Vitambulisho vya Taifa (NIDA) havitambuliwi na BOT

Vitambulisho vya Taifa (NIDA) havitambuliwi na BOT

Ndugu, mtu akiona signature anaweza kughushi lakini ikiwa ndani ya kitamblisho na ukatumia alama za vidole kufanya utambuzi huwezi kughushi. Tubadilike na twende na teknolojia. NIDA wako mbali na ndo maana hivi karibuni wamekuwa washindi wa kwanza Afrika kwa teknolojia wanayotumia ktk Vitambulisho vya Taifa.

mkiambiwa nyie watu hamko organized mnajaa mapovu bure tu.
just imagine taasisi kubwa Kama BOT na mabenki mengi wanazikataa national IDs,kisa hawana vifaa vya kusomea hizo chip za kwenye National IDs,this is a lough of the day.
some people somewhere are not doing their jobs properly,siku zote communication ni muhimu Sana,kitu ambacho NIDA angefanya mapema ni kuagiza mabenki yote yawe na hicho kifaa cha kusomea IDs from HQ to the furthest branch in this country.
let's say Leo Mimi naenda kwetu wilayani muleba,with means ntakosa huduma muhimu kwa sababu za uzambe wa watu flani.
nimebahatika kutembekea nchi tatu jirani,National Ids zako hazina hizo chip mnazosema,kwanza upatikanaji wa ID inaanzia kwa balozi wako ,then mwenyekiti wa mtaa,then form yako inapelekwa kwa karibu tarafa,from there to the district level then finally national level.
Leo hapa kwetu waliojiandikisha mwaka Jana tena hapa hapa Dar hadi Leo hawajapata vitambulisho vyao,na waliotumiwa SMS na NIDA walienda kuchukua wengine wakikosa,hata hao waliochukua vilikusanywa tena due to kasoro mbali mbali,what a shame.
complications hizi zote zinatokana na watu kupiga deal,yaani tunaingia kwenye mambo makubwa wakati hatujajiandaa vizuri technologically .
swala la national IDs linaitaji umakini wa hali ya huu Sana,kazi kubwa inafanyika grass root level huku ndio anapotambulika muombaji,yeye ni Mtoto wa nani na mjukuu wa nani,its not a mater ya u hire few staffs Kama vile wanao andikisha wapiga kura.
kwanza kazi hii ilikuwa inatakiwa ifanywe na wazawa wa eneo husika,Kama nilivyo ainisha hapo juu.
 
Achana naye ana hangover zake..

angalia national ID ya NiLuna URL]http://www.sott.net/image/s7/140030/full/New_Nigeria_Identity_Card_powe.jpg[/URL]

Thanks mdau.Ningeomba hao wanaobisha waangalie hiyo ID ya Nigeria kama kielezo.Afu kuna mtu anadaie eti our ID technology is the bestest in Africa.Ina chip kabisa.Afu kuna mdau anatuambia zetu zina Chip.au hii niliopewa
ni ghushi?kwani hiyo chip siioni.Alafu mbona hiyo nigeria ina sahihi ya mmiliki.Yani bongo full maigizo.10% inalitafuna sana taifa.Ndo maana sikushangaa pale ambapo taasisi mbili za serikali zilipotunishiana vifua kuhusu hii ishu.NIDA na NEC.Nilijua tuu something is smelling fish here.
 
Only in Bongo ....Nchi yangu Tanzania, wakati hii concept ya Vitambulisho vya Taifa unaanza tuliambiwa kuwa hiki kitambulisho kitakuwa mwarobaini wa utitiri wa vitambulisho....Ukweli Umedhiri...ID haina date of issue ila kina Date of expire..:rockon:

Hivi NIDA na NEC isingikuwa sawa sawa kushare PLatform moja(kupunguza gharama na kuokoa muda wa wananchi) kama taarifa zinatotakiwa zinaweza kuwa filtered kukidhi mahitaji ya aina ya Kitambusho?
BVR wanazotumia NIDA na NEC zina tofauti?>naomba kuelimishwa!:eyebrows:

National ID kweli itakuwa mwarobaini wa utambuzi na kuondoa utitiri wa vitambulisho. suala la NIDA na NEC kufanya usajili wa pamoja lilielekezwa na Rais lakini sijui imekuwaje NEC nao wakafanya usajili kivyao wakati NIDA walikwishaanza usajili.
 
