Vitambi kwenye mahusiano ni changamoto

Vitambi kwenye mahusiano ni changamoto

Kitumbo..sijafika kwenye kitambi..Napo sinywi soda.sili chips.. sinywi bia Wala kitimoto[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Mwanaume mwenye kitambi....akae mbali nami.. unless [emoji2960][emoji2960]

Nn
 
Picha mkuu
IMG-20201217-WA0014.jpg
 
dawa yake ni kupiga vipande vya matikiti tu mara kwa mara maana mazoezi ni ngumu sana kuyafanya kila siku, uvivu ukiingia tu kitambi kinarudi.
 
Mabaharia inakuwaje naona mbali sana kwenyee hizi harakati za kuchakatana na uzi ndio kama ufuatao ....

On point... Vitambi ni changamoto sana kwenye sita kwa sita wanawake hawapendi sana wanaume wenye vitambi na minyama uzembe sema tu ndio waume zao watafanyaje ila vinatoa kabisa mood ya kuchakatana kama definition ya @Zero IQ

Wanawake nao vitambi ni changamoto kama uchumi wa kati vinasababisha low performance katika bed na hiyo minyama uzembe low performance ya erection ya uume linaanzia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kwa sababu ya mionekano yenu

Mwaka huu tafuta bukta ,pensi ,viatu ,koti .anza morning jogging,skipping,running au home workout deile kuimarisha haya maisha ya low performance kwenda uchumi wa kati ..

MITANO TENA .....

DONDOSHA NONDO UUPE UZI NYAMA...
Ukiwa na hela kitambi hakionekani.
 
Back
Top Bottom