Vita ya mamba waWili ilioingiliwa na kenge wasiokuwa na uelekeo..

uko sawa kabisa mkuu,kuhusu maombi ya studio yalifanywa kwenye sherehe za tht,lakini iliombwa na wasanii wote japo risala iliandaliwa na ruge,ile risala ilisomwa na lady jaydee baada ya afande sele kugoma kuisoma baada ya kuipitia na kuona imejaa usanii sana..na rais alihaidi kuitoa kwa wasanii wote,ila kilichofuata ni studio kukabidhiwa kwa tht badala ya chombo cha serikali basata..ndio maana waziri alijikanyaga sana alipoulizwa juu ya hili.

Kuhusu tuzo za kili,dandu ndio muhasisi bila ruge kuweka ata sh.10 yake wala idea,yeye ruge kaingia juzi hapa na kampuni yake ya 1call baada ya kupewa dili na wadhamini kuratibu tukio zima yani kusimamia mchakato wa kura,kupamba ukumbi,show za siku ya tukio na baada ya tukio n.k n.k ila haki ya killi awards inabaki kwa mke wa dandu chini ya basata..

Kama unavyosema hii vita ni ngumu sana japo watu wanachukulia poa,unajua ikifikia kiwango watu wanakuwa tayari kwa lolote lile ni hatari sana..
Siombei ila kuna kila dalili hii vita ikamalizwa kwa watu kuzikwa kaburini..

Kwa taharifa ni kwamba vinega wameshatoa ratiba yao ya kuzunguka mikoani,uku cloudsfm wakiendeleza mpango wao kwamba kila jamaa watakapotua kufanya show nao siku hiyohiyo wanafanya show yao tena safari hii bure,wakisaidiwa na kampuni moja ya simu.

Hii vita unaweza kuwaona sugu na ruge ila nyuma yao kuna makundi makubwa sana..kuna mambo mengi sana hapa mkuu.
kweli kabisa i dont think hapa kuna mkono wa sugu na ruge tu....
Wanaoujua ukweli watuambie hata kwa kutu pm basi.......

Najua kuna mengi yanaendelea nyuma ya pazia mimi, wewe , huyu na yule hatuyajui
waweza kuta hata baadhi ya members wa clouds na members wa vinega hawajui.....
Wanajua nusu nusu tu....
Nimeshaanza kupata picha

big light, big sound stage ya kimataifa ambayo haijawahi kutumiwa kusini mwa jangwa la sahara safi??
Swali
there is someone ambaye ka finance hii kitu

nilimsikia mkoloni anasema kuna jamaa katoka marekani kuja kuona tu show ya vinega is he a real fan?? Kweli????

Why kinje kaingilia hii???

Kwanini twisa wa airtel kaingizwa humu??
Kwanza nilikuwa sijui kuwa ruge ana kampuni inaitwa 1 call
hehehehehe ngoja nikae kimya coz naogopa kuongea pumba
 
Samahani mi nilijua unamzungumzia mamba KIKWETE NA LOWASA na akina kenge nape na wenzie!
 
huyo ruge ni mnyonyaji sana kwanini anatumia pesa na nguvu nyingi kutaka kuwapoteza na kuwachafua vinega jana kusaga amekiri kuwa vinega wanamuumiza kichwa na amewashindwa ameongea na nchimbi wakae mezani na vinega wapate solution na hao mameneja masoko wakina twissa na wengine tutawachana na tutareport kwa mabosi wenu ulaya haiwezekani mtoe udhamini then mnataka ten parcent mzee kitime ameomba udhamini ili awaelimishe wasanii kuhusu haki miliki mkamchomolea hakuna mtu mwenye hatimiliki ya huu mziki kila mtu anahaki ya kuandaa matamasha
Na pia hizo caller tune mbona hamuweki wazi mikataba yenu kwa wasanii wajue wanapata kiasi gani uganda wasanii wanalipwa vizuri na tunaona mafanikio yao. MTAIBA MADINI WANYAMA NA RASILIMALI NYINGINE LAKINI SI MUZIKI WETU
 
kilicho wazi sana ni ufinyu wa mapato kwa wasanii wa muziki tanzania! kuna wizi unafanyika mahala fulani...swali ni nani anauratibu na kwa manufaa ya nani.

ushauri wangu kwa mzee wa magogoni: tenganisha taasisi ya urais na mahusiano yako binafsi na kina ruge.
 
KWELI KABISA.. MKUU! SUGU ANADHANI ZAMA HIZI NI ZILE ZA 1990 .... :lol:

Mbona mnaleta mambo ya siasa kwenye music!!acheni ujinga!Sugu atabaki kuwa baba lao tu,nyie endeleeni kubana pua!
 
