Vitambulisho vya Taifa: Maoni ya Mchungaji

hizi ID ni deal za watu hii issue ilishaongelewa ikiwa watu hata kujiandikisha kupiga kura ni tabu sasa ID zitasaidia vp hatuna system kama za wenzetu huku Europe ,vijijini ID zitawasaidia vp wakati watu wanahitaji msaada wa elimu wengi hata kuandika hawajui na hizo ID zitagharimu mabilioni ya fedha za walipa kodi .
 
Jamani, juzi hapa tunazushiwa ati yule aliyelipua basi Kenya ni mtz...passport za kibongo nyingi tu zinafojiwa, na vitambulisho hatuna...tunataka kuwa na vitambulisho vya utaifa sasaivi, ili ijulikane mtz ni yupi, msomali ni yupi, mkenya ni yupi, etc. tafadhali, selikali tunaomba suala la vitambulisho vya utaifa lianzishwe sasaivi, ili tuwe na passport pamoja na vitambulisho vya utaifa. asiye na kitambulisho cha utaifa aondoke akatafute taifa lake alikolisahau.

Mzanzibar waliyemweka awe waziri wa mambo ya ndani, cheo alichompa kwa zawadi tu kwasababu kule visiwani ametoka patupu.....sidhani kama anao uwezo wa kufanya chochote kwaajili ya wabara, kwanza yeye hili si tatizo lake, kule zanzibar wanavyo vitambulisho vya uzazibar....na tunataka mtu mwenye maslahi na watanzania. hivi mnavyomwona nyie wenzangu mnaona anaweza kufanya lolote kweli huyu? mpoleee, kuongea hawezi, tengeneza mdomo tu kizanzibari...wanavyohangaika kuongea kizenji...hivi anaweza lolote huyu? nafikiri SASAIVI BAADHI YA MAWAZIRI WAJIANDAE kupigiwa kura ya kutoaminiwa, na watoke kabisa...huyu nahodha na ngeleja wakiwemo....
 
Ndugu wanajamvi,

kwa heshima kubwa napenda kuwasilisha hii hoja ili tuone inaweza kutusaidia vipi kupinga hii project ya VITAMBULISHO VYA TAIFA, msijali tuna nguvu kiasi gani maana Saddam, Mubarak, Mobutu, n.k. walionekana giants pia! nadhani wanajamvi wengine wamesha post juu ya hili swala ila kutokana na umuhimu wake kwa taifa nakuja nalo tena.

Fikiria haya yafuatayo:
Mpaka sasa kuna vitambulisho vifutavyo kutoka Serikalini/Taasisi za Serikali:

  1. TIN Certificate (Inatolewa na TRA)
  2. BIRTH Certificate (Inatolewa na RITA)
  3. PASSPORT (Inatolewa na Immigration/Mambo ya Ndani)
  4. VOTER Registration Card (Inatolewa na Tume ya Uchaguzi)
  5. DRIVING License (Inatolewa na Traffic Police/Mambo ya Ndani)
  6. ...nk
  7. ...nk
Mpaka sasa si TRA au Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo database yake inahifadhi NUSU ya Watanzania, zote zina data kidogo sana na labda sizizo sahihi. Ukienda kuomba Passport unatakiwa kutoa cheti cha kuzaliwa, TIN unaombwa Kitambulisho (sijui kipi!!) nk ila cha msingi hapa particulars la kila kitambulisho ni zile zile!

Kwa mfano, nimesoma habari inayohusu shirika la misaada la Japan (JICA) kutoa angalizo na maoni yake juu ya nini kinasababisha foleni Jijini Dar es Salaam: Walioiona hiyo habari ni kuwa ziko TAASISI karibia(zaidi) ya 15 zinazoshigulika na kitu kimoja - USAFIRI WA JIJI!!! ...ambazo kutokana na maamuzi yao kutofautiana yameishia kuongeza ukubwa wa tatizo badala ya kupunguza. Wakashauri iwepo mamlaka moja tu yenye maamuzi.

Kwa vile mradi huu wa vitambulisho unatiliwa mashaka na wengi, na kwa vile siku za nyuma Mheshimiwa Raisi wetu mpendwa sana Dokta Jakaya Mrisho Kikwete alishasema kuwa anajenga uwezo (Capacity Building) kwa kuelekeza nguvu kwenye kuimarisha TAASISI, basi ni kwa nini hizo US $230m zinazotolewa kwa kazi hii zisiwekwe kwenye taasisi ambazo zipo tayari na zina mtandao mzuri badala ya kuanzisha mpya!!?

