Visa na mikasa ya kilaji/gambe/bwax!

Wakati nipo chuo na mitungi ya boom. Niliwahi kumkojolea profesa Kisha alinikuta bar na kunifananisha Kama ni mwanafunzi wake. Yani aliniuliza kwa nia njema kabisa kama ni mwanafunzi wake niende lecture mana anaenda Kutoa kozwek. Kilichompata alijuta na mm badae nilijuta maana kweli alikuwa mwalimu wangu
 
[emoji3][emoji3] nilikuwa najiuliza kama hukumbuki ulifikaje home, ilikuwaje ukachukua bodaboda na njia ukaelekeza hadi mkafika. Hapa ndio sijaelewa kabisa
Mkuu najua huwez elewa ila kwa wale wakata tungi wanaijua hii,waweza jikuta home bila kujua umefikaje!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3][emoji3] nilikuwa najiuliza kama hukumbuki ulifikaje home, ilikuwaje ukachukua bodaboda na njia ukaelekeza hadi mkafika. Hapa ndio sijaelewa kabisa
Mkuu kwa kawaida mlevi hasahau njia ya kwao...
 
kuna mwenzenu.alilewa watu wakamfanyia sodoma.alihama dar.sasa kakimbilia kijijini ana pambana na hali yake..
 
hahahahh ulitaka kula zigo la baba mwenye nyumba..! ungekuta kufuli kubwa mlangoni mwako.
 
hahahahh ulitaka kula zigo la baba mwenye nyumba..! ungekuta kufuli kubwa mlangoni mwako.
Acha tu mkuu,hizi pombe sa nyingine ni majanga![emoji4][emoji4][emoji4]
 
kuna siku jamaa yangu kafakamia balimi wakati anarudi home ndani ya daladala akakaa siti moja na demu sasa kimbembe ni pale alipoanza kumtongoza akijua anamnong'oneza kumbe anaongea kwa sauti gari zima wanasikia.
 
Kuna mkuu mmoja jana alisema ili uache pombe bila shuruti lazima upate majanga makubwa kama hilo lako au ulawitiwe .
 
Aisee Faza hausi lingekuwepo ungeliwa kitimoto bila ky mamaye.
 
Kwasasa umeacha mkuu au bado unapiga?
 
Asiyekunywa atasema watu wanadanganya kwa matukio ya kikombe na kisa hiki hapa;

Kuna mzee mmoja alikuwa ni mwajiriwa wa bandari, sasa nilipopanga sehemu yangu ya biashara ni kota za bandari, siku moja nipo na baba mwenye nyumba nilipopanga akanipa kisa cha jirani yake ambaye sasa hivi ni Ustaadhi swala Tano, akanambia siku hiyo wapo Equator Grill hapo Saba Saba walikuwa wanakula kilaji na wazee wenzie wa bandari, kikombe kimekubali kweli kweli, hicho kipindi cha Mkwere pesa kwao haikuwa ya kupapasa, bas yule jamaa kikombe sijui kikampeleka vipi Akasimama juu kaunta akatoa mjululu akakojolea kaunta na mitusi mingi ya kutosha. Baada ya lile tukio, pombe zimemuisha unaambiwa jamaa hakuwahi kugusa pombe mpaka leo ni Swala 5 usisimuliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…