Raha ya kitambi ni kufutia simu tu!
Ndiye mwenye kitambi?🙄Zero iq
Abeeee.... Nasikia nimeitwaMi mwanamke akiwa hana kitambi simtaki kabisaaaaa
Mimi..kitambi NO..Tutatumia changu[emoji1][emoji1]Ukiwa na fweza kitambi hakionekani
😂😂😂😂😂Mimi..kitambi NO..Tutatumia changu[emoji1][emoji1]
Shauri yako..Looh...nipo nakula ugali hapa na Chinese
Basi Tena ngoja niishie hapa hapa..
....aaawapi namalizia Kiugali changu
Aiseee..... Hata kaugali kangu na mboga za majani nisile..Shauri yako..
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]....Kitambi hadi papuchi ni ya kuitafuta..hell nah
Wallahi mwanaume AKIWA na mwili wakawaida hivi...au hata mwembamba...NAPEEENDA..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3]unacheka nini?[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]....