Kile kitambulisho ndani kina smart chip ambayo inakua nantaarifa zote ulizojaza muombaji, na kama umeenda kuchukua chako utakua umekumbana na shughuli za kuhakiki taarifa zako za kibiologia yena, kama alama za vidole, na hio date off issued inajazwa kwenye taarifa zako zilizo ndani ya hio chip ndo maana zoezi linaitwa Insueance, swali mjiulize je hao BOT wana machine tambuzi?? Ambazo unaweza ku swap kadi ikadisplay information?? Ni muda tubadilike ki analogy, kitambulisho kwa juu hakiwezi kubeba maandishi yote
 
Waulize NIDA ili iweje? unategemea hao NIDA wako watasema ni kweli havifai? Kuna watu wametoa ushuhuda hapo juu jinsi walivyokwamishwa na hivi vitambulisho vya NIDA. Mimi mwenyewe nilijua baada ya hivi vitambulisho kutoka basi mambo ya kuwa na 'mzigo' wa vitambulisho kwenye pochi yatakuwa yameisha kumbe ndiyo yamaeongezeka,nilishawahi pia kukataliwa bank kutumia hicho kitambulisho cha hao NIDA wako na sikuwa mbishi kwa sababu ni kweli havina sahihi. Taarifa zilizopo ni 1.Namba ya kitambulisho 2. Jina la mwenye kitambulisho (majina matatu) 2. Jinsi (gender) 3. Mwisho wa matumizi (expiry date)

Chief kabla hujapanick hata unajua kitambulisho kinabeba nn?? Unakumbuka taarifa ulizojaza? Unafikiri walichukua ili kukuweka instergram?? For ur information kile kitambulisho kina smart chip , ambazo zinasaidia kubeba taarifa zako zote sasa NIDA ndo inawaamsha wengine wawe na elctronic machine za kuswap ile kadi watakuta mpaka viambatanisho
 
Na wewe umeandika maujinga "date of issue" is not a key information on identication of a person. But ATM Cards yes.... National ID are there to identify a person not to identify a card.

leo hii benki zinakubali driving licenses, ID ya mfanyakaZi, kitambulisho uchwara cha mpiga kura... Barua ya Mtendaji wa mtaa, Eric Ati wakatae National ID cards zenye a lot of information than any of the above!

hiyo sio ATM card au voucher cards hizo ndio dates za issue na expire ni Muhimu sana.

#Facts today the only ID Card contain a lot of information and electronically it is national ID card....date of issue may still be inside the data but it is just not printed on the card...due to space and the way ministry of home affairs decide which info to be printed on the card.

below is national ID for
Nigeria http://www.sott.net/image/s7/140030/full/New_Nigeria_Identity_Card_powe.jpg
south Africa ID makeover | YOU
USA
imagegif

usually if you need more information from the same card you can buy card reader to read more information from the cards that are not printed on the card.

Mkuu unaweza ukawa sahihi lakini mimi ni mtoa information tu...huo ulinganifu na USA unautoa wapi....?I Isitoshe hatufanani na USA hata kwa nukta, kama vip waulize waliovikataa ....... Utafutaji wa dili kwenye kuhudumia umma ndio uliotufikisha hapa....
 
Chief kabla hujapanick hata unajua kitambulisho kinabeba nn?? Unakumbuka taarifa ulizojaza? Unafikiri walichukua ili kukuweka instergram?? For ur information kile kitambulisho kina smart chip , ambazo zinasaidia kubeba taarifa zako zote sasa NIDA ndo inawaamsha wengine wawe na elctronic machine za kuswap ile kadi watakuta mpaka viambatanisho

Chief,
Taarifa muhimu zooote lazima zionekane NARUDIA TENA lazima zionekane kwa macho ya kawaida. Wacha kutetea UZEMBE WA HALI YA JUU (najua wewe ni mmoja wa waliozembea anyway). Kama havina tarehe ya kutolewa na saini mmezembea sana sana! Angalia vitambulisho vya nchi nyingine zote.
 
Thanks mdau.Ningeomba hao wanaobisha waangalie hiyo ID ya Nigeria kama kielezo.Afu kuna mtu anadaie eti our ID technology is the bestest in Africa.Ina chip kabisa.Afu kuna mdau anatuambia zetu zina Chip.au hii niliopewa
ni ghushi?kwani hiyo chip siioni.Alafu mbona hiyo nigeria ina sahihi ya mmiliki.Yani bongo full maigizo.10% inalitafuna sana taifa.Ndo maana sikushangaa pale ambapo taasisi mbili za serikali zilipotunishiana vifua kuhusu hii ishu.NIDA na NEC.Nilijua tuu something is smelling fish here.

BTW jifunze kale ka-wimbo ka darasa la kwanza ka: good, better, best.... good, better, best.. kabla hujavunja watu mbavu na bestest
 
Mtoa hoja ndiye msemaji wa BoT? kama ndiy atupe ripoti kamili na kama siye atupe right source ya hii habari. Asikurupuke na kudanganya watu. Suala la Vitambulisho vya Taifa si siasa na hafai kulihusisha na siasa, hapa unazungumzia utaifa wa watu. Sidhani kama mtoa hoja ni raia na Mzalendo wa Tanzania.

Mkuu usiwe kama Thomaso..hii nchi si salama kwa mambo mengi sana... niachie kucha zangu na biashara zetu.... wazalendoni nyie mnaokula 10% kwenye kila kitu
 
Niliwahi kuuliza hapa ni kwa nini hivyo vitambulisho vya taifa (nafikiri tungekuwa tunaviita vitambulisho vya utaifa sio taifa) kwa nini vina expiry date? Ina maana inafika uraia wa mtanzania utakuwa unakoma? Nimeviona vitambulisho vya jirani zetu hapo Kenya, havina expiry date. Na ukipoteza kitambulisho chako, hakitolewi kipya, you can only get a duplicate of your original ID. Sasa hivi vya kwetu eti vinaisha muda wake.

No wonder muandikishaji wa vitambulisho kwenye eneo langu alikataa kuitambua passport yangu kama utambulisho kamili akataka nilete barua ya balozi. Niliamua kuachana na hivyo vitambulisho, na leo eti taasisi za serikali hazivitambui. Hiki ni kichekesho.

Tiba
 
Vile vya taifa hata sahihi havina
Hivi vya NEC navyo Middle name wameweka initial Bank wanasumbua, wanataka iwe full name pale kati
Tunaotumia majina manne si ndio tutakataliwa tutaambiwa acha moja, mbona kile sample cha JK kimeandikwa majina yote matatu
 
Chief kabla hujapanick hata unajua kitambulisho kinabeba nn?? Unakumbuka taarifa ulizojaza? Unafikiri walichukua ili kukuweka instergram?? For ur information kile kitambulisho kina smart chip , ambazo zinasaidia kubeba taarifa zako zote sasa NIDA ndo inawaamsha wengine wawe na elctronic machine za kuswap ile kadi watakuta mpaka viambatanisho
Kwanini mpaka wawaamshe wakati wapo ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kilichotakiwa ni wapewe mwongozo wa kwenda sambamba na mabadiliko ya kitaifa, kabla ya kuleta si wangeangalia pia namna ya ku-link na taasisi zingine mkuu au hapa unaonaje mkuu. Mie naona mpaka kinatoka lazima kitakuwa na matumizi yake na moja ya matumizi ni hayo ya kibenki kwa kuwa ndicho chenye taarifa zako za msingi hata ukisepa ni rahisi kutambua
 
Chief kabla hujapanick hata unajua kitambulisho kinabeba nn?? Unakumbuka taarifa ulizojaza? Unafikiri walichukua ili kukuweka instergram?? For ur information kile kitambulisho kina smart chip , ambazo zinasaidia kubeba taarifa zako zote sasa NIDA ndo inawaamsha wengine wawe na elctronic machine za kuswap ile kadi watakuta mpaka viambatanisho

Majibu yako yasome kwenye post yangu #50 na #70 ya mkuu @macho mdiliko.
 
BTW jifunze kale ka-wimbo ka darasa la kwanza ka: good, better, best.... good, better, best.. kabla hujavunja watu mbavu na bestest

Teh teh teh,hii nchi ina watu wa ajabu sana mkuu na jamaa unaweza ukakuta anakusanya watu vijiweni na kuwadanganya yeye ni msomi wa kiwango cha juu.Sijawahi kuisikia hii dah. masikini elimu yetu mkku Van persie ufafanuzi mkuu,ni american english nini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom