C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,070
- 3,718
kweli kabisa i dont think hapa kuna mkono wa sugu na ruge tu....uko sawa kabisa mkuu,kuhusu maombi ya studio yalifanywa kwenye sherehe za tht,lakini iliombwa na wasanii wote japo risala iliandaliwa na ruge,ile risala ilisomwa na lady jaydee baada ya afande sele kugoma kuisoma baada ya kuipitia na kuona imejaa usanii sana..na rais alihaidi kuitoa kwa wasanii wote,ila kilichofuata ni studio kukabidhiwa kwa tht badala ya chombo cha serikali basata..ndio maana waziri alijikanyaga sana alipoulizwa juu ya hili.
Kuhusu tuzo za kili,dandu ndio muhasisi bila ruge kuweka ata sh.10 yake wala idea,yeye ruge kaingia juzi hapa na kampuni yake ya 1call baada ya kupewa dili na wadhamini kuratibu tukio zima yani kusimamia mchakato wa kura,kupamba ukumbi,show za siku ya tukio na baada ya tukio n.k n.k ila haki ya killi awards inabaki kwa mke wa dandu chini ya basata..
Kama unavyosema hii vita ni ngumu sana japo watu wanachukulia poa,unajua ikifikia kiwango watu wanakuwa tayari kwa lolote lile ni hatari sana..
Siombei ila kuna kila dalili hii vita ikamalizwa kwa watu kuzikwa kaburini..
Kwa taharifa ni kwamba vinega wameshatoa ratiba yao ya kuzunguka mikoani,uku cloudsfm wakiendeleza mpango wao kwamba kila jamaa watakapotua kufanya show nao siku hiyohiyo wanafanya show yao tena safari hii bure,wakisaidiwa na kampuni moja ya simu.
Hii vita unaweza kuwaona sugu na ruge ila nyuma yao kuna makundi makubwa sana..kuna mambo mengi sana hapa mkuu.
Wanaoujua ukweli watuambie hata kwa kutu pm basi.......
Najua kuna mengi yanaendelea nyuma ya pazia mimi, wewe , huyu na yule hatuyajui
waweza kuta hata baadhi ya members wa clouds na members wa vinega hawajui.....
Wanajua nusu nusu tu....
Nimeshaanza kupata picha
big light, big sound stage ya kimataifa ambayo haijawahi kutumiwa kusini mwa jangwa la sahara safi??
Swali
there is someone ambaye ka finance hii kitu
nilimsikia mkoloni anasema kuna jamaa katoka marekani kuja kuona tu show ya vinega is he a real fan?? Kweli????
Why kinje kaingilia hii???
Kwanini twisa wa airtel kaingizwa humu??
Kwanza nilikuwa sijui kuwa ruge ana kampuni inaitwa 1 call
hehehehehe ngoja nikae kimya coz naogopa kuongea pumba