Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Kuna jamaa yangu best sana. Alinitangulia kuoa kidogo Ila kazini tulikua pamoja na tulinunua viwanja sehemu moja Tabata na kuanza kujenga polis post wote. Kwa wale dotcom polis post Ni nyumba ya chumba sebule chumba choo na bafu nnje.
Ok. Tuendelee na Hadith. Christmas moja tulienda mkesha Kama kawaida, kutoka kanisani tukahamia bar enzi zile hakuna Makonda Wala Nini, kwenye grosare za mtaani bia mnapiga mpaka majogoo. Basi tukazianza Ile saa tano usiku, hapo ujue wanywaji wote Ni majirani na tunajuana, sasa unakuta mtu una beer tatu hazijafunguliwa, Ni mwendo wa kata mti panda miwili. Baas bwana, ilipofika majogoo mie na jamaa yangu na jirani yangu toka mkoani Geita tukaanza kurudi nyumbani. Kufika jamaa kaingia kwake kwa mkewe na watoto wawili na mahaus geli wawili. Unajua siku ya Xmas kina mama hasa wanaokaa Tabata hupenda kupikia nje madishi kibao. Pale pilau, huku kitimoto, pale kuku, huku hausgel huyu anakata kachumbari, yule anawasha mkaa mama anasupavais na vijana wake wanacheza na baiskeli. Kufika muda wa saa tatu watu wote wako nje. Jamaa yangu huyu ambae hajaenda jando mkojo ukambana. Pombe zikamtuma kwamba bado Ni Kuna giza hivyo anaweza kwenda kukojoa chap akiwa uchi na kurudi kuendelea na usingizi. Jamaa yangu akatoka nje Kama alivyozaliwa na kukojolea ukuta karibu na dirisha lake. Mke na mahausgel na watoto wameshikwa butwaa maana kidogo akojolee ungo uliokua na viungo. Jamaa akaitingisha Kama kawaida ya wanaume na kuingia ndani kuendelea na usingizi. Jamaa kauchapa Ila kunako saa Saba harufu ya pilau ikamuamsha. Mke akamiwahi na kumwambia kabla hakatoka nje Tena na kumpasha. ULICHOTENDA LEO HAKINA MFANO. UMERUDI ALFAJIRI UMEONA BADO HAITOSHI, UNAKUJA KUNIDHALILISHA MBELE YA HAUSEGELI NA MAJIRANI KWA KUTOKA NJE UCHI. jamaa yangu kawa mkali na kusema hajatoka nje uchi. Bi mkubwa kaenda kumuonyesha ukutani jamaa yangu huyu mbabe alipokojolea maana japo mkojo ulishakauka lkn ramani ilikuwapo. Basi jamaa ilibidi awe mpole na kuapa pia alihamia makanisa ya walokole ambayo hayaruhusu pombe.
eti akaitingisha kidogo 🤣
 
Hii in aibu ya mwaka.
 
Kuna kisa niliwahi kukiweka huku sikumbuki vizuri ile Uzi title yake ilikuwa inasemaje ila ilikuwa hivi:
Nilipata mshkaji mmoja kutoka Netherland akiwa anafanya research katika mambo ya kilimo nikawa nampa escort hadi akakamilisha tulikuwa moshi,baadae akataka kutembea mkoa mwingine nikamwambia mwanza pamekaa poa akataka nimpe kampani kwa kuwa nlikua likizo nikaona poa .
Basi safari ikawadia tukafika sasa kisa kilianza kesho yake baada ya kwenda bar moja ufukweni ziwa Victoria kama kawaida nikaagiza konyagi nikiwa na yule mzungu kidogo jamaa akaingia ziwani akanza kukata mawimbi hapo nakunywa kikonyagi nikaona huyu mgeni hawezi kushinda mwenyeji nikasaula nguo nikabaki na uboxa nikazama kwenye maji aisee ile naibuka wimbi likanichkua waaba! Eh nakanyaga chini miguu haifiki nikaanza kuita mzungu hello,,,,,,! Nakunywa nguchu ....... Nikiibuka tena nguchu ,nikatamani Iwe ni ndoto kumbe in live likaja wimbi likanirudisha nilipotoka aisee nilitoka spidi break ya kwanza ni kaunta huku natetemeka ile mbaya na konyagi imeisha kichwani kwasababu ya lile wenge lililosababishwa na kiherehere chakushindana na mzungu bila kujuwa maji niliyokuwa naogelea mto karanga pale moshi ni tofauti kabisa na haya ya ziwa ,nikagundua maji sio kitu nzuri hata nikiingia bafuni maji ya ndooo sitaki nitumie muda mrefu dakika sifuri nimeshachomoka huko spidi ile kitu haipotei kwenye ubongo na maji nayaheshimu hadi Leo.
Hahahahaha
 
. Wamalaw washenz sana walileta pombe flan INAitwa moa wa mafumu kama power vlee ...iliua vjana weng
Hata wazambia pia nakumbuka pindi niko mbeya kuna pombe ilikuwa inaitwa double kick mfano wa valuer ikiuzwa kwa shilingi mia, vijana tuliwaka sana iyo kipindi
 
Nililala huku nimesimama kwenye nguzo ya umeme nisinyeshewe na mvua tukuyu mbeya mwaka 2000
Noma sana hii!

