaka vinaanza kugawiwa kwa raia kasoro hazikutambulika? huku tuendako kubaya.
 
Taarifa nyingi zipo kwenye chipset. Mnatembea na taarifa bila nyie kujua. Kwenye nchi za wenzetu wanaopenda kujua mambo badala ya kulalamika kuna ID zenye Jina tu. ubadilike jamani.
Mkuu mi sijawai kuona hizo ID,je zina chipset,je ni taasisi ngapi zenye machine za ku-capture data za kwenye chipset.je ni kwa kiwango gani BOT na wengine hawakuona hilo?
 
Serikali ''sikivu'' chama sikivu
 
Tarehe ya mwisho wa Matumiz ipo jaman,changu mie mwisho wa Matumizi ni tarehe 9 June 2024...tuache kukurupuka tu,wengne hata hawana hivo vitambulisho kisha tunashabikia tu...Tunakubal vina mapungufu ila tuyajadili kwa undani na umakini.
 
Kisichokuwa na sifa hakiwezi kupewa sifa. Aje msemaji wa serikali atueleze vizuri

Hivi Msemaji wa Serikali ni nani? Ni Waziri wa Habari? Mkurugenzi wa Habari(MAELEZO) au Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu?
 
Tarehe ya kutolewa ya nini? Tatizo la kukariri mambo. Hiki ni cha utaifa. Sura muhimu. Jina na mambo machache muhimu. Kwishaaaa. Hawa ndo walipewa kazi kiu.....
 
Bila kuachana na CCM tutawalaumu bure watendaji wetu kwavile wanalazimishwa kufanya tofauti na mahitaji ili wakuu wapige deal wachote pesa
 
Benki kuu ya Tanzania imetoa muhtasari wa kutokutambua vitambulisho vya taifa kwa kuwa vina mapungufu makubwa kama kutokuwa na date of issue nk.... na hivyo kutkufaa kwenye matumizi yeyote ya kibenk ikiwemo kufungua account.....
Taarifa zaidi zitawajia..

Huu ni mwendelezo tu wa namna tunavyokurupuka kama taifa kufanya maamuzi ya zima moto kweye mambo ya msingi...... naangalia namna tunavyoandaa vitambulisho vya kuipiga kura, katiba mpya , Bara bara za lami, shule za kata, umeme nk.....

Another Escrow scandal
 
NIDA ni madudu matupu, sasa tumekurupikia kwenye BVR; Chezea TZ !!
 
Kwa hiyo hata JK ambaye ndiye alikuwa mtu wa kwanza kupewa hicho kitambulisho hakuliona hilo au mapungufu hayo mpaka dakika hii?? Kweli hii inatokea tu Tanzania.
 
Kwa hiyo hata JK ambaye ndiye alikuwa mtu wa kwanza kupewa hicho kitambulisho hakuliona hilo au mapungufu hayo mpaka dakika hii?? Kweli hii inatokea tu Tanzania.

Mtoa thread tunaomba aweke huo muhtasari wa BoT humu jamvini kwa sababu taarifa yake ni dhahiri kwamba ni ya kupika na hana lengo zuri na Vitabulisho vya Taifa ambavyo vimeleta maendeleo makubwa ya uchumi na kuimarisha usalama kwenye nchi zenye Vitambulisho. Huu ni upotoshaji.
 
Back
Top Bottom