Ni kweli kabisa lakini tunaelekea shimoni halafu shimo lenyewe tushalikaribia lakini sijui nani katangulia kuelekea huko Mbaya zaidi walokaa seat za mbele wote wamelala fofofo, Dereva wetu mgeni halafu kalewa chakari natamani niruke lakini speed ya Gari hili ni kali mno hofu yangu kuu ni je Kwa kona hizi Na maporomoko haya hata huko shimoni tutafika?Maandishi hayafutiki dhima yetu ni kuandika... Ngoja tuandike tuu
Mkuu andiko lako linamaana kubwa sana. Huku Pemba tunapanga kuleta huyu Kibwengo wetu pwani ya Dar. Kwa sasa tunakamilisha ujenzi wa nyumba yake baharini pale eneo la ferry maana kuna kina kirefu pale. Ujenzi wa nyumba ni gharama maana tumetumia damu ya ngamia wawili. kazi kubwa ya mheshimiwa kibwengo ni kuhudumia bazazi yeyote atakayelala usingizi usiku. atakuja na popobawa 25 wa kumlinda. Hauwi wala hajeruhi ila yaliyomfanya mh. wa chepe la dhahabu kuondoka Pemba saa 9 usiku ndo yatawapata wabaya wote. Wakizoea huo mchezo kibwengo ataondoka ila wake zao ndo wawasahau tena.Mungu nisamehe mja wako! Mrema ana ngozi kama ya chato
Duuu [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu andiko lako linamaana kubwa sana. Huku Pemba tunapanga kuleta huyu Kibwengo wetu pwani ya Dar. Kwa sasa tunakamilisha ujenzi wa nyumba yake baharini pale eneo la ferry maana kuna kina kirefu pale. Ujenzi wa nyumba ni gharama maana tumetumia damu ya ngamia wawili. kazi kubwa ya mheshimiwa kibwengo ni kuhudumia bazazi yeyote atakayelala usingizi usiku. atakuja na popobawa 25 wa kumlinda. Hauwi wala hajeruhi ila yaliyomfanya mh. wa chepe la dhahabu kuondoka Pemba saa 9 usiku ndo yatawapata wabaya wote. Wakizoea huo mchezo kibwengo ataondoka ila wake zao ndo wawasahau tena.
Usitafute mwanaume kwa nguvu hivi.....mimi ni Mume wa mtu.Jf kuna wagonjwa wa akili wengi hivi kumbe
Muhuni mchochezi mkubwa wewe. Huna lolote la maana na wapiga ramli wenzako.Walevi hubaki na za hekima huyo ni [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Uliye andika hii unajua misingi ya Mungu HAWA wanoongea humu hawajui waliongealo kwani wanaukum uku wakijiita wataktifu na kuwanyooshea wenzao vidole wamesahau kuwa hakuna aliyekamilika wanaitaji haki lakini hawatiki kuwapa wenzao haki wanahukumu wenzao wakati maovu mengi wanayo kama so hivyo Mara ngapi umezini Mara ngapi umesema uongo Mara ngapi umeshindwa hata kumpa sh 200 yule masikin aliyekunyoshea mkono Mara ngapi unamwaga chakula wenzako wanakula makombo mashimoni Mara ngapi umewazulum wenzako Mara ngapi unawanyanyasa ndg yako tazama wajakaz wako wanavyoishi we unawaeshim na kuwatunza Mara ngapi unatembea na gar uko pekee yako unapita masikin yoooooote ni maovuuuu tumuombe Mungu rehema tu wakosaji hakuna dhambi ndogo na kubwa zote nizakuombeaHakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.
Najua ukitaka kuwa kiongoz bora unayefanya kaz nzur lazma umuheshm Mungu kumuheshm Mungu nipamoja nakuwaheshm waliokutsngulia imesndikwa anayetaka kuwa mkubwa na awe mdogo kwanza sasa ukiwadharahu walioko madarakani nawewe ukiingia utaweza kuongoza utadharauliwa tyuu ndivyo ilivyo ivyo ambao wanawatukana viongiz wslioko madarakani NAIC mnakitu cha ziada cha kulisaidia taifa tunaomba mda ukifika mchukue nafasi mtuonyeshe mnayo yajua kwa hakili zenu lakini najua tuyafanyo so kwa hakili zetu Bali kwa yeye atutiaye nguvu tuwsombee wafanye vizur ili na sisi tujspo kisea tupate wakutuombea ukiua kwa upanga utauawa kwa upangaUongozi uliopo madarakani kwa sasa Tanzania katika mihimili hasa ya Serikali na Bunge ni wa hovyoo haujawahi kutokea Tanzania tangu ilipopata uhuru. Ni kioja sasa wananchi wanakimbilia kwenye albadili huku viongozi wa mihili hii wakijigamba "Sijaribiwi" na mwingine "chezea ndugai wewe!" . Huu ni ulofa wa uongozi uliopitiliza.