Hii inaweza kulisaidia taifa kwenye mipango yake ya maendeleo na kuwa na 'a strong and reliable database' inayoweza kuondoa utata wa kuambiwa kuwa kuna wapiga kura milioni 22 lakini wakajitokeza milioni 7! Lakini kikubwa zaidi ni duplication of works and repetitions!

My Take:
Taasisi ya Vizazi na Vifo (Registration, Insolvency and trusteeship Agency - RITA) inaonekana ndiyo kiuhakika inahusika na kila Mtanzania na ni ya kudumu (maana Passport ni kwa wasafiri, Leseni ni Madereva, TIN ni biashara, Mpiga kura nk) ipewe hizo pesa ili waimarishe uwezo wao (Database na Administrative issues) badala ya kuzitupa "motoni"!?

(Naomba kukosolewa)

Nawasilisha
 
Nadhani ni sahihi tanzania ikawa na taasisi moja yenye uwezo wa kufanya yote haya kama vile sensa(stastics) ,rita,mambo ya ndani,tume ya uchaguzi,tbs nk.pawe na chombo kimoja kwa ajili kutoa hizo smart cards ambazo zitaonekana katika vyombo vingine kama ilivyo kwa nchi nyingine.kwani kuwapa kazi hiyo makampuni ya nje sio suluhisho la kudumu kwa maendeleo ya siku zijazo.
 
Ukweli mkubwa sana. Hao jamaa ndiyo wanatakiwa kuwa na hizi Datas zote na si wizara gani sijui.....

Wazo zuri sana sana na ninategemea Dr. Slaa, Tundu Lisu, Marando, Lipumba, na wadau wengine watalipinga hili na ikibidi kuandamana barabarani basi twendeni haraka.

Hicho chombo kiwezeshwe kwa kupewa hizo pesa na wanunue mitambo pamoja na Computer ambazo nyingine ziwe zimeunganishwa kwenye Internet na nyingine hazijaunganishwa.

Nafikiri KADI isiwe muhimu sana ila Data zilizowekwa kwenye computer maana hata mtu akikamatwa, inatosha tu kupiga simu HQ au kuangalia kwenye Internet na kupata uhakika kama kweli huyo ndiyo mwenye hiyo kadi.

Nafikiri hata nchi kama UK, watu huwa wanatembea bila kitambulisho. POLISI wakikukamata, wanakuuliza jina, sehemu unayokaa, tarehe ya kuzaliwa, jina la baba, mama nk na ole wako UDANGANYE. Wakishaandika, wanapiga simu kituoni na kupewa data kamili zako. Kuna wengine hudanganya, ila ni poa tu maana ikatokea kumbe nduguyo alikuwa anatafutwa, basi Watakubeba wewe. Hivyo watu huwa makini sana.

Nakumbuka zamani hapa Sikonge Hospital watu walikuwa wanapewa VIPANDE. Kipande kilikuwa ni kibati chenye namba yako ya FAILI na humo waliweka data zote. Watu walikuwa wakipoteza vipande na kila kitu kinapotea. Hizi kadi nazo zitakuwa zinapotea tu na watu vijijini ndiyo itakuwa kasheshe..... Dawa ni kuweka data na hizi kadi ziwe za kawaida sana na hii itapelekea bei yake iwe nafuu.

Hata wakizitengeneza vipi, watu mtaani watazifyatua tu. Wakishaenda China ndiyo kwanza watakuja na kadi nzuri kuzidi hata hizo za hao jamaa na pia kwenye mambo ya Datas, hawa Wa-Asia ukiacha Japan sijui kama ni wazuri sana kama walivyo German, Uk, nk nk..
 
Ndugu wanajamvi,

kwa heshima kubwa napenda kuwasilisha hii hoja ili tuone inaweza kutusaidia vipi kupinga hii project ya VITAMBULISHO VYA TAIFA, msijali tuna nguvu kiasi gani maana Saddam, Mubarak, Mobutu, n.k. walionekana giants pia! nadhani wanajamvi wengine wamesha post juu ya hili swala ila kutokana na umuhimu wake kwa taifa nakuja nalo tena.