Tatizo mmedandia treni kwa mbele hamjui Sugu anataka nini, Sugu haitaji airtime kwa radio yoyote ndio maana anasema ”hata msipopiga nyimbo zangu redioni hakuna maneno, mimi nilianza kurap kabla ya FM, wakati David Wakati ni mkurugenzi kwenye AM na watu walinifahamu, sahauni kuhusu kumpoteza Sugu, maana Sugu ni kama mvua kama inanyesha inanyesha tu na hakuna wa kuizuia, milango mliyoifunga hivi sasa itafunguka, kama vp ongezeni hasira, tunaingiza mamilioni mnaonga mabinti vitara, kila wakati nipo hewani BBC na Extra One”
Hayo ni baadhi ya maneno tu aliyoysema sugu miaka kadhaa iliyopita ujumbe ambao leo hii unawanyima raha Wafu Fm..
Wafu Fm hawajawahi piga nyimbo za Sugu toka 2002 lakini jamaa bado anawakilisha.
Umma inabidi utambue kwamba Anti-Virus Movement sio vita ya Sugu na Rugay bali ni Vita ya wasanii wanaodhulumiwa na kunyonywa dhidi ya Kupe Rugay!
Kupona kwao ni wasanii kuapata haki zao, leo hii redio yake inatengeneza heshima kwa wasaani wasio stahili? Hivi kweli kuna Legendary wa mziki wa kizazi kipya zaidi Sugu?
Halafu we **** Greater Thinker waambie wanaokutuma na wewe wote ni mafala tu, THT nani kakudanganya ni ya watoto yatima? Unaweza nitajia msanii ambaye ni yatima katika kundi hilo? Pipi, Barnaba, Linah, Amin na wengineo?
Unajua kwa nini waanzilishi wa THT wengi wamefukuzwa na wengine kupotezwa kwenye ramani ya sanaa?
Je unamjua mwanzilishi wa THT? Unajua kwa nini alijitoa THT?
 
”hata msipopiga nyimbo zangu redioni hakuna maneno, mimi nilianza kurap kabla ya FM, wakati David Wakati ni mkurugenzi kwenye AM na watu walinifahamu, sahauni kuhusu kumpoteza Sugu, maana Sugu ni kama mvua kama inanyesha inanyesha tu na hakuna wa kuizuia, milango mliyoifunga hivi sasa itafunguka, kama vp ongezeni hasira, tunaingiza mamilioni mnaonga mabinti vitara, kila wakati nipo hewani BBC na Extra One”
Hayo ni baadhi ya maneno tu aliyoysema sugu miaka kadhaa iliyopita ujumbe ambao leo hii unawanyima raha Wafu Fm..
Wafu Fm hawajawahi piga nyimbo za Sugu toka 2002 lakini jamaa bado anawakilisha
Halafu we **** Greater Thinker waambie wanaokutuma na wewe wote ni mafala tu, THT nani kakudanganya ni ya watoto yatima? Unaweza nitajia msanii ambaye ni yatima katika kundi hilo? Pipi, Barnaba, Linah, Amin na wengineo?
Unajua kwa nini waanzilishi wa THT wengi wamefukuzwa na wengine kupotezwa kwenye ramani ya sanaa?
Je unamjua mwanzilishi wa THT? Unajua kwa nini alijitoa THT?

kuna kipindi waliacha kupiga nyimbo za Inspekta Haroun(inapigwa Buzi ya Mr.Paul verse ya inspekta inakatwa),kikosi cha mizinga,Solo thang n.k

Twisa wa Airtel nae ni mshenzi tu kama Kinje
 
Sugu alianza Muzik kabla ya fm radios' na watu tulimfahamu,...Issue sio airtime issue ni malipo mazuri kwa wasanii,.Haiwezekani msanii wa US alipwe $100,000 na kwenye show anafunikwa na wasanii wa kibongo?!
 
BLAH BLAH BLAH BLAH.....! Kama wasnii wenyewe wamelalamika ruge kawanyonya,walikuwa wapi sikuzote mpka aje sugu ndo awateteee!? walitaka wenyewe hawa!Mimi namiss mapanga ya TMK na Sir Nature! Ngoja nibaki na ushabiki wa mpira tu sasa....
 
we mshamba ukija huku MBEYA(ambako ndo anaishi) nymbo za SUGU ni kama NATIONAL ANTHEM,so ishu ya airtym cio ishu kwake,anachotaka ni haki itendeke..ucukulupuke jipange,..
 
Huwa najiuliza inakuwaje wasanii wa uganda wananufaika na kazi zao na hapa kwetu ni tofauti? Issue za style sijui kubadilika sikubaliani nazo, msikilize chameleone wa miaka yote hamna tofauti ya kutisha! Kuna watu wanatulazimisha vya kuckiliza!
 
