Vita za kichini chini kati ya wana usalama wa US, Israel, Pakistan, Iran, Urusi, Qatar na Uchina. Aftermath yake hauwezi kuisikia kwenye media.

Vita za kichini chini kati ya wana usalama wa US, Israel, Pakistan, Iran, Urusi, Qatar na Uchina. Aftermath yake hauwezi kuisikia kwenye media.

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,375
Reaction score
28,484
Usiniulize nimejuaje, swali unalopaswa kuuliza ni kwa nini Cnn, bbc, fox, al jazeera hawaripoti japokuwa unakuta wamepata leak au kimemo😁

Ila ukweli ni kuwa wana usalama wa Marekani (CIA/NSA), Israel (Mossad), Pakistan (ISI), Iran (MOIS/IRGC), Urusi (FSB/GRU), Qatar (State Security), na Uchina (MSS) wanakutana sana katika harakati zao na wanauana na kupotezana chini kwa chini.

Muda mwingine Wana usalama wanakamatwa alafu wana kuwa traded/kuuzwa kwa nchi nyingine kwa ajili ya pesa, kupatiwa taarifa nyeti na ku-force nchi iliomtuma kubadirisha au ku-delay hatua yoyote iliokuwa inataka kuchukua.

Mara nyingi utaona israel na Iran wanasema tumewashikilia watu wanaohusika kutuzuru kutokana na ushawishi wa israel/irgc lakini hata siku moja hawawezi kukuonesha picha ya agent waliomkamata. Picha unazoona ni propaganda.

Licha ya urusi na iran kuwa marafiki, ila ilifika kipindi wanausalama wao walileteana nomaa haswa pale iran alivyogundua kuwa kumbe urusi anatuma agents zake kuharibu mpango wake wa nuclear.

Pakistan yeye anacheza mchezo wa pande mbili, kichini chini huwakaribisha agents wa CiA ambao huwakaribisha mossad kisiri siri (pakistan haiwaamini mossad) ili kuichezea mchezo iran lakini hao pakistan ina uhusiano wa karibu sana agents wa uchina wanaowasaidia dhidi ya maajenti wa india.
 
Back
Top Bottom