Me ilinitokea mbeya mjini, nimepiga pesa zangu dox nikaingia mtaani kufakamia double kick za mia mia, dakika kumi nyingi kama maigizo vile nikatoka nje mvua inapiga hatari nikaenda nje ya duka na moka zangu nikashika nguzo kama kuna kitu cha maana nawaza kumbe mtungi umekubali, ukija ukiniuliza neno langu naomba niache...
 
Hata wazambia pia nakumbuka pindi niko mbeya kuna pombe ilikuwa inaitwa double kick mfano wa valuer ikiuzwa kwa shilingi mia, vijana tuliwaka sana iyo kipindi
daaah af ilikua kama upepo kijana usitumia hiz alcohol ulionekana mshambA
 
Miaka ya 90 nilikua Mbeya kabla halijawa jiji. Pombe tuliyokua tunakunywa inaitwa mchujo, Ni kimpumu lakini kilichochujwa kwa kisafleti safi kuondoa Makapi. Kwa kweli Ni pombe potent kiasi chake.

Sasa unajua wanyakyusa wanapenda kujisifia na kujikweza sana. Akatokea mmoja akasema yeye ana mke, nyumba na biashara hivyo pesa anazo. Kirahisi tu nikamchalenji. Nikatoa noti ya elfu moja, enzi hizo ukionekana nayo kilabuni kila mwanamke anakuchekea.

Nikamwambia Mimi Nina hela sio vijisenti kwa hivo naweza kuchana Ile noti (elfu moja Leo hii sawa na elfu arobaini) na kweli nikaichana katikati ikatoka vipande viwili. Mnyakyusa wa Kyela kuona vile nae akatoa noti ya mia tano enzi hizo inaitwa PAJERO na kuichana vipisi vidogo vidogo sana.

Alipomaliza nikatoka nje kwenda kwenye duka la msafwa mmoja tajiri sana enzi hizo maana alikua na jembe la ng'ombe. Msafwa akanipa gundi nikagundisha vile vipande viwili na kuomba chenji halafu nikarudi kilabuni kuendeleza pombe.

Mnyakyusa ilibidi awe mpole maana yeye Pajero yake kaichanacjana vipisi vidoogo sana.
 
daaah af ilikua kama upepo kijana usitumia hiz alcohol ulionekana mshambA
Yah! Kabisa alafu izo pombe zilikuwa zinakuja kwa fujo toka Malawi na Zambia, alafu bei ndogo so vijana ikawa ni kama fashion kila mtu ukimkuta hakosi stock mfukoni...
 
Kuna jamaa yangu best sana. Alinitangulia kuoa kidogo Ila kazini tulikua pamoja na tulinunua viwanja sehemu moja Tabata na kuanza kujenga polis post wote. Kwa wale dotcom polis post Ni nyumba ya chumba sebule chumba choo na bafu nnje.
Ok. Tuendelee na Hadith. Christmas moja tulienda mkesha Kama kawaida, kutoka kanisani tukahamia bar enzi zile hakuna Makonda Wala Nini, kwenye grosare za mtaani bia mnapiga mpaka majogoo. Basi tukazianza Ile saa tano usiku, hapo ujue wanywaji wote Ni majirani na tunajuana, sasa unakuta mtu una beer tatu hazijafunguliwa, Ni mwendo wa kata mti panda miwili. Baas bwana, ilipofika majogoo mie na jamaa yangu na jirani yangu toka mkoani Geita tukaanza kurudi nyumbani. Kufika jamaa kaingia kwake kwa mkewe na watoto wawili na mahaus geli wawili. Unajua siku ya Xmas kina mama hasa wanaokaa Tabata hupenda kupikia nje madishi kibao. Pale pilau, huku kitimoto, pale kuku, huku hausgel huyu anakata kachumbari, yule anawasha mkaa mama anasupavais na vijana wake wanacheza na baiskeli. Kufika muda wa saa tatu watu wote wako nje. Jamaa yangu huyu ambae hajaenda jando mkojo ukambana. Pombe zikamtuma kwamba bado Ni Kuna giza hivyo anaweza kwenda kukojoa chap akiwa uchi na kurudi kuendelea na usingizi. Jamaa yangu akatoka nje Kama alivyozaliwa na kukojolea ukuta karibu na dirisha lake. Mke na mahausgel na watoto wameshikwa butwaa maana kidogo akojolee ungo uliokua na viungo. Jamaa akaitingisha Kama kawaida ya wanaume na kuingia ndani kuendelea na usingizi. Jamaa kauchapa Ila kunako saa Saba harufu ya pilau ikamuamsha. Mke akamiwahi na kumwambia kabla hakatoka nje Tena na kumpasha. ULICHOTENDA LEO HAKINA MFANO. UMERUDI ALFAJIRI UMEONA BADO HAITOSHI, UNAKUJA KUNIDHALILISHA MBELE YA HAUSEGELI NA MAJIRANI KWA KUTOKA NJE UCHI. jamaa yangu kawa mkali na kusema hajatoka nje uchi. Bi mkubwa kaenda kumuonyesha ukutani jamaa yangu huyu mbabe alipokojolea maana japo mkojo ulishakauka lkn ramani ilikuwapo. Basi jamaa ilibidi awe mpole na kuapa pia alihamia makanisa ya walokole ambayo hayaruhusu pombe.
Kuhama kanisa ndo msaada?
Alikuwa kanisa gani?
 