Kaka Point yako nimeilewa hapa ila mimi nina Tatizo moja hapa hivi mnavyolalamika kuwa wasanii wa nje kulipwa pesa ya juu kuliko wasanii wetu then mnalalamika kuwa sio sawa kwa kigezo kipi ?? hivi nyinyi mnataka LADY GAGA alipwe sawa na SOGGY DOGGY guys guys guys... tuwe tunafikiria vitu vya kuongea jamani jamani jamani... tuwe tunafikiria basi ...
mwenzako kagonga mult Platnum, yuko under huge label , video zake zina budget kubwa show yake hayuko mwenyewe kuna dj, light man, dancers, managers na watu kibao mfano hata akilipwa 200,000 usd yeye mfukoni unakuta inaingia 40,000 umeona....

kwanza ni international artist soggy doggy kaishia tu ... Uganda na Kenya

tukija katika Uganda wao kama wao serikali yao ndio inawa support so hata hapa sisi ni kazi ya serikali kubadilisha mfumo mzima wa music......

kama U.s, Nigeria, na Uk wanavyofanya Tatizo sio Ruge. coz ruge yeye ni mmiliki tu wa chombo cha habari

kuna vyombo vya habari zaidi ya kumi bongo.... umeona kama ruge hapigi nyimbo yako kuna Times fm, ea radio , radio one , Rfa hizi ni redio ambazo zinakufanya uwe maarufu tu so hapa ni kuna conclusion kuwa KAMA HUWEZI HUWEZI TU

mimi sugu namkubali tena sana, Mapacha, na kundi lote linalojiita vinega ninawakubali tena sana tu coz they come up na kitu ambacho kidogo kinaifanya game ya bongo kuwa na ushindani mkali....

coz kama ni inshu ya malaria sugu kuporwa na ruge kama alivyosema mimi hapo ninam support sugu ila kwa inshu ya
pango la Tht ...tuangalie kwa macho mawili ile ni nyumba ya vipaji right? na wengi ambao wapo mle ni watoto yatima...sawa tunaweza sema wamenyonywa its okay.... wananyonywa BUT bila Tht maisha ya barnaba, lina, amin, wale dancer yangekuwa wapi?? sawa wananyonywa sikatai ila wanaingiza hela ambayo hiyo pesa walikuwa hawana uwezo wa kuingiza hapo mwanzo
japokuwa at the end of the day bosi wao RUGE ndio anaingiza kipato kikubwa .. na hii iko sehemu zote Duniani
unajua mapato ya lil wayne UNIVERSAL RECORDS wanachukua asilimia ngapi do you think ni 50% kwa 50% BIG NO kuna label zingine zinachukua 60% ya mapato ya msanii ananyonywa au hanyonywi???
hiyo ni marekani

sio tu kwenye music hata kwenye movies
mfano shia labeof alilipwa usd 15 million kwa ajili ya kucheza transofmer -movie iliyoingiza 800 million usd kanyonywa au hajanyonywa??

so i dont think ni muda wa kurumbana halafu sisi sio wasanii so hatujui makubaliano yao yakoje so tukiona mtu kalipwa pesa na kaenda kufanya shoo na clouds fm tusim judge vibaya coz hatujui kuwa wameelewana nini na watu wa clouds na wamelipwaje...

kupigwa nyimbo redioni sio suala la wewe kuichukia clouds fm coz kama nilivyosema hapo awali kuna redio kibao na duniani kuna redio zaidi ya 1,000 so nina UHAKIKA uki submit nyimbo yako kwa redio hizo zote am sure KAMA WEWE Nyimbo yako ni nzuri LAZIMA U HIT na utakua juu kila siku..... ila kama nyimbo yako ni mbaya utaishia kulalamika tu kila siku so am sure guys

ninaomba sugu na ruge wapatane na waangalie ni jinsi gani ya kusuluhisha huu mgogoro wao.....

mkuu nimekuelewa vizuri ila nadhani kuna vitu hujavielewa,ruge na mtandao wake kwa kushirikiana na baadhi ya viongozi wa serikali wasio waadilifu wanakwamisha suala la serikali kusaidia kusimamia mapato ya wasanii kama ilivyo uganda(hata wewe umekili).Hivi hao wasanii wa nje unajua kuwa inatakiwa walipe kodi kutoka kwenye pesa wanayoingiza kwenye shoo(repatrieted tax)?unadhani kwanini hao wanaoletwa na ruge hawalipi hiyo Jiulize mara mbilimbili.SUGU + VINEGA = JIBU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom