Vitambulisho vya Taifa (NIDA) havitambuliwi na BOT

Vitambulisho vya Taifa (NIDA) havitambuliwi na BOT

Mtoa thread tunaomba aweke huo muhtasari wa BoT humu jamvini kwa sababu taarifa yake ni dhahiri kwamba ni ya kupika na hana lengo zuri na Vitabulisho vya Taifa ambavyo vimeleta maendeleo makubwa ya uchumi na kuimarisha usalama kwenye nchi zenye Vitambulisho. Huu ni upotoshaji.

Unaweza kueleza walau kwa kifupi jinsi vitambulisho hivyo vilivyosaidia kuleta maendeleao makubwa ya uchumi? Ni watanzania wangapi wanavyo hivyo vitambulisho compared with population yetu? Tusaidie kidogo kwa ufafanuzi mfupi.
 
Sasa siuwambie BoT wavitambue....? kwa nini ccm na serikali hawajashirikisha wadau ktk design ya vitambulisho hivyo?

JK alichukua id hii wa kwanza...nitashangaa kama mapungufu haya hakuyatambua hata wasaidizi wake. The day is nearby the corner! tumechoka.

Tatizo ni hao BOT. Shameee!!!
 
Mkuu mi sijawai kuona hizo ID,je zina chipset,je ni taasisi ngapi zenye machine za ku-capture data za kwenye chipset.je ni kwa kiwango gani BOT na wengine hawakuona hilo?

BOT Kumejaa watoto wa vigogo tu. Wengi hawana uwezo wa kazi ni ufisadi kwenda mbele. Wangewasiliana na NIDA kwani na wao ni chombo cha Serikali. Kutotambua ID hizo kwa kuwa hawaoni tarehe juu ya kitambulisho ni umburuala uliopitiliza. Kama suala la kusoma Chipset mashine zake ni bei kiasi gani kushindikana kuzinunua???.
 
Hata wale wa NEC wajiandae nao pia maana na vyao vitakataliwa kwani Middle name ni Initial badala ya jina kamili.
 
Viongozi wa taifa hili kuna kila dalili kuwa huwa wanatumia kile kijiti cha arusha........
 
Benki kuu ya Tanzania imetoa muhtasari wa kutokutambua vitambulisho vya taifa kwa kuwa vina mapungufu makubwa kama kutokuwa na date of issue nk.... na hivyo kutkufaa kwenye matumizi yeyote ya kibenk ikiwemo kufungua account.....
Taarifa zaidi zitawajia..

Huu ni mwendelezo tu wa namna tunavyokurupuka kama taifa kufanya maamuzi ya zima moto kweye mambo ya msingi...... naangalia namna tunavyoandaa vitambulisho vya kuipiga kura, katiba mpya , Bara bara za lami, shule za kata, umeme nk.....

Mtoa hoja ndiye msemaji wa BoT? kama ndiy atupe ripoti kamili na kama siye atupe right source ya hii habari. Asikurupuke na kudanganya watu. Suala la Vitambulisho vya Taifa si siasa na hafai kulihusisha na siasa, hapa unazungumzia utaifa wa watu. Sidhani kama mtoa hoja ni raia na Mzalendo wa Tanzania.
 
Unaweza kueleza walau kwa kifupi jinsi vitambulisho hivyo vilivyosaidia kuleta maendeleao makubwa ya uchumi? Ni watanzania wangapi wanavyo hivyo vitambulisho compared with population yetu? Tusaidie kidogo kwa ufafanuzi mfupi.

Usajili na Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa ninavyofahamu unakwenda kwa awamu, wamegawa IDs Zanzibar yote, Dar na Pwani. Pia nasikia wamesajili zaidi ya mikoa sita, tuvute subira watakamilisha nchi nzima na matunda yake tutayaona kama vile kurahisisha kupata mitaji kwenye taasisi za fedha, kuongeza mawanda ya mapato ya Serikali, kupunguza wafanyakazi hewa......
 