Fikiria haya yafuatayo:
Mpaka sasa kuna vitambulisho vifutavyo kutoka Serikalini/Taasisi za Serikali:

  1. TIN Certificate (Inatolewa na TRA)
  2. BIRTH Certificate (Inatolewa na RITA)
  3. PASSPORT (Inatolewa na Immigration/Mambo ya Ndani)
  4. VOTER Registration Card (Inatolewa na Tume ya Uchaguzi)
  5. DRIVING License (Inatolewa na Traffic Police/Mambo ya Ndani)
  6. ...nk
  7. ...nk

Nimeandika issue na maoni kama haya kwenye thread ile ya kampuni ya malaysia. nadhani tatizo tulinolao serikali inaweza kufanya mambo mazuri tu lakini yasiyo na tija kama hawaangalii mambo kwa upana wake

Binafsi sioni mantiki ya kuwa na daftari/ kitambulisho cha mpiga kura inachotumika seasonal every five years. alafu tena uje uwe na kitambulisho ya taifa. Kwa nini wasiboreshe hiki kitambulisho cha mpiga kura kuwe ndo kitambulish cha taifa.

Kwa nini tuwe na maserver ma database mengi yenye taarifa zile zile ten chini ya serikali moja?
 
na hii inakuwa na nguvu pale tunapoona wazi kuwa kuna mazingira ya rushwa zaidi ya umuhimu wa kazi yenyewe. Tukumbuke Bw...Kibogoyo wa pale KIUTA(???) aliwahi kutoa mawazo mazuri sana ambapo hii pesa ingebaki mikononi mwa umma, kazi ingefanyika na mitambo ikaendelea kubaki katika umiliki wetu. Kitu kibaya katika maisha (yaliyo na thamani kubwa) ni kukiri kushindwa bila hata ya kujaribu!
 
Hoja nzuri ingawaje nadhani hii kitu inatakiwa iwe chini ya Home Affairs kule kule wanakotoa passports..
 
Kwa mtazamo wangu, mimi nafikiri Kitengo cha Takwimu cha Taifa ndicho muafaka zaidi. Kwa kuwa mwakani kuna Sensa ya Kitaifa wangeweza kuua ndege wawili kwa jiwe moja!
 
Nionavyo mimi hamna haja ya Vitambulisho vya Taifa ni kuboresha Vitambulisho vya kupigia kura tu kwa kuwa vina picha,jina,tarehe ya kuzaliwa na pahali pa kuzaliwa.Nchi yenyewe maskini gharama ya nini ? hata Uingereza hawana pamoja na kutuzidi utajiri.
 
Ndugu wanajamvi,

kwa heshima kubwa napenda kuwasilisha hii hoja ili tuone inaweza kutusaidia vipi kupinga hii project ya VITAMBULISHO VYA TAIFA, msijali tuna nguvu kiasi gani maana Saddam, Mubarak, Mobutu, n.k. walionekana giants pia! nadhani wanajamvi wengine wamesha post juu ya hili swala ila kutokana na umuhimu wake kwa taifa nakuja nalo tena.

Fikiria haya yafuatayo:
Mpaka sasa kuna vitambulisho vifutavyo kutoka Serikalini/Taasisi za Serikali:

  1. TIN Certificate (Inatolewa na TRA)
  2. BIRTH Certificate (Inatolewa na RITA)
  3. PASSPORT (Inatolewa na Immigration/Mambo ya Ndani)
  4. VOTER Registration Card (Inatolewa na Tume ya Uchaguzi)
  5. DRIVING License (Inatolewa na Traffic Police/Mambo ya Ndani)
  6. ...nk
  7. ...nk
Mpaka sasa si TRA au Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo database yake inahifadhi NUSU ya Watanzania, zote zina data kidogo sana na labda sizizo sahihi. Ukienda kuomba Passport unatakiwa kutoa cheti cha kuzaliwa, TIN unaombwa Kitambulisho (sijui kipi!!) nk ila cha msingi hapa particulars la kila kitambulisho ni zile zile!

