Visa vinavyoudhi high Schools (Advance)



Elimu ya Tanzania ni ya kisenge sana, mtu unaonaje ujiko kujiita msomi ikiwa unakairi tu mistari ya vitabu? Unapoteza muda kibao kukariri vitu mwisho wa siku unakuja kuharibikiwa ukubwani na kuwa mpiga nyeto mashuhuri ukifidia miaka ya shule kukariri vitu visivyo na faida.
 
Tabia ya kuanuliana mashati pale PUGU ukifua linda shati au nguo zako jifanye mwehu uziache jumatatu utavaa shati la kuazima form one.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilikuwa nafua jumamosi asubuhi baada ya pora naenda zangu kufulia pond,ukifika muda wa wali nguo zishakauka napandisha zangu kupiga kipunga,baada ya kipunga ni kudrop hapo tuonane j'tatu asubuhi parade😀😀
 
Kisa kingine kilinigusa nikiwa O level this time pale Rugambwa secondary ni kuchota maji kwenye kijito kipo kwenye mawe.Sasa hapo mkiwa zamu ya kuchota maji ya jikoni. Kaka Hansi kule jikoni anasema maji bado ongezeni tena...
Lahaula et vyoo vichafu mnaviita Ihungo. Mlikua mnatuchukulia wachafu sana [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

🤣


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka kipindi nasoma high school shule moja maarufu Sana tabora tulimiliki simu karibia wanafunzi wote wa darasani kwangu, miaka iyo form 5 nilifanikiwa kupata pisi Kali ya chuo furani pale tbr...
hii kama sio kwa WALAMBO palee
 
Tarime Boys Secondary!! Hii Shule ni kambi ndogo ya Jeshi chini ya Mwalimu Wambura Mwalimu wa mazingira almaarufu Kama Gaddafi alikuwa anatembeza bakora haswaaa, Utafyeka kule mvua zilikuwa karibia mwaka mzima usipofyeka week tu umeharibu kazi, kudeki CUBIC inakaguliwa Ijumaa kwa kulambisha kidole ole wako kidole kiinuke na vumbi!!

Mbaya zaidi kule DH_Dinning Hall mkiwa zamu kudeki kila siku usiku Baada ya Dinner akute Kuna harage Hata moja tu limebaki chini mtadeki Mwezi mzima na mkiwa wengi mtapiga Hata miezi miwili!!

Kupeleka maji jikoni mota ikiharibika mpo class mnameza taratibu mnaambiwa jikoni Hakuna maji mtajaza tank mom Basi!!!

Hakuna mabafu kulikuwa na Vyoo tu, kuoga utaoga popote unapojua watu wanachambia kila Aina ya material wakija zibua vyoo Hadi Gunzi yanaibuliwa!!

Ilibiditi tuoge mtoni tu hasa siku ya Wali mapema upo DH ukilegea kidogo unakuta kundi washagawana unabaki unalengwa lengwa machozi tu!!!!

Typed Using KIDOLE
 
Mi nilikuwa nafua jumamosi asubuhi baada ya pora naenda zangu kufulia pond,ukifika muda wa wali nguo zishakauka napandisha zangu kupiga kipunga,baada ya kipunga ni kudrop hapo tuonane j'tatu asubuhi parade[emoji3][emoji3]
Hahaha ule wali wa pugu eti unkaa unaupigia mahesabu maisha haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…