Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Hakuwa na sababu ya kufanya hivo. Aliua just for fun, ila kabla ya huyo kuna mwenzie alikuwa akiua kwa mtindo huohuo na ndiye former wa jina KENONKE likiwa na maana ya hiki ni nini kwa kiswahili. Huyo wa kwanza yeye alikuwa akipenda kutembea usiku na bastola. Ukikutana naye mnaweza kutembea hatua kadhaa huku mnapiga story kama ilivyokawaida vijijini. Ghafla atatoa bastola na kukuuliza KENONKE na hapo unatuma salamu zako kwa marehemu wote.
walikamatwa?
 
walikamatwa?
Wote kwasasa ni marehemu. Huyu wa mwisho alikamatwa baada ya tukio aliloelezea mdau hapo kuhusu hao waliouawa usiku wakiwa wanatengeneza gari.

Mmoja kati ya waliouawa kwenye hilo tukio aliitwa YOMAMI ni jamaa aliyekuwa na pesa yake na alikuwa maarufu pia.
 
Wote kwasasa ni marehemu. Huyu wa mwisho alikamatwa baada ya tukio aliloelezea mdau hapo kuhusu hao waliouawa usiku wakiwa wanatengeneza gari. Mmoja kati ya waliouawa kwenye hilo tukio aliitwa YOMAMI ni jamaa aliyekuwa na pesa yake na alikuwa maarufu pia.
itakuwa ushirikina bila shaka
 
Sitoisahau siku nilikunywa castle milk 5 nikarudi nyumbani badala ya kuingia chumba changu nikaingia cha mama mwenye nyumba kwa sababu chake kilikua kimerudishiwa nilishangaa kufika ndan anashangaa vip mbona huku nikazuga nimekuja kuchukua funguo yangu.

(Kumbe funguo ninayo mwenyewe).
Nilikaa wik bila kunywa kwa sasa nakunywa kistarabu
 
Mara ya kwanza nimetupia ugoro pale mbauda Arusha sitakaa nisahau
Nilikaa chini jasho lilinitoka nikaona ndio nakufa hivyo

Halafu ule ugoro was mbauda wanachanganyaga na gongo na mafuta ya taa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].stimu zake vipi?
 
Mara ya kwanza nimetupia ugoro pale mbauda Arusha sitakaa nisahau
Nilikaa chini jasho lilinitoka nikaona ndio nakufa hivyo

Halafu ule ugoro was mbauda wanachanganyaga na gongo na mafuta ya taa
waliowahi kugusa ugoro wa Arusha ule wenyewe wanajua balaa lake..

hasa wale test test zali kama kina sie,kuna vitu sio vya ku test maana..

unaweza jishangaa mtoto wa kiume una bleed hivi hivi,na period ukaingia..
 
Back
Top Bottom