Maneno tu hayo, nakuhakikishia hakuna litakalotokea bali ni aibu miongoni mwenu. Mungu ninaemjua mimi si wa kuwasikiliza nyie wenye matusi na maneno ya kejeli kwa viongozi ambo Mungu mwenyewe ameridhia waongoze. Mungu si wa visasi bali anahukumu kwa haki. Jiangalieni nyie wenyewe, nafsi zenu na watotowenu. Tuachie Nchi yetu. Hizo Albadir sio za Mungu. Mungu hana kisasi.Ni jambo gumu kidogo kwa wale ambao si waamini. Visomo hivi vimezoeleka kuwa kwenye mambo ya binafsi zaidi. Hili la wiki hii ni kama linaelekea kuwa jambo la kitaifa.
Nimesikia majigambo mengi ya watawala, Nimemuona kwa macho yangu Ndugai akisema kwa midomo wake maneno haya CHEZA NA KITU KINGINE SIO NDUGAI. niliogopa sana.
Muda huu alfajiri kuna maombi yanafikia tamati pale kariakoo... Mchungaji kiongozi anataja damu iliyomwagika Tanzania.
Ishu ya kisomo hata kama imekuzwa sana lakini vema watawala wapate ujumbe wa kiroho wenye tafakuri kuu.
Kwamba wananchi wanaona hakuna kimbilio tena na hawana imani na serikali yao, sasa wanapeleka mashtaka yao kwenye NGUVU zisizojulikana. Hata kama visomo hivyo havitaleta madhara tarajiwa lakini ni ujumbe mbaya kwa serikali, kuna kaliba inahisi kuonewa na kunyanyaswa, kuna kaliba inaona wazi kabisa imetengwa na kufanywa yatima.
Energy ya hii kaliba isipuuzwe chondechonde! Tusiwafundishe watu kuacha misingi.
Viongozi na watawala tendeni kwa weledi, tendeni kwa hekima, tendeni kwa tafakuri na maono makuu.Angalieni malalamiko yasiwe mengi mno.
Tumshukuru Mungu wameamua kutumia silaha za maombi na visomo, waacheni msiwazuie. Hawana pengine pa kupumulia, hakuna mikutano ya kisiasa, hakuna kuandamana. Hivi vitu husaidia mno kupunguza nyongo iliyozidi.
Tendeni kwa weledi sana hakukuwa na haja ya kuzuia wachangia damu pale Temeke hospital.. Mambo mengine mbona ni ya kawaida mno?
Kuna ule wimbo wa Ney, ule wa wapo. Baada tu ya Mwakyembe kuruhusu upigwe, haraka sana ule wimbo ukawa sio habari tena!
Visomo hivi ni njia mpya ya kushtua ya kupeleka ujumbe mkubwa.
Visipuuzwe! Visomo vikishindikana hali inaweza kuwa tofauti LAKINI visomo vikijibu hata kama ni coicedence? Tutegemee nini kama taifa?
Acha kutokwa na mapovu ww subiria matokeo chanyaWanafki sana mbona wameshindwa kufanya kwa masheik waliopo gerezani tena walikua wakizungumzia dini wafanye sasa??, ningekua na uwezo hata bakora ningewapiga washirikina hao, Al badr si kisomo cha kiislam.
Acha wenge subirin muanze kutembea na chupi kichwaniHauna msingi wowote. Wewe ni mkabila na una chuki ambayo inakutafuna ndani kwa ndani. Nashangaa kwa mtu kama wewe kuandika upuuzi kama huu. Umetumwa na nani kutufarakanisha Watanzania!?
Unasikitisha sana kupita maelezo. Sina haja ya kufurahishwa na mtu kama wewe Mwenye mrengo wa chuki na sumu ya ukabila. Ninakemea huu upuuzi kwa nguvu zote na ushindwe pia Ulegee kama mlenda uliotiwa roico.
Hahaaaaa ,mkuu naona unalalamika acha watu wafanye yao we unafurahia kuendelea kwenye nchi ya risasi ? Mimi nawaunga mkono unyama ukome hapo TzHakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.