Kwa mfano, nimesoma habari inayohusu shirika la misaada la Japan (JICA) kutoa angalizo na maoni yake juu ya nini kinasababisha foleni Jijini Dar es Salaam: Walioiona hiyo habari ni kuwa ziko TAASISI karibia(zaidi) ya 15 zinazoshigulika na kitu kimoja - USAFIRI WA JIJI!!! ...ambazo kutokana na maamuzi yao kutofautiana yameishia kuongeza ukubwa wa tatizo badala ya kupunguza. Wakashauri iwepo mamlaka moja tu yenye maamuzi.

Kwa vile mradi huu wa vitambulisho unatiliwa mashaka na wengi, na kwa vile siku za nyuma Mheshimiwa Raisi wetu mpendwa sana Dokta Jakaya Mrisho Kikwete alishasema kuwa anajenga uwezo (Capacity Building) kwa kuelekeza nguvu kwenye kuimarisha TAASISI, basi ni kwa nini hizo US $230m zinazotolewa kwa kazi hii zisiwekwe kwenye taasisi ambazo zipo tayari na zina mtandao mzuri badala ya kuanzisha mpya!!?

Hii inaweza kulisaidia taifa kwenye mipango yake ya maendeleo na kuwa na 'a strong and reliable database' inayoweza kuondoa utata wa kuambiwa kuwa kuna wapiga kura milioni 22 lakini wakajitokeza milioni 7! Lakini kikubwa zaidi ni duplication of works and repetitions!

My Take:
Taasisi ya Vizazi na Vifo (Registration, Insolvency and trusteeship Agency - RITA) inaonekana ndiyo kiuhakika inahusika na kila Mtanzania na ni ya kudumu (maana Passport ni kwa wasafiri, Leseni ni Madereva, TIN ni biashara, Mpiga kura nk) ipewe hizo pesa ili waimarishe uwezo wao (Database na Administrative issues) badala ya kuzitupa "motoni"!?

(Naomba kukosolewa)

Nawasilisha

Kwanza Kikwete sio Dr.
Pili Sio Rais wetu mpendwa kwa sana kam ni mpendwa ni kwako
Tatu Vitambulisho ni muhimu

Vitambulisho vya Taifa ni muhimu sana, vitatumika kila sehemu hata Bank, shule, kuombea kazi na shughuli nyingine. Swala la Vitambulisho naliunga mkono wa 1000000% kama hamtaki vitambulisho hameni nchi
 
tumepishana kidooooogo hapo kwenye red.... nimi naviunga mkono kwa asilimia 1m% lakini the issue is on how to implement this idea! Revise hiyo post tafadhali ndugu
 
Ndugu wanajamvi,

kwa heshima kubwa napenda kuwasilisha hii hoja ili tuone inaweza kutusaidia vipi kupinga hii project ya VITAMBULISHO VYA TAIFA, msijali tuna nguvu kiasi gani maana Saddam, Mubarak, Mobutu, n.k. walionekana giants pia! nadhani wanajamvi wengine wamesha post juu ya hili swala ila kutokana na umuhimu wake kwa taifa nakuja nalo tena.

Fikiria haya yafuatayo:
Mpaka sasa kuna vitambulisho vifutavyo kutoka Serikalini/Taasisi za Serikali:

  1. TIN Certificate (Inatolewa na TRA)
  2. BIRTH Certificate (Inatolewa na RITA)
  3. PASSPORT (Inatolewa na Immigration/Mambo ya Ndani)
  4. VOTER Registration Card (Inatolewa na Tume ya Uchaguzi)
  5. DRIVING License (Inatolewa na Traffic Police/Mambo ya Ndani)
  6. ...nk
  7. ...nk

Mpaka sasa si TRA au Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo database yake inahifadhi NUSU ya Watanzania, zote zina data kidogo sana na labda sizizo sahihi. Ukienda kuomba Passport unatakiwa kutoa cheti cha kuzaliwa, TIN unaombwa Kitambulisho (sijui kipi!!) nk ila cha msingi hapa particulars la kila kitambulisho ni zile zile!

Kwa mfano, nimesoma habari inayohusu shirika la misaada la Japan (JICA) kutoa angalizo na maoni yake juu ya nini kinasababisha foleni Jijini Dar es Salaam: Walioiona hiyo habari ni kuwa ziko TAASISI karibia(zaidi) ya 15 zinazoshigulika na kitu kimoja - USAFIRI WA JIJI!!! ...ambazo kutokana na maamuzi yao kutofautiana yameishia kuongeza ukubwa wa tatizo badala ya kupunguza. Wakashauri iwepo mamlaka moja tu yenye maamuzi.

