Vita kati ya freemason na kanisa katoliki

Vita kati ya freemason na kanisa katoliki

BarakaMkekusi

Member
Joined
Jul 5, 2024
Posts
25
Reaction score
77
June 24 mwaka wa 1717 kundi la freemason walifanya kikao sehemu iitwayo Gridion ambayo ilikuwa katikankiwanja cha mtakatifu paulo huko wingereza.. Kwenye kikao hicho moja ya ajenda kubwa ilikuwa ni kuunganisha kundi la freemason liwe moja, kwa maana kipindi hicho walikuwa wamegawanyika bila ya kuwa na makao makuu..

Hivyo baada ha kikao hicho wakatengeneza mkao makuu yao hapo na kulipa jina la Grand Lodge of England.. Na baadae wakaendelea kupanua mbawa zao hadi Florence nchini Italia.. Hapo ndipo kanisa katolikk chini ya papa Clement x11 likaanza uchunguzi dhidi ya jamii hii ya siri ya freemason.

Mwaka 1738 papa Clement wa 12 akatoa waraka unao kataza muumini yeyote wa kanisa katoliki kutokujihisisha kivyovyote vile na jamii hii ya siri ya freemason na hapo ndipo freemason wakaona kanisa katoliki limeamua kutangaza vita vya wazi kabisa na wao...
Angalia video hii kupata mwendelezo


View: https://youtu.be/LeshIyAzLG8?si=FUFXl4JHKpTx8Ch-
 
Miaka hii naamini hata wakuu wengine wa kanisa na waamini wengi na wao wanaabudu huko.
 
Back
Top Bottom