hizi ID ni deal za watu hii issue ilishaongelewa ikiwa watu hata kujiandikisha kupiga kura ni tabu sasa ID zitasaidia vp hatuna system kama za wenzetu huku Europe ,vijijini ID zitawasaidia vp wakati watu wanahitaji msaada wa elimu wengi hata kuandika hawajui na hizo ID zitagharimu mabilioni ya fedha za walipa kodi .