Kwa vile mradi huu wa vitambulisho unatiliwa mashaka na wengi, na kwa vile siku za nyuma Mheshimiwa Raisi wetu mpendwa sana Dokta Jakaya Mrisho Kikwete alishasema kuwa anajenga uwezo (Capacity Building) kwa kuelekeza nguvu kwenye kuimarisha TAASISI, basi ni kwa nini hizo US $230m zinazotolewa kwa kazi hii zisiwekwe kwenye taasisi ambazo zipo tayari na zina mtandao mzuri badala ya kuanzisha mpya!!?

Hii inaweza kulisaidia taifa kwenye mipango yake ya maendeleo na kuwa na 'a strong and reliable database' inayoweza kuondoa utata wa kuambiwa kuwa kuna wapiga kura milioni 22 lakini wakajitokeza milioni 7! Lakini kikubwa zaidi ni duplication of works and repetitions!

My Take:
Taasisi ya Vizazi na Vifo (Registration, Insolvency and trusteeship Agency - RITA) inaonekana ndiyo kiuhakika inahusika na kila Mtanzania na ni ya kudumu (maana Passport ni kwa wasafiri, Leseni ni Madereva, TIN ni biashara, Mpiga kura nk) ipewe hizo pesa ili waimarishe uwezo wao (Database na Administrative issues) badala ya kuzitupa "motoni"!?

(Naomba kukosolewa)

Nawasilisha

Naunga mkono hoja asilimia mia! but hapo kwenye red kwanza si Dr. (either ni wamagumashi) halafu si mpenda kabisaaa.. simpendi ka nini yani....:frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty::frusty:
 
Unafikiri biongozi wa taifa hawalioni? The problem is , umimi, kutoa mwanya wa rushwa nk. Tanzania bila viongozi imara "haiwezekani"
 
wataalam wa mambo ya information systems huwa tunaita data redundancy: hii ni kweli kbs serikali ni moja iwepo database moja inayoshughulikia personal details za wananchi, madhara yake baadae kutatokea tatizo la kutoelewana btn database systems hizo za rita na nyingine mwishowe kufanya maamuzi yasiyo sahihi
Mfano wa malaysia wenyewe swala la vitambulisho vya uraia unapewa unapozaliwa (wao wanaita IC card) so unaweza ukagues umri wa mtu kwa kuangalia IC number na pia wana foreign IDs (zinaitwa ikad) na zipo chini ya immigration dept under ministry of home affairs.
naunga mkono hoja 100% ni kwanini iris wasifanye kama malaysia
 
Hoja ni nzuri sana, ila kwa Tanzania duplication is order of the day. Mara nyingi ni kutafuta jinsi gani ya kumaximize matumizi ya limited resources (badala ya kuminimize by redundancy of functions).) Si hata Wizara zetu mnaziona na overlap ya functions? Mifugo vs kilimo vs ardhi (maendeleo ya makazi) vs maji (na umwagiliaji); by then elimu na ufundi vs teknolojia na elimu ya juu, ... Kila mwamba ngoma huvutia kwake (kwenye shamba la bibi).
 
Sioni tatizo nini ipo chini ya nani kinachotakiwa watafute njia ya kufanya vitu efficinetly.

Tutasikia na
trafiic police wanataka kuwa system ya kuwa na taarifa za magari. Je ni busara wawe na system yao wakati wanaweza kutumia System ya TRA.??Kitaalam trafic police watatakiwa kuwa na access ya kuview kwenye baadhi ya taarifa za regsitarion ya magari ya TRA. Kisiasa ndo jibu jepesi wataptisha na traffic police kuwa na syetm yao. Hili ni tatizo

The
government is one. it should not matter server au administration au data anazo nani kinachotakiwa ila taasisis inayohitaji data fulani ambazo zipo sehemu izipate badala kila taaisi kuanzisha kitu kile kile.

Wanaweza wakapewa watumishi may be wa NIDA au RITA kufanya data entry wengine wakawa na right ya kiview tu
 
Wandugu,

Naunga mkono hoja wakuu. Huo mradi ni too expensive kwa taifa na pia nimatumizi yasiyo ya lazima.

Huo nao ni wizi na ufisadi wa mali za umma. Tuukatae.
 
Back
Top Bottom