Vitambi kwenye mahusiano ni changamoto

Vitambi kwenye mahusiano ni changamoto

Mabaharia inakuwaje naona mbali sana kwenyee hizi harakati za kuchakatana na uzi ndio kama ufuatao ....

On point... Vitambi ni changamoto sana kwenye sita kwa sita wanawake hawapendi sana wanaume wenye vitambi na minyama uzembe sema tu ndio waume zao watafanyaje ila vinatoa kabisa mood ya kuchakatana kama definition ya @Zero IQ

Wanawake nao vitambi ni changamoto kama uchumi wa kati vinasababisha low performance katika bed na hiyo minyama uzembe low performance ya erection ya uume linaanzia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa sababu ya mionekano yenu

Mwaka huu tafuta bukta ,pensi ,viatu ,koti .anza morning jogging,skipping,running au home workout deile kuimarisha haya maisha ya low performance kwenda uchumi wa kati ..

MITANO TENA .....

DONDOSHA NONDO UUPE UZI NYAMA...
Hapo sio maandalizi ya kuchakata tu, pamoja na afya kwa ujumla.
 
Wallahi mwanaume AKIWA na mwili wakawaida hivi...au hata mwembamba...NAPEEENDA..

Mimi Sasa ....Ugali, wali, maharage na juice ya nanasi....Nashindwa acha...
Loooh
Hii ndio shida ya vibonge. Mnapenda sana kula kula.
 
Kitumbo..sijafika kwenye kitambi..Napo sinywi soda.sili chips.. sinywi bia Wala kitimoto[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Mwanaume mwenye kitambi....akae mbali nami.. unless [emoji2960][emoji2960]
🤣🤣🤣🤣🤣 hii haiwezi kuwa sawa. Yani mwanamke mwenye kitambi anampangia kidume mwenye kitambi?
 
Sikuizi sio vitambi

Hamtumi na ya kutolea
 
Mabaharia inakuwaje naona mbali sana kwenyee hizi harakati za kuchakatana na uzi ndio kama ufuatao ....

On point... Vitambi ni changamoto sana kwenye sita kwa sita wanawake hawapendi sana wanaume wenye vitambi na minyama uzembe sema tu ndio waume zao watafanyaje ila vinatoa kabisa mood ya kuchakatana kama definition ya @Zero IQ

Wanawake nao vitambi ni changamoto kama uchumi wa kati vinasababisha low performance katika bed na hiyo minyama uzembe low performance ya erection ya uume linaanzia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa sababu ya mionekano yenu

Mwaka huu tafuta bukta ,pensi ,viatu ,koti .anza morning jogging,skipping,running au home workout deile kuimarisha haya maisha ya low performance kwenda uchumi wa kati ..

MITANO TENA .....

DONDOSHA NONDO UUPE UZI NYAMA...
Mwanangu, hivi vitambi tunapata si kwa makusudi. ..ni kwamba tunakosa nafasi ya kufanya mazoezi" Muda mwingi tupo katika harakati za kutafuta pesa ili wewe uweze kwenda shuleni, gym na chooni ......najua huwezi nielewa kwa sasa ila siku utakapoanza kuwa na majukumu utanielewa.

Weekend njema.
 
Mwanangu, hivi vitambi tunapata si kwa makusudi. ..ni kwamba tunakosa nafasi ya kufanya mazoezi" Muda mwingi tupo katika harakati za kutafuta pesa ili wewe uweze shuleni, gym na chooni ......najua huwezi nielewa kwa sasa ila siku utakapoanza kuwa na majukumu utanielewa.

Weekend njema.
Umeongea kwa hisia sana [emoji91][emoji23]
 
Back
Top Bottom