Virtual Private Network (VPN) imenirudisha JF

Kwani unaitumiaje Hiyo VPN na unaipataje ??
 
Natumai wale ambao biashara au maisha yetu in general yalikua yanaendeshwa na msaada wa internet sa ivi hali ine zorota kiaina

Ila bila kukawia tumepata i kitu inaitwa vpn ila ni kwa wale wachache tu ambao waliwai kuiweka kwenye simu zao na wale wengine ambao wametumiwa kwa Bluetooth au xender or any transfer app..

Mimi binafsi nimepoteza almost 1000$ mpaka kuja ipata vpn maana jamii nilio kua karibu nayo walikua awana ata idea ni nini!

Kuna mmoja nilimuuliza je unayo vpn!??
Akajibu hana wala ajui ni nini binafsi mimi najua i ina ongeza speed ya Internet kua na kasi kubwa kiasi

Sasa ila nikaulizwa je kirefu cha vpn ni nini!?
Mimi nikajibu; wait nitakuulizia kwa baadhi ya wataalam wa mambo jf watusaidie...

Msaada please.....

Nataka wateja wangu wote wawe nayo ili niweze weka mkono kinywani tena

Je! Na wewe imekuadhiri kivipi hi situation iliyo sasa?

Silalamiki but Internet imekua msaada mkubwa kwanzia wakulima mpaka wafugaji kwa wavuvi...walio wengi tz

Sichochie mgomo binafsi usichukulie kisiasa am sorry

fungi06
 
Mkuu mbona unatutisha aiseee.
 
Asante na hii vpn niipakue kwenye play store au wapi?
Kama utaweza pakua play store au Kama vipi tumia vyanzo vyengine japo si salama hiyo itakuwa juu yako Sasa! Kuna hii VPN inaitwa turbo vpn itafute.
 
Haha pole mkuu wengine siku ileile wanafunga baada ya muda tu tukarudi hewani. Nawaonea huruma ambao mpk sasa wapo kwenye kifungo!
Dalili zilijionesha hata kabla ya tarehe 28 wajanja wakafanya yao, Ila wale makanyelamumo bado wapo vifungoni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Dalili zilijionesha hata kabla ya tarehe 28 wajanja wakafanya yao, Ila wale makanyelamumo bado wapo vifungoni๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Washafungua mkuu sahivi yoyote anapeta bila VPN..๐Ÿ˜‚
 
Na mfalme naskia anaapishwa alhamisi ijayo!
Wale addicted na social medias wako gerezani!
Wapumzike kidogo sio Kila saa mtu unaposti tiktok uduanzi,ma status what's app Kama million
Wacha waone maisha nje mtandao yakoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