Afadhali umeweka hii mada.Kwani benki nyingi ambazo nimeshaenda kupokea fedha,wamekuwa wanagomea national ID.Lakini wanakubali Passport na voting ID.Eti ukiwauliza wanakuambia haina segniture ya mmiliki.This country is,for sure,total mess.Nimeangalia za Uganda na Rwanda zote zina signature ya mmiliki.Why Tanzania?
 
Taarifa nyingi zipo kwenye chipset. Mnatembea na taarifa bila nyie kujua. Kwenye nchi za wenzetu wanaopenda kujua mambo badala ya kulalamika kuna ID zenye Jina tu. ubadilike jamani.

Hakuna asiyejua kuwa hako kachip kana hizo taarifa,issue hapa is it relevant kwa mazingira yetu? kwa hiyo unawaambiaje watu wa bank wanotaka kutmia hizo Id lakini wanashindwa kutokana na hizo Id kukosa sifa stahiki?Na ingepunguza nini kuifanya iwe analogically acceptable na kukawa kuna hizo taarifa kweye chip? Au unafikiri hizo Ids ni kwa Dar tu ndugu yangu? BoT wameshatoa tamko hizo Ids kukosa sifa kwa matumizi ya kibank kwa hiyo unafikiri hao pia hawajui kinachoendelea "nchi za wenzetu"? Nimeanza kutumia hicho kinachoitwa smart card nikiwa UDSM 2002 kwa hiyo hakuna kipya unachodhani unafahamu
 
Usajili na Utoaji wa Vitambulisho vya Taifa ninavyofahamu unakwenda kwa awamu, wamegawa IDs Zanzibar yote, Dar na Pwani. Pia nasikia wamesajili zaidi ya mikoa sita, tuvute subira watakamilisha nchi nzima na matunda yake tutayaona kama vile kurahisisha kupata mitaji kwenye taasisi za fedha, kuongeza mawanda ya mapato ya Serikali, kupunguza wafanyakazi hewa......

Tatizo lako unabisa kwa mazoea,au nyie ndio wale waliofaidi kupitia this shoddy deal?
kitambulisho hakina date of issue,hakuna holders signature do you call that national I'd?
Ebu kuwa sorbet kidogo,hivi vitambulisho wamekurupuka vina mapungufu mengi Sana,though Mimi hao NIDA hawajafika mkoani kwangu lakini Misha shuhudia jamaa wawili wanapigwa chino na hizi IDs,yaani mwenye voter registration card au leseni ya udereva anatambulika zaidi.penye ukweli tuseme ukweli ebu acha ushabiki ndugu.
 
Afadhali umeweka hii mada.Kwani benki nyingi ambazo nimeshaenda kupokea fedha,wamekuwa wanagomea national ID.Lakini wanakubali Passport na voting ID.Eti ukiwauliza wanakuambia haina segniture ya mmiliki.This country is,for sure,total mess.Nimeangalia za Uganda na Rwanda zote zina signature ya mmiliki.Why Tanzania?

Signature zimo ndani ya chip, hata mahali, tarehe ya kuzaliwa, kutolewa na kuhishwa zipo, lakini benki zinatakiwa kuwa na kifaa cha kusomea taarifa hizo. Na kimsingi asasi nyingine zinatakiwa kulipia taarifa hizi ili NIDA iwezekujitegemea kwa kukusanya retention/maduhuli.
 
BOT Kumejaa watoto wa vigogo tu. Wengi hawana uwezo wa kazi ni ufisadi kwenda mbele. Wangewasiliana na NIDA kwani na wao ni chombo cha Serikali. Kutotambua ID hizo kwa kuwa hawaoni tarehe juu ya kitambulisho ni umburuala uliopitiliza. Kama suala la kusoma Chipset mashine zake ni bei kiasi gani kushindikana kuzinunua???.

Hebu nijuze hao vigogo nivkina nani?
 