Asee huyo aliona pombe imemdhalilisha sana.
 
vipi umeacha?
Yaani nataka nijitahidi sana safari hii niache moja kwa moja, huwa nakaa tena narudi.

Mkuu nimewahi kuzuiliwa kuboard ndege pale DSM uwanja wa Julius Nyerere tena natakiwa Mbeya kikazi. Nilipiga pombe baa moja pale ubungo riverside ilikuwa inaitwa Zambezi, nakuja kushtuka saa 12 alfajiri mfukoni sina hata nauli ya kunipeleka nina simu tu ya kitochi.

Ikabidi nitoe line nimpe bodaboda ile simu anipeleke airport, nafika airport nazuiliwa kuingia. Nilirudi hadi riverside kwa miguu. Nina njaa na kiu balaa ilibidi niombe maji ya kunywa kwenye kituo kimoja cha mafuta.

Nilitafuta hela nikapanda IT mchana.
 
Yaani nataka nijitahidi sana safari hii niache moja kwa moja, huwa nakaa tena narudi. Mkuu nimewahi kuzuiliwa kuboard ndege pale DSM uwanja wa Julius Nyerere tena natakiwa Mbeya kikazi. Nilipiga pombe baa moja pale ubungo riverside ilikuwa inaitwa Zambezi, nakuja kushtuka saa 12 alfajiri mfukoni sina hata nauli ya kunipeleka nina simu tu ya kitochi. Ikabidi nitoe line nimpe bodaboda ile simu anipeleke airport, nafika airport nazuiliwa kuingia. Nilirudi hadi riverside kwa miguu. Nina njaa na kiu balaa ilibidi niombe maji ya kunywa kwenye kituo kimoja cha mafuta. Nilitafuta hela nikapanda IT mchana.
punguza mzee unakoelekea kubaya hiyo ya kulewa mpaka unalala kwenye shamba la mahindi hatari
 
Ahahhahaha....jana ndio umeudiba mwishomwisho.Daa nimetoka kupiga kitu cha gari moshi gredi 1, chocho moja ya hatari sana
Nimekata kauli safari hii naacha, huu uzi umenipa moyo kuwa inawezekana. Jana ndio nimekunywa kwa mara ya mwish mkuu. Imenitia hasara sana
 
Ngoja niweke mkasa wangu mwingine ulitokea 2004, Jamaa zangu walitoka mgodini wana hela ya maana wamekuja na mshikaji wao watupambanishe kunywa pombe wanajua mimi kichwa ngumu kwenye bia.

Nikawapa masharti kuwa nakunywa bia na si pombe kali. Wakaleta kreti moja ya Tusker na jamaa akapewa yakwake hiyo ni saa mbili asubuhi tumeshakula ugali kwa supu ya samaki. Kufika saa saba nimemaliza kreti jamaa kachemsha.

Nikaaga nikaenda kulala, nakuja kushtuka kesho yake mchana majirani wanabomoa mlango wakijua nimekufa. Walichungulia dirishani wanaona mtu kalala chini wakajua nishaenda kwa Sir God. Niliugua siku 3 sijiwezi kabisa.
 
Ngoja niweke mkasa wangu mwingine ulitokea 2004, Jamaa zangu walitoka mgodini wana hela ya maana wamekuja na mshikaji wao watupambanishe kunywa pombe wanajua mimi kichwa ngumu kwenye bia. Nikawapa masharti kuwa nakunywa bia na si pombe kali. Wakaleta kreti moja ya Tusker na jamaa akapewa yakwake hiyo ni saa mbili asubuhi tumeshakula ugali kwa supu ya samaki. Kufika saa saba nimemaliza kreti jamaa kachemsha. Nikaaga nikaenda kulala, nakuja kushtuka kesho yake mchana majirani wanabomoa mlango wakijua nimekufa. Walichungulia dirishani wanaona mtu kalala chini wakajua nishaenda kwa Sir God. Niliugua siku 3 sijiwezi kabisa.
Kisav kulala chini ndo uugue?
 
Back
Top Bottom