Katika hili, muungano siuelewi kabisaaaaaaaaaa..........Wajamani, hivi wazazibar ambao kule zanzibar wanavyo vitambulisho vya Uzanzibari, watapata tena vitambulisho vya UTanzania? ili wawe navyo viwili? na je, ikitokea hivyo, sisi wabara tunapata madhara yapi? yaani tunapunjika nini, na je, hawezi mtu akafanya kosa kule zanzibar akakimbilia bara na kuukana uzanzibar, kukitupa kitambulisho cha uzanzibar na kubaki nacho kile cha Utanzania na kujiita Mtanzania? au akifanya kosa bara, si atakimbilia zanzibar na kukitupa kile cha utanzania na kubakia nacho cha uzanzibar, vipi hapo kwa security reasons in the future, sio leo.
Pili, Wazanzibar wanayo haki ya kumiliki ardhi ya bara, hata kama ni songea, bukoba, sumbawanga, etc. Hamad rashid wa cuf yule kiongozi wa upinzani anakaa Mikocheni, kule kigamboni ni makazi ya wapemba, Dar inao karibia robo ya population wazanzibar, ambao pamoja na kuwa wanakaa na kufaidi mengi tz, wanautaka uzanzibar wao. my problem here is,
1. KWANINI WABARA HAWATAKIWI KUMILIKI ARDHI ZANZIBAR? wakati wazanzibar
wanamiliki ardhi Bara? haya matatizo ya muungano hadi lini?
2. Kwanini kusiwe na vitambulisho vya uTanganyika, Uzanzibar na Utanzania?
3. Wabara waruhusiwe kumiliki ardhi zanzibar kama wanzanzibari wanavyomiliki hapa
4. Kuna Umuhimu wa kuanzisha selikali tatu awamu hii?
bado una ulazima? kwasababu wenzetu wanatukataa sisi tunaulazimisha kwa nguvu.
hii nchi hairuhusu uraia wa nchi 2,swala ni utata wa muungano-nashindwa kujua ni kwa nini serikali inaogopa ku-settle maswala ya muungano-jambo ambalo litaleta matatizo makubwa sana sana sikuza uson,mimi ninanyoona ili muungano ulete maaana-inabidi zanzibar isiwe nchi kama ilivyosasa-ila iwe ni mkoa ndo mambo yatakwenda-nashindwa kujua ni faida gani haswa tuanaipata kwa kuikumbatia zanzibartunataka vitambulisho vya utanzania mara moja, lakini wazanzibari wapewe vitambulisho hivyo vikiwa na note kuwa, huyu ni mtanzania lakini pia ni mzanzibari.
Yaani, kwenye kitambulisho kile, sisi ambao tumekubali kubakia na tanzania yetu, tupate kitambulisho cha mtanzania. Lakini mzanzibari aende akaandikishwe kulekule zanzibar na mle kwenye kitambulisho chake, iandikwe wazi kuwa huyu ni mtanzania wa zanzibar hivyo anao utaifa wa aina mbili. Hii itasaidia. Kama si hivyo, pamoja na kwamba inauma kutamka hivi, kwasababu muungano ndo naona upo hatarini, lakini, kwanini wenzetu wazanzibar wanaifaidi tanzania kwa ardhi etc, lakini sisi wabara hatuifaidi ardhi ya zanzibar? Wabara walioko kule zenji wananyanyasika kama nini na hawana msaidizi, selikali ya bara imewatelekeza.
ni kweli, zanzibar iwe mkoa, kama hawataki hiyo, basi tuwapige chini tu, tuendelee na maisha yetu. kwanini wabara hawatakiwi kumiliki aridhi kule zanzibar wakati wazanzibar wanaruhusiwa kumiliki ardhi hata bukoba.....halafu, wanachoogopa wazanzibar ni kwamba, wabara wakiruhusiwa kumiliki ardhi kule visiwani, zenji yote itajaa wabara hivyo zenji itafutika kabisa. ndio maana hata vile vitambulisho vyao vya uzanzibar, wanataka mtu aliyefikisha miaka kadhaa..mbara kama amekaa miaka miwili kule hawezi pata huo uzanzibar....tutasolve lini tatizo hili la muungano?hii nchi hairuhusu uraia wa nchi 2,swala ni utata wa muungano-nashindwa kujua ni kwa nini serikali inaogopa ku-settle maswala ya muungano-jambo ambalo litaleta matatizo makubwa sana sana sikuza uson,mimi ninanyoona ili muungano ulete maaana-inabidi zanzibar isiwe nchi kama ilivyosasa-ila iwe ni mkoa ndo mambo yatakwenda-nashindwa kujua ni faida gani haswa tuanaipata kwa kuikumbatia zanzibar
Mimi ndo huwa siuelewi huu muungano kabisa, kwa nini tunaung'ang'ania? Tunataka serikali tatu jamani!
wanakwambia sisi sote ni watz, tupendane lakini mbara ukija zenji, hakunakumiliki ardhi...umoja gani huo? tulikuwa wamoja sana, walivyoona kuna dalili za kupatikana mafuta kwao, wakaanza kusema mafuta sio suala la muungano ili wayafaidi peke yao.l...yakipatikana bara halafu kwao yakosekane itakuwaje? hawa jamaa wanatusaidiaje sisi wabara, wana faida gani? tuache watz wapige kura ya maoni au?Serikali tatu za nini??
Kila watu wawe na serikali yao mambo yaishe!
Waende kwao na sisi tubaki kwetu .... tushachoka na ubaguzi wa wa znz!
CHA AJABU,ZANZIBAR HAWATAKI KABSA SWALA LA MAFUTA LIWE SHARE-BORA TANGANYTIKA YETU IRUDI.ccm sijui wanawang'ang'ania wa nini!! au ndio wanataka deal za mafuta labda .... ccm uroho na ulafu utawaua, wasisikie fununu ya maliasili ya aina yoyote.
wako tayari hata kuchimba madini kwenye mbuga za wanyama; hawa watu ni majambazi.