Tatizo lako unabisa kwa mazoea,au nyie ndio wale waliofaidi kupitia this shoddy deal?
kitambulisho hakina date of issue,hakuna holders signature do you call that national I'd?
Ebu kuwa sorbet kidogo,hivi vitambulisho wamekurupuka vina mapungufu mengi Sana,though Mimi hao NIDA hawajafika mkoani kwangu lakini Misha shuhudia jamaa wawili wanapigwa chino na hizi IDs,yaani mwenye voter registration card au leseni ya udereva anatambulika zaidi.penye ukweli tuseme ukweli ebu acha ushabiki ndugu.

Ndugu, mtu akiona signature anaweza kughushi lakini ikiwa ndani ya kitamblisho na ukatumia alama za vidole kufanya utambuzi huwezi kughushi. Tubadilike na twende na teknolojia. NIDA wako mbali na ndo maana hivi karibuni wamekuwa washindi wa kwanza Afrika kwa teknolojia wanayotumia ktk Vitambulisho vya Taifa.
 
Benki kuu ya Tanzania imetoa muhtasari wa kutokutambua vitambulisho vya taifa kwa kuwa vina mapungufu makubwa kama kutokuwa na date of issue nk.... na hivyo kutkufaa kwenye matumizi yeyote ya kibenk ikiwemo kufungua account.....
Taarifa zaidi zitawajia..

Huu ni mwendelezo tu wa namna tunavyokurupuka kama taifa kufanya maamuzi ya zima moto kweye mambo ya msingi...... naangalia namna tunavyoandaa vitambulisho vya kuipiga kura, katiba mpya , Bara bara za lami, shule za kata, umeme nk.....

Na wewe umeandika maujinga "date of issue" is not a key information on identication of a person. But ATM Cards yes.... National ID are there to identify a person not to identify a card.

leo hii benki zinakubali driving licenses, ID ya mfanyakaZi, kitambulisho uchwara cha mpiga kura... Barua ya Mtendaji wa mtaa, Eric Ati wakatae National ID cards zenye a lot of information than any of the above!

hiyo sio ATM card au voucher cards hizo ndio dates za issue na expire ni Muhimu sana.

#Facts today the only ID Card contain a lot of information and electronically it is national ID card....date of issue may still be inside the data but it is just not printed on the card...due to space and the way ministry of home affairs decide which info to be printed on the card.

below is national ID for
Nigeria http://www.sott.net/image/s7/140030/full/New_Nigeria_Identity_Card_powe.jpg
south Africa http://you.co.za/news/id-makeover/
USA
imagegif

usually if you need more information from the same card you can buy card reader to read more information from the cards that are not printed on the card.
 
Mtoa thread tunaomba aweke huo muhtasari wa BoT humu jamvini kwa sababu taarifa yake ni dhahiri kwamba ni ya kupika na hana lengo zuri na Vitabulisho vya Taifa ambavyo vimeleta maendeleo makubwa ya uchumi na kuimarisha usalama kwenye nchi zenye Vitambulisho. Huu ni upotoshaji.
muhstasari autoe wapi wakati ni uongo????
 
Hivi ndivyo vitu vilivyo kwenye national ID yetu.
JINA LA KWANZA:
MAJINA YA KATI:
JINA LA MWISHO:
JINSIA:
MWISHO WA MATUMIZI:

I don't know benki zinatakana nini cha zaidi,apart from hizi taarifa.
 
Only in Bongo ....Nchi yangu Tanzania, wakati hii concept ya Vitambulisho vya Taifa unaanza tuliambiwa kuwa hiki kitambulisho kitakuwa mwarobaini wa utitiri wa vitambulisho....Ukweli Umedhiri...ID haina date of issue ila kina Date of expire..:rockon:

Hivi NIDA na NEC isingikuwa sawa sawa kushare PLatform moja(kupunguza gharama na kuokoa muda wa wananchi) kama taarifa zinatotakiwa zinaweza kuwa filtered kukidhi mahitaji ya aina ya Kitambusho?
BVR wanazotumia NIDA na NEC zina tofauti?>naomba kuelimishwa!:eyebrows:
 
Back
Top Bottom