Visomo hivi si dalili njema sana

Visomo hivi si dalili njema sana

"....Hata kama visomo hivyo havitaleta madhara tarajiwa lakini ni ujumbe mbaya kwa serikali, kuna kaliba inahisi kuonewa na kunyanyaswa, kuna kaliba inaona wazi kabisa imetengwa na kufanywa yatima...." (Mshana Jr., 2017).

Umeandika vizuri sana Kiongozi
[emoji115] [emoji120] [emoji120] [emoji779] [emoji781] [emoji123] [emoji817]
 
Hakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.
Watu wameomba sana Mungu atuepushe na Mafisadi na wauaji wa kibiti.Wauaji wa kibiti walisomewa arbadil ndiyo maana wamekoma.
Sasa hivi watu wako busy kumuomba Mungu atuondolee huu mzigo wa Dikteta Uchwara, lkn pia Mungu atende muujiza wa kumponya mtetezi wa wanyonge ndugu Tundu Lusu.
 
Wameanza kuzuia ibada, tusishangae makanisa na misikiti ikafungwa....
 
Hakuna dini hapo usanii Tz na inapangwa Sio eti kwamba Watz wamegusws. Wtz ni wasanii snaa. Wale wa kibiti Maombi gani yalitolewa. "usihukumu na hautahukumiwa@ sasa nani ana uhakika wa haya mambo. Mmekuuwa na majibu ya haraka sna. Kma mmepanga kabisa haya mambo. Ndo mnafanya watu wenye akili wafikirie mbali. Mbona hamkuwahi kusoma kwa wezi wa mali za Taifa kama ndo uzalendo. Usanii huu utawarudia. MUNGU HAJARIBIWI endeleeni tu kuligawa taifa.
Nina mashaka Na Wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawatafakari sana watanzania wenzangu wanaomuona Lisu kibaraka wa Wazungu kwa kweli hoja zao huwa zinanifanya niwe nacheka kwa kejeli kila wakati

Wanahitaji kupata mwalimu mzuri wa saikrojia maana lazima wana mapungufu

Ila kama ni wasaka tonge bac wako sawa

Ila kama sivyo bac hawajui Dunia inakokwenda

Mzee Jomo Kenyatta alivyosema
Nanukuu:
Kiongozi wa Tanzania Anatawala maiti mwisho wa kunukuu

Naomba msifute huu uzi watanzania tujitambue

Mapovu ya nn kama vile wasiojulilana

Back
